korosho

  1. H

    TUNAZA KOROSHO AINA ZOTE

    Karibuni #Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU. Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ. BEI ZETU; Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/= TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA PIA KUANZIA KGS 10. Pia kampuni yetu cha CHILUMBA CASHEWS SUPPLIER inasimama kama...
  2. H

    KOROSHO KOROSHO KOROSHO TSHS 25,000 PER KGS GRADES NO. 1 DIRECTLY FROM MTWARA-TANDAHIMBA 0615326654(Whatsapp and Normal Calls)

    Karibuni Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU. Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ. BEI ZETU; Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/= Nusu unajipatia kwa Tshs 12,000/= JUMLA TUNAELEWANA kuanzia Kgs 10 Kulingana na kiasi matajiri zetu Mtahitaji...
  3. Kitambi chakufutia tachi

    Nahitaji matajiri wa kuwanunulia korosho.

    Salaam wakuu. Mimi ni kijana umri wangu 28 nipo Mtwara nahitaji mabosi wa kuwanunulia korosho ambazo kwa huku tunaita za kuoka ambazo kwa huku zinanunuliwa kwa Kg 1 Tsh 14000- 16000 malipo juu ya kazi tutaelewana .
  4. H

    Nauza korosho jumla na rejareja. Utamu na ubora ni wa hali ya juu

    NAUZA KOROSHO JUMLA NA REJA REJA, BILA KUZUNGUSHANA WATEJA WANGU.. Wasiliana nasi; 0615326654 KGS 1 REJA NI TSHS 25,000. UTAMU NA UBORA WA HALI YA JUU KWA FAIDA YA AFYA YAKO. Derivery kwa gharama Nafuu, Dar na mahala Popote Tanzania. Jumla Kuanzia Kgs 10 tunaelewana Bei inapungua kwa Kadri...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Polisi Mtwara wakamata Viongozi AMCOS na Watumishi wa Umma kwa wizi wa Pembejeo za Korosho zaidi ya Milioni 15

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa huo SACP Issa Sulemani amesema mnamo Agosti 29, 2025 polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya...
  6. Nipe Maji

    GE2025 Mapinduzi ya korosho Tunduru-maafisa ugani 50 wapatiwa pikipiki kuinua kilimo

    Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na tija kwa wakulima, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imepokea jumla ya pikipiki 50 zilizotolewa kwa maafisa ugani wa BBT Korosho. Mkuu wa Wilaya hiyo, Denis Masanja, ameeleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya awamu ya sita wa...
  7. Richard mtao

    Maafisa Utumishi na roho ya korosho!

    Hellow jamii, ni matumaini yangu mko poa na wazima wa afya njema sana. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwajili ya hilo. Guys, katika pita pita zangu vyuoni na taasisi mbalimbali nimekuwa nikiiskia hii kauli " MAAFISA UTUMISHI WANA ROHO MBAYA SANA" na hawaishii hapo wanaenda mbali kwa kutoa shuhuda...
  8. L

    Rais Samia ayapaisha Mapato ya Korosho mara nne zaidi kufikia Trilioni 1.6 kutoka Billioni 452.5

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Nyota ya Matumaini,ni daraja la matumaini. Ni ngazi ya wanyonge, ni tumaini la watanzania, ni faraja kwa watu. Ni kiongozi ambaye amekuja kuinua maisha ya watu ,kuondoa Umaskini wa watanzania,kuwapa tabasamu safu. Kugusa maisha ya watanzania na...
  9. N

    Nauza korosho

    Mm ni muuzaji wakorosho za kuokwa kutoka masasi mtwara. Nawatangazia wanaoitaji korosho mm naziuza mfano kwa picha chini.
  10. Roving Journalist

    Tanzania yanadi fursa za biashara na Wawekezaji Vietnam, waelezewa fursa za ujenzi, uvuvi wa kisasa, kilimo na kilimo cha korosho

    Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji...
  11. W

    Wanaotorosha Korosho wilayani Songwe waonywa

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Songwe ametoa onyo kwa wale wote watakaobainika kutorosha ufuta Wilayani humo
  12. 1Africa54

