Bado siku 79 hadi mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia la FIFA 2026. Mechi ya ufunguzi itachezwa Alhamisi, 11 Juni 2026 mjini Mexico, na ratiba ya FIFA inaonyesha mchezo huo ni Mexico dhidi ya Afrika Kusini maarufu Bafana Bafana (The Boys in Zulu).
Tayari Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA)...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda.
Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
Donald Trump amesema ‘hajali’ iwapo timu ya taifa ya Iran itashriki katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, michuano itakayofanyika majira ya joto mwaka huu.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema ‘hajali’ kama Iran itashiriki katika Kombe la Dunia mwaka 2026 litakalofanyika majira ya joto mwaka...
Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) limezindua mpira maalum utakaotumika kwenye fainali za kombe la Dunia zitakazoanza kufanyika kuanzia mwezi juni mwaka 2026.
Mpira huo umepewa jina la Trionda huku ukiwa na muonekano wa kipekee wa rangi za nchi ya Canada,Mexico na Marekani huku ndani...
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuivaa Congo Brazzaville katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu ni sehemu ya harakati za Stars kusaka tiketi ya kushiriki fainali za dunia kwa mara ya kwanza katika historia yake.
Baada ya mchezo...
Wakuu
Soka linaongezewa tuvitu vitu🤩
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amethibitisha kuwa fainali ya Kombe la Dunia la 2026 itakuwa na onyesho maalum kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo kwenye muda ambao timu zinaenda kupumzika.
Kombe la Dunia 2026 litakuwa toleo la 23 la...