kosa kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kisheria kumtaka mwanamke kimapenzi kwa kumlazimisha

    Katika kosa la bughudha ya kijinsia (Sexual harassment) Sheria inaeleza kwamba, mtu yeyote ambaye kwa dhamira atamshambulia, au atatumia nguvu kinyume cha sheria akambughudhi mtu mwingine kijinsia au kwa kutumia maneno au vitendo na kusababisha maudhi au bughudha kijinsia kwa mtu mwingine...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini kujiua ni kosa kisheria?

    Leo tarehe 10/10 ni siku ya Afya ya akili duniani. Moja ya sababu kubwa ya watu kujiua ni matatizo ya Afya ya akili. Na mgonjwa wa akili hatendi kosa zaidi ni anahitaji msaada wa matibabu. Sasa nini kilipelekea Tanzania kuunda sheria kuwa kujiua(Kujaribu kujiua) ni kosa kisheria? Hii sheria...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuchepuka siyo kosa kisheria?

    Wakili Peter Thadeo amesema Sheria ya Ndoa haijazuia wala kukataza mke au mume kuchepuka lakini ametahadharisha kuwa kuchepuka kupitiliza kunaweza kupelekea ndoa kuvunjwa. Wakili Peter amesema kinachozuiwa na Sheria ya Ndoa ni mwanamke kufunga ndoa nyingine akiwa kwenye ndoa. Adhabu yake ni...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, kukataa pesa iliyochakaa kama malipo ya bidhaa na huduma ni kosa kisheria?

    Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe kumuita Babe mwanamke asiye wako ni kosa kisheria?

    Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolitumia katika akaunti yake ya WhatsApp. Mwanaume huyu kwa sasa anashitaki kwa jaji kwasababu anasema yeye ndiye...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kutunza kwa kutupa pesa chini ni kosa, waweza kukamatwa - Profesa Kabudi

    Wale wenzangu na miye wa Tandika, Mwananyamala, Tandale na Mbagala waliozoea kutunzana pesa kwenye vigodoro vya HAKIKA, UBATIZO, KUMTOA MWALI au Kipaimara, watambue kwamba ni makosa makubwa kumtunza mtu fedha kwa kuzitupa chini, iwe kwenye mkeka, kitambaa au sakafuni. Hayo yamesemwa na Waziri...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania California, Marekani: Kuchomoa kondomu bila taarifa wakati wa tendo yatangazwa kuwa kosa kisheria

    Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku utoaji wa mipira ya kondomu bila makubaliano iliyowasilishwakatika muswada ulioitwa "stealthing". Sheri ampya inaongeza kipengele katika ufafanuzi wa sheria ya jimbo hilo kuhusu ngono na hivyo kuifanya California kuwa...
Back
Top Bottom