    NAOMBA MSAADA MWENYE KUJUA JINSI KILIMO CHA KOROSHO, SOKO LAKE LIPOJE PIA

    Wakuu naombeni anae jua kilimo Cha korosho kinaendeshwaje, bei ya korosho, jinsi ya kuongeza thamani nk
  13. Just Pray

    PreGE2025 POTOSHI Nape Nnauye anasema mwaka 2018 wabunge wa upinzani hawakuwahi kutetea zao la Korosho bungeni Isipokuwa Zitto Kabwe

    Wakuu, Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye hivi karibuni nimemsikia akisema akisema mwaka 2018 yeye na wabunge wenzake wa mikoa ya kusini walisimama kutetea zao la korosho bungeni, Pia akitaja mtu anayemuita mjomba pamoja na Lema na wenzake hawakuwa watetezi wa korosho na kwamba leo wakijifanya...
  14. W

    Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika TANECU, Karimu Chipola amewaonya wasafirishaji wa Korosho wanaotoza fedha nje ya mkataba wa chama cha msingi

    Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika TANECU LTD, Karimu Chipola, ameahidi kuchukua hatua kali kwa msafirishaji yeyote atakayetoza fedha nje ya mkataba kwa chama cha msingi. Ametoa kauli hiyo leo, Machi 27, wakati wa uzinduzi wa zabuni ya kusafirishaji mazao kwa msimu wa 2025/2026. Mwenyekiti...
  15. N

    Nauza korosho safi

    Mjasiliamali yoyote anayetaka korosho safi kubwakubwa ziliobanguliwa safi mimi ninaziuza kwa bei rafiki ya 18000 nipo Masasi Mtwara nicheki pm
  16. A

    Njoo Tufanye Biashara ya Uwekezaji Kwenye Cocoa, Iliki na Korosho

    **"Karibu kwenye fursa ya kipekee ya uwekezaji! Uwekezaji katika cocoa, korosho, iliki, na mbaazi ni njia bora ya kujenga mali yako. Pata faida ya hadi 15% kwa mwezi kwa kuwekeza katika sekta hii inayokua haraka. Tunachofanya ni kununua nafaka kama korosho, iliki, kokoa, na mbaazi, kisha kuuza...
  17. M

    MANYONI: Bei elekezi ya Korosho mwezi January 2025

    Leo Tarehe 30 Jan 25 umefanyika mnada wa kwanza wa zao la Korosho kwenye Ghala la Kuhifadhia Korosho na bei kutangazwa ni Tsh 3,167/= kwa kilo Moja. Tunaendelea kuupiga mwingi.
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Niliwahi kuambiwa na mmakonde kuwa pombe aina ya Gongo inayotegenezwa kwa korosho ikipata joto inalipuka. je hili nikweli?

    Wakuu dunia ina mengi sana.Huku kwetu Gongo hutegenezwa kwa malighafi ya muhongo au jina maalfu ni udaga. Nadhani kila sehemu wanatumia malighafi tofauti tofauti kulingana na upatikanaji wake. Basi katika kutembea huko na pale na kule nikakutana na mtu wa songea mmakonde alichoniambia...
  19. I

    Wauzaji na Wasambazaji Korosho tunapatikana Arusha

    You can grab it for your family and friends. Baked cashew 23,000@1 No cooking oil or salt. Fresh raw cashews 23000@1 Roasted cashew 25,000@1kg (Salt or any spicy like pepper) Whole almond 30000@1 Free Delivery Service (Arusha city centre only) HOTELS, LODGE AND RESTAURANTS/CAFE CAN RELY...
  20. N

    DOKEZO Wakulima wa Korosho wa Mkunya Wilaya ya Newala hatujalipwa zaidi ya miezi miwili, wengine wamelipwa pungufu ya makubaliano

    Sisi Wakulima wa Korosho tuliopo Mkunya Wilayani Newala Mkoani Mtwara tulipimishwa korosho tangu Oktoba na wengine Novemba 2024, hapo nikiwa namaanisha wale maafisa wa Serikali walikamilisha taratibu zote za manunuzi wakaondoka na mzigo kwa ahadi kuwa tutalipwa muda sio mrefu. Kwa kawaida hela...
Back
Top Bottom