kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je vijeba hawa watafurukuta ķombe la dunia? Ronaldo miaka 41 na Messi muaka 39!

    Je kwenye soka umri ni namba tu kama ilivyo kwenye mahusiano? Je Ronaldo(41) na Messi(39) bado wana cha kuonesha na kuwakosha mashabiki kiukweli kabisa au watabebwa na majina tu bila kuonesha soka safi la ushindani? Je wamewazibia tu vijana wengine ambao walipaswa kupewa nafasi kuliko vijeba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Ureno kombe la dunia tufahamiane hapa!

    Huu ndiyo wakati muafaka wa Ureno kubeba kombe la dunia. Ina vipaji lukuki na bado wanaye veteran CR7 wa kuwahamasisha ndani ya uwanja! Bila shaka haya yatakuwa mashindano ya mwisho CR7 kushiriki kombe la dunia kama mchezaji! Mashindano yajayo atakuwa na miaka 45!! Nadhani baada ya Euro 2028...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Bora tuu wamekosa kombe

    Wangebeba kombe timu ya kusifu na kuabudu ingesema bila mama wasingebeba kombe.
  5. JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nini Kesi ya Lisu itaendelea tena tarehe 11 June,siku ambayo kombe la dunia linanza?

    Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira. Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na...
  6. JamiiForums Tanzania Kombe la Arsenal, EPL lapelekwa Kenya, bongo tunafeli wapi?

    Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja. Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji...
  7. JamiiForums Tanzania Messi aumia kwenye mchezo wa ligi wiki chache kuelekea Kombe la Dunia, Waargentina wajawa na hofu

    Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS. Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku akishika mguu wake. Hii inatokea wiki chache kabla ya mashindano makubwa ya World Cup. Jeraha la Messi...
  8. JamiiForums Tanzania Kisa Ebola, Kikosi cha DR Congo cha Kombe la Dunia kukaa Karantini kwa Siku 21 ili kuruhusiwa kuingia Marekani

    Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa na maafisa wa Marekani kutokana na mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

    Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

    Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
  11. JamiiForums Tanzania Akufukuzae Akwambii Toka, Kundi la Tanzania Kombe la dunia wanawake 2026 Poland

    Tanzania imepangwa Kundi B kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake U20 Poland 2026 #fifawomensworldcup @fifawomensworldcup @tanfootball
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Yafuzu Kombe La Dunia la Wanawake U-20 Baada ya Kuwatandika Cameroon 2-0

    Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania. Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha. https://www.instagram.com/p/DYKofFiDbNy/?igsh=MTU3dHI1NGR2em04Ng== https://www.instagram.com/p/DYKismUjUz1/?igsh=MTcybGsycHV4NGxlcw==
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simba 3-0 Mlandege | New Amani Zanzibar Kombe la Muungano | 26 Aprili 2026. Fainali ni Simba vs Yanga

    Mnyama anaunguruma Zanzibar, Dabi ipo pale pale hakuna kukimbia Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 inatarajiwa kuzikutanisha Yanga dhidi ya Simba, hiyo ni baada ya Simba kuitafuna Mlandege Magoli 3 -0 kwenye Nusu Fainali iliyopigwa Uwanja wa Amaan, Aprili 26, 2026. Fainali hiyo inatarajiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kombe la CRDB: TRA United yaangukia kwa Mnyama, Yanga ikipelekwa jeshini

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu wa 2025/2026, ambapo vigogo wa soka nchini wamepangiwa vibarua vizito mwezi Mei. Katika ratiba hiyo, klabu ya Simba SC itakuwa mwenyeji wa TRA United ya Chobwedo...
  15. JamiiForums Tanzania Amnesty: Kombe la Dunia kuwa jukwaa la ukandamizaji

    Imeonya kwamba mashindano ya mwaka 2026 yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya kidikteta. Ripoti mpya ya shirika la haki za binaadamu iliyotolewa Machi 30, 2026 imeonya kwamba mashindano ya Kombe la Dunia mwaka huu yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia

    Kwa mujibu wa The Athletic FC wanaripoti kuwa Mashabiki kutoka nchi za Algeria, Ivory Coast, Cape Verde, Senegal na Tunisia wanapaswa kila mmoja kulipa kiasi cha dola 15,000 za Kimarekani ambayo ni sawa na Tsh. Milioni 38 kama kianzio kama wanataka uhakika wa kwenda Kombe la dunia 2026...
  17. JamiiForums Tanzania Makonda: Kombe la AFCON litabaki nyumbani

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Tanzania imejipanga kikamilifu kuelekea mashindano ya AFCON 2027, akieleza kuwa si ushiriki tu bali pia itachukua ubingwa wa kombe hilo. Amesema kuwa ushiriki wa Tanzania katika michuano hiyo unatoa nafasi ya kipekee ya...
  18. JamiiForums Tanzania GUINEA yadai kombe baada ya Morocco kujiondoa uwanjani 1976

    GUINEA YADAI KOMBE BAADA YA MOROCCO KUJIONDOA UWANJANI 1976 Shirikisho la Soka la Guinea limeitaka CAF kuhakiki Kombe la Mataifa ya Afrika la 1976, likidai kuwa taji hilo linafaa kutolewa kwa Guinea kufuatia Morocco kujiondoa wakati wa mechi . Mnamo 1976, Guinea ilikuwa inaongoza Morocco 1-0...
  19. JamiiForums Tanzania Iran yataka kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani

    Iran's embassy in Mexico on Tuesday said the country is negotiating with FIFA to move Iran's World Cup matches from the U.S. to Mexico after President Donald Trump discouraged the team from attending the tournament, citing safety concerns. It was already unclear whether such talks were even...
  20. JamiiForums Tanzania Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda. Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…