kongamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

    Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"! Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza. Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
  2. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa kauli ya chama juu ya kodi/tozo ya miamala ya simu na kuvurugwa kwa Kongamano la Katiba

    Tazama na sikiliza VIDEO No. 1: Msimamamo wa CHADEMA juu ya tozo za miamala ya simu: VIDEO No. 2: Kauli ya Mwenyekiti kuhusu polisi mkoa wa Mwanza kupitia kwa RPC wao Ngh'anzi kuvuruga kongamano la katiba juzi j' mosi tarehe 17/7/2021 na kuwaweka kizuizini viongozi, wafuasi na wapenzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

    Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA . Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona ===== Maandalizi yote yamekamilika , Viti vimepangwa kwa kufuata maelekezo ya WHO Kurushwa LIVE !
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

    Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hongera wasomi wa CHADEMA, wamezuia kongamano mneamua kutoa elimu kijiwe kwa kijiwe

    Mkakati mpya ambao ni mbadala wa makatazo ya CCM na Polisi kwenye kampeni takusisimua akili za Watanzania juu ya katiba mpya vijana wa vyuo vikuu Mwanza leo wameendesha kampeni ya kutoa elimu kijiweni au maskani lengo likiwa nikuwafikia wananchi bila kuzimwa na akili na fikra za watawala. Mbinu...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 30 wanashikiliwa na polisi kwa kukusanyika na BAVICHA bila kibali

    Polisi Mkoa wa Mwanza wamethibitisha kuwashikilia watu 30 waliokusanyika bila kuwa na kibali. BAVICHA waliandaa mkutano ambao watu walihudhuria lakini hawakuwa na kibali, na hakukuwa na fujo katika kusanyiko hilo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amesema wanaruhusu mikusanyiko lakini inapaswa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nini Tafsiri ya kongamano la BAVICHA lilofanyika Dar na hili la Mwanza?

    Mwezi uliopita Bavicha waliaanda kongamano huko Dar, wakaongea hadi jasho na likapita. Je, Mwanza wangeacha jasho liwatoke silingepita kama Dar.
  8. JamiiForums Tanzania Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

    Hii ndio taarifa ya usiku huu kutoka Mwanza kwa hisani ya Maranja Masese
  9. JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya kuendelea Mkoani Mwanza, vigogo kadhaa kutoa mada

    Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam MUHIMU : Wahudhuriaji wanaombwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba yangu kwenye Kongamano la Katiba Day

    Salamu zangu kwenye Kongamano la Katiba Day 01/07/2021. Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa. Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa Watoa Mada wakuu Prof Rwaitama na Askofu Emmanuel Mwamakula. Wageni waalikwa wote na vijana wenzangu, itifaki...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Tulipomchagua Magufuli kuwa Rais; tulimchagua Rais mtarajiwa mhe.Samia kwa mujibu wa Katiba !

    YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Samia afungua kongamano la wafanyabiashara nchini Kenya, Rostam Aziz atema madini ukumbi mzima wamshangilia

    Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania. Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango Mgeni Rasmi Kongamano Maadhimisho Miaka 57 Ya Muungano

    Kongamano hilo muhimu kuadhisha miaka 57 ya Muungano litafanyika Aprili 26, 2021 kuanzia saa 3 asubuhi Ukumbi wa Chimwaga Dodoma https://www.jamiiforums.com/threads/chato-rais-magufuli-atoa-salamu-za-maadhimisho-ya-miaka-56-ya-muungano-asamehe-wafungwa-3-973.1719702/
  14. JamiiForums Tanzania Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kupuuza kushiriki kongamano la dini ni aibu na fedheha kwa chama chao

    Wadau, Recalling back to Kongamano lililoandaliwa na viongozi wa dini zote (wakristu/wakristo na waislamu), Kongamano ambalo pamoja na mada na jumbe mbali mbali zilizowasilishwa, lakini pia ilikuwa na mada moja kuu ambalo ilikuwa ni Kumshukuru Mungu kwa ajili ya maisha ya Hayati Dr. John Pombe...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…