"Pasipo upepo, mashua haisogei,’ asema huku akiingia kwenye akaunti ya mtu mwingine kama jambazi wa mawazo, kisha anajitangaza kama mjumbe wa taifa. Huyu ni kama kunguru aliyevaa joho la bundi, anadhani mwenye hekima, kumbe ni kichaa anayejitambulisha kwenye kongamano la wanazuoni!"
— Alloyce, P.R.