kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Saudi Arabia ashukuru Morocco kwa kuwawakilisha waarabu kwenye kombe la dunia

    Juzi mchezaji wa Morocco alisema ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya waarabu na nchi za kiislamu, naye mfalme wa Arabia ameshukuru Morocco kwa kuwaakilisha waarabu vyema.... Waafrika tuache makelele haya mambo hayatuhusu, hata maustadhi waarabu wa Bongo ambao hupenda kushobokea waarabu asili...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzaha mzaha mara Morocco Bingwa Kombe la Dunia, nyie wachukulieni poa tu!

    Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa inaisubiri Ufaransa katika nusu fainali. Morocco wamebakisha mechi mbili tu kunyakua kombe la dunia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

    Imesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha. Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti! Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi. Hii sio mara ya kwanza Agentina...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Croatia kutoka kwenye Vita ya Umwagaji Damu hadi Kombe la Dunia

    Panama, Mauritania, Georgia na Eritrea ni nchi nne zenye takribani saizi sawa za watu wa Kroatia. Mataifa hayo manne yanashiriki mechi moja ya Kombe la Dunia baina yao na hiyo ilikuwa wakati Panama ilipocheza Urusi 2018, ikimaliza hatua ya makundi kwa vipigo vitatu na kuruhusu mabao 11. Asili...
  5. Execute

    JamiiForums Tanzania Messi anaenda kufunga 'hattrick' yake ya kwanza Kombe la Dunia katika mchezo dhidi ya Croatia

    Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali. Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu. Vamos Argentina.
  6. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Tanzania Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

    Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianzishwe timu kutoka bara la afrika inaenda kutwaa kombe hilo, wengi hawaifikiri na bado hwaidhanii kuwa timu ya Morocco itaweza hata kuingia fainali lakini ni ukweli usiyo na shaka yoyote kuwa kombe hilo linaenda Afrika kwa mara ya kwanya. Subscribe uzi...
  7. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo Kombe la Dunia bora kwangu kuanzia mwaka 1998 mpaka 2022

    Katika mashindano yote niliyoshuhudia, from 1998-2022, basi hili ndio shindano bora kwangu(2022), sio tu shindano, bali na muandaaji mwenyewe QATAR na tamaduni zake nimezifurahia sana sana, wengine walijaribu kubip suala la ushoga wakagonga mwamba.. hongereni sana wana-QATAR, hakika mmewaweza...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Morocco ndiye Bingwa Kombe la Dunia (TV kienyeji)

    Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya Qatari. Source:TV Kienyeji.
  9. Execute

    JamiiForums Tanzania Ufaransa atafunga magoli manne katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia kati yake na Morocco

    Mwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa inacheza peke yake huku nyingine ikizuia. Morocco naona wameanza vizuri kwa kufuata mfumo kama ule...
  10. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Unabii: Kombe la dunia 2022 litachukuliwa na Morocco

    Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuona kombe la Dunia kupitia TBC1 katika king'amuzi cha Antena cha Azam

    Habari wajumbe, Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi...
  12. Execute

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kocha wa Brazil ningechukua kombe la dunia mapema asubuhi

    Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu. Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia, kushoto angekaa Vinicious halafu namba tisa angesimama Firmino huku namba kumi ningempa Gabriel...
  13. Page 94

    JamiiForums Tanzania England National Football Team (Three Lions), Special Thread

    Huu uzi ni mahususi kwa ajili ya matukio yote yanayoihusu timu ya mpira wa Miguu ya Uingereza. Timu hii inajulikana kwa jina la Utani la Three Lions, yaani Simba Watatu. Jina hili limechochewa zaidi na nembo ya timu hiyo yenye alama ya Simba watatu (tazama picha) Timu hii ipo chini ya...
  14. Execute

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

    Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo. Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali Ureno...
  15. vibertz

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia na maigizo

    Ni kama vile timu kubwa zinawekewa vipaumbele kwa kila namna zipate kufuzu hatua zinazofuata. Mechi ya Senegal dhidi ya Uingereza, kabla hata Uingereza kupata goli kulikuwa na tukio la wazi la mchezaji wa Senegal kuchezewa foul ndani ya 18 lakini mwamuzi na watu wa V.A.R wakamezea. Jana pia...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kampuni inayotangaza Kombe la Dunia 2022 yapata mashambulizi ya mtandaoni

    Kampuni hiyo ya New World TV ya Togo yenye haki ya kutangaza na kusambaza haki za michuano hiyo Kusini mwa Jangwa la Sahara imeeleza kuwa imepata mashambulizi kadhaa tangu kuanza kwa michuano hiyo. Inaelezwa kuwa moja ya seva inayosambaza visimbuzi ilipata mashambulizi ya virusi mara saba...
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Kombe la Dunia

    Nyimbo za Kombe la Dunia Waka Waka itabaki kuwa the best generation to generation, kwani ndiyo wimbo pekee wa Kombe la Dunia ambao haujawai chuja. Mtunzi alipiga cha Arusha wakati anatunga!
  18. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa ushiriki wa kombe la dunia ukoje kila Bara?

    Mbona kama wazungu wanatuzidi akili? Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo? Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia, Australia sijui na nani tena, lakini mbona Ulaya itoe nchi nyingi?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliposema kabla ya Kombe la Dunia kuanza kuwa sishabikii timu yoyote ile ya Afrika nilikuwa namaanisha

    Kama akili tu za kuliendeleza kimaendeleo bara letu la Afrika kwa utajiri wa rasilimali tulizopewa na Mwenyezi Mungu tumeshindwa je, huku katika soka (mpira wa miguu) na hasa katika michuano ya Kombe la Dunia ndiyo tuweze kutoboa/kufanikiwa? Tayari Tunisia, Ghana na muda mfupi Cameroon...
  20. Execute

    JamiiForums Tanzania Naipongeza Argentina ya Lionel Messi kwa kufikia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

    Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani. Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu. Kiutani namna hii Argentina anakwenda...
Back
Top Bottom