kongamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ninachokiona katika hili kongamano ni kama watanzania hatuna furaha ,kuna shida mahala

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Kilele cha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika lililofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 21 Septemba 2024. . Naona matabasamu kwa viongozi tu
  2. JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  3. JamiiForums Tanzania TLS kuandaa kongamano la Kitaifa kuhusu matukio ya kutekwa na kupotea kwa raia nchini Tanzania

    Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00 asubuhi maenoe ya Wakili House, Chato Street, Mikocheni A, Dar es Salaam...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Doto 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika Kizimkazi-Zanzibar

    DKT. BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar. Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko...
  5. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni. Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja, Mze Mohamed Ibrahim, wafanyabiashara wa Tanzania walikutana na wenzao wa...
  6. JamiiForums Tanzania Bashungwa Mgeni Rasmi Kongamano la 9 la Wahandisi Wanawake, 2024

    BASHUNGWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 9 LA WAHANDISI WANAWAKE, 2024. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC)...
  7. JamiiForums Tanzania Speech ya Obama kwenye kongamano la Democrats

    Huyu jamaa ukimsikiliza na ukisikiliza wanasiasa wengine, ni mbingu na ardhi. Bongo ukimtoa Nyerere, ni mwanasiasa gani mwingine alikuwa na hotuba zenye nguvu? https://youtu.be/AxxVM_Vfcck?si=rpHqgebDhTgZTs33
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limeichafua taswira ya Tanzania kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu

    Jana taswira ya Tanzania imechafuliwa na Jeshi la polisi kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu wote. Kongamano kama hilo la vijana wa CHADEMA limeshafanywa na vyama vingine kama CCM na ACT Wazalendo bila shida. Jana vyombo vyote vikubwa vya kimataifa vimeripoti...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  10. JamiiForums Tanzania Angellah Kairuki: Tanzania imepata fursa ya kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN )

    Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tanzania imepata fursa ya kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN ),Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili litakalofanyika mwaka 2025. Ameyasema hayo leo jijini Victoria...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa mwenyeji wa kongamano la pili la umoja wa mataifa kuhusu utalii wa vyakula vya asili barani afrika

    Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu (15th International Infrastructure Investment and Construction Forum and Expo) linalofanyika tarehe 19-21 Juni, 2024, Macao SAR, China. Waziri Aweso ni moja wa waalikwa kati ya Mawaziri...
  13. JamiiForums Tanzania Mlimani City: Kongamano la Maendeleo Sekta ya Habari Tanzania, Mgeni Rasmi ni Rais Samia Suluhu. Karibuni

    Wanabodi Karibuni katika tukio hili https://www.youtube.com/live/THx3Tn0wJUU?si=v7wHE2Hioo6C53DO Paskali
  14. JamiiForums Tanzania Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Ushiriki wa Wananchi katika Kuunda Dira ya Taifa

    Habarini Wanajamvi, Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila Mtanzania kushiriki katika kujenga mustakabali wa Taifa letu. Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
  15. JamiiForums Tanzania Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ni Juni 8, 2024

    Kutakuwa na mawasilisho ya maoni kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii na mjadala wa wazi Mada za Utangulizi 1. Prof. Issa Shivji: Tanzania @ 60 2. Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania ya 2050 Wachagizaji wa Mada 1. Prof. Samwel Wangwe 2. Mama Getrude Mongela 3. Dkt. Neema Mduma 4. Dkt. Richard Mbunda
  16. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kutafuta mikopo zaidi toka China wakati wa Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika mwezi wa 9

    Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Aweso ashiriki kupitisha Azimio la Mawaziri la Kongamano la 10 la Maji Duniani

    Leo tarehe 21 Mei 2024 ukumbi wa Bali katika ukumbi wa Bali International Convention Center nchini Indonesia Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) ambalo limepitisha Azimio la Mawaziri (Ministerial Declaration on Water for...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yadhamini kongamano la wanafunzi kuwajengea uwezo wakujiamini na kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri vyuo vikuu vya Iringa na Dodoma

    Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning and Development wa Barrick Tanzania,Elly shimbi akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa kongamano lakuwajengea uwezo wakujiamini na kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania lililofanyika katika...
  19. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Yaliyotokea Uchaguzi wa 2019 na 2020 yakitokea tena Uchaguzi wa 2025 itakuwa ni mwanzo wa Vurugu

    Kongamano la Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections), linafanyika kwenye Ukumbi wa New Dodoma Hoteli, leo Aprili 30, 2024 Baadhi ya Washiriki na ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Prof. Kitila na Angela Kairuki kuongoza Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Utalii na Ukarimu

    Kufuatia agizo la Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa Aprili 4, 2024 akiwaapisha viongozi mbalimbali alitoa maelekezo mahususi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kuhusu kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya utalii kwa kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…