Mungu ni Mkuu.
Pale unapopambana ufanikiwe ili umtukane jirani yako .
Kiuhalisia Kombe la Shirikisho Caf mwk huu lilikuwa la Simba ila kutokana na Kiburi , kufuru , dhihaka na ulimbukeni Mungu akasema " HAPANA ".
Kimsingi ktk ligi yetu Mashabiki wanaoongoza kwa maneno Machafu ni SIMBA. Vinywa...