korea

Korea is a region in East Asia; since 1945 it has been divided into what are now two distinct sovereign states: North Korea (officially the "Democratic People's Republic of Korea") and South Korea (officially the "Republic of Korea"). Korea consists of the Korean Peninsula, Jeju Island, and several minor islands near the peninsula. It is bordered by China to the northwest and Russia to the northeast. It is separated from Japan to the east by the Korea Strait and the Sea of Japan (East Sea).
During the first half of the 1st millennium, Korea was divided between the three competing states of Goguryeo, Baekje, and Silla, together known as the "Three Kingdoms of Korea". In the second half of the 1st millennium, Silla defeated and conquered Baekje and Goguryeo, leading to the "Unified Silla" period. Meanwhile, Balhae formed in the north, superseding former Goguryeo. Unified Silla eventually collapsed into three separate states due to civil war, ushering in the Later Three Kingdoms. Toward the end of the 1st millennium, Goguryeo was resurrected as Goryeo, which defeated the two other states and unified the Korean Peninsula as a single sovereign state. Around the same time, Balhae collapsed and its last crown prince fled south to Goryeo. Goryeo (also spelled as Koryŏ), whose name developed into the modern exonym "Korea", was a highly cultured state that created the world's first metal movable type in 1234. However, multiple incursions by the Mongol Empire during the 13th century greatly weakened the nation, which eventually agreed to become a vassal state after decades of fighting. Following military resistance under King Gongmin that ended Mongol political influence in Goryeo, severe political strife followed, and Goryeo eventually fell to a coup led by General Yi Seong-gye, who established Joseon in 17 July 1392.
The first 200 years of the Joseon era were marked by relative peace. During this period, the Korean alphabet was created by Sejong the Great in the 15th century and there was increasing influence of Confucianism. During the later part of the dynasty, Korea's isolationist policy earned it the Western nickname of the "Hermit Kingdom". By the late 19th century, the country became the object of imperial design by the Empire of Japan. After the First Sino-Japanese War, despite the Korean Empire's effort to modernize, the country was annexed by Japan in 1910 and ruled by it until the end of World War II in August 1945.
In 1945, the Soviet Union and the United States agreed on the surrender of Japanese forces in Korea in the aftermath of World War II, leaving Korea partitioned along the 38th parallel. The North was under Soviet occupation and the South under U.S. occupation. These circumstances soon became the basis for the division of Korea by the two superpowers, exacerbated by their inability to agree on the terms of Korean independence. The Communist-inspired government in the North received backing from the Soviet Union in opposition to the pro-Western government in the South, leading to Korea's division into two political entities: North Korea (officially the Democratic People's Republic of Korea), and South Korea (officially the Republic of Korea). Tensions between the two resulted in the outbreak of the Korean War in 1950. With involvement by foreign troops, the war ended in a stalemate in 1953, but without a formalized peace treaty. This status contributes to the high tensions that continue to divide the peninsula. Both governments of the two Koreas claim to be the sole legitimate government of the region.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanajeshi wa Korea Kaskazini Waua wanajeshi wa Urusi

    Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa Brigedi ya 810 ya Majini. Walitangazwa kuwa wahalifu wanaotafutwa." Hii ilikuwa Published...
  2. Kwa Korea Kusini hakuna muigizaji Bora wa kiume kama Lee Byung-hun Jamaa anajua Sana. Squad Game ni muendelezo wa uwezo wake

    Mpo salama! Huyu jamaa kwa mara ya Kwanza niliangalia picha yake ya Kwanza Miaka ya 2009/2010 huko katika Series Moja iitwayi IRIS. Hapo ndio mwanzo wa kuzipenda na kuanza kufuatilia baadhi ya Filamu za Kikorea. Nikiri wazi kuwa kabla ya kuangalia Filamu ya IRIS sikuwa mpenzi wa Filamu za...
  3. S

    USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

    Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu! Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
  4. Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

    Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi. --- North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a...
  5. Demokrasia ya Korea Kusini inashangaza

    Hii demokrasia ya Korea kusini inashangaza kweli. Baada ya Rais aliyetolewa madarakani kwa kura za wabunge za kutokuwa na imani naye bwana Yoon Suk Yeol baada ya kutoa amri ya nchi kuwa chini ya sheria za kijeshi ili kudhibiti wakomunisti wa China na Korea Kaskazini kujipenyeza katika siasa za...
  6. G

    Jeshi la Korea Kusini limewazuia polisi 3000 kumkamata Rais aliyeondolewa madarakani na bunge

    Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea Kusini Wanasheria wa Yoon wamesema polisi na wachunguzi wanaojaribu kumkamata Yoon wamevunja sheria...
  7. Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  8. BBC: Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katka vita vya Ukraine

    Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema. Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya...
  9. Rasmi, Bunge la South Korea lapiga kura kumuondoa Rais Yoon Suk Yeol madarakani baada ya kutangaza utawala wa kijeshi

    Wakuu, Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kufuatia jaribio lake lililoshindikana la kutangaza hali ya kijeshi, hatua ambayo ilisababisha machafuko katika taifa hilo. Kura hiyo ilipigwa na wabunge wote 300ambapo 204 walikubali, 85 walipinga...
  10. Waziri Aweso atembelea Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka nchini ya Dola Milioni 248.3

    WAZIRI AWESO ANADI MIRADI YA MAJI KOREA Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka nchini Tanzania yenye jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 248.3 (Mkoa wa Dar es Salaam 90 $US milioni...
  11. Nina mashaka kama Wanajeshi wa Korea Kusini waliokuwa wanasimamia "martial law" wataweza kupambana na wanajeshi Korea Kaskazini kiume

    Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha. Pia ukiangilia video jinsi...
  12. C

    SI KWELI Kiongozi Mkuu wa North Korea asilimu kuwa Muislam

    Tizama hi video kwa makini kabla ya ku-comment. Kiongozi wa Korea kasikazini amelegeza mashariti kwa dini moja tu uko nchini kwake baada ya kushuhudia great miracle en Wisdom katika kitabu cha Qur"an tukufu, wakati anaingia madarakani 2011 Uislamu kama dini zingine zilikua marufuku nchini...
  13. Mgogoro wa Korea Kusini kuisesha Tanzani Dola za Kimarekani Bilioni 2.5? Tumuombee Samia

    Salaam Wakuu, Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea walishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA). Mkataba ambao utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za...
  14. W

    Baraza la Mawaziri lasema liko tayari kujiuzulu huko Korea Kusini baada ya kushindwa kwa Amri ya Utawala wa Kijeshi

    Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
  15. Rais wa Korea Kusini akubali kuondoa amri ya utawala wa kijeshi!

    Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge ! Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
  16. Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

    Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa. Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
  17. Bila Marekani na washirika wake, Tanzania kisiasa tungekuwa kama North Korea

    Wakuu, Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya. Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani. The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because...
  18. Kwa nchi ambazo zilishakuwa na uhusiano wa kidugu na China, Korea na Russia, Democracy ya kweli haiwezi kuwepo

    Huo ndiyo ukweli wenyewe, hatuwezi kupractice demokrasia ya kutelewa kwa kulazimishwa, hata siku moja, Tukumbuke demokrasia hii ililetwa kwa bakora hapa barani kwetu Africa, bakora iliyotumika kwa wakati huo ni usipokubali kuipokea basi hutapata misaada popote katika nchi za kibeberu, mnyonge...
  19. BBC: Urusi imeipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta

    Ni mwendo wa kula uliwe Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza. Mafuta...
  20. Wanajeshi wa Korea ya Kaskazini wapatwa na uraibu wa kutazama pornografia baada ya kupewa internet isiyo na vikwazo na Urusi

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao wamejiunga na vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi wamepata uhuru wa kutumia intaneti isiyo na vikwazo kwa mara ya kwanza na kujikuta wakitumia uhuru huo kutazama picha za ngono, kulingana na ripoti ambayo haijathibitishwa na afisa wa Pentagon. Kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…