kombe la dunia 2022

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Michuano ya Kombe la Dunia 2022 imeanza rasmi leo

    Michuano itajumuisha Mechi 64 kutoka kwenye timu za Mataifa 32 duniani kote ambazo zinakutana katika taifa hilo lenye tamaduni za Kiarabu. Mechi ya ufunguzi inachezwa kati ya wenyeji Qatar dhidi ya Equador na michuano itadumu kwa jumla ya siku 28. Bara la Afrika linawakilishwa na timu za...
  2. JanguKamaJangu

    Karim Benzema aumia, kukosa michuano ya Kombe la Dunia 2022

    Ndoto za mshindi huyo wa Tuzo ya Ballon d'Or 2022 kucheza michuano ya Kombe la Dunia inayofanyika Nchini Qatar imezimika baada ya kupata majeraha ya nyama za paja alipokuwa katika mazoezi ya timu ya taifa ya Ufaransa. Licha ya kuelezwa atakuwa nje ya uwanja wa wiki tatu, Benzema mwenyewe...
  3. Zanzibar-ASP

    UTABIRI: Argentina huenda ikatwaa Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea! Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa...
  4. B

    Ratiba kombe la Dunia 2022

    Mwenye ratiba ya kombe la Dunia 2022 anisaidie.
  5. N

    England atachukua Kombe la Dunia 2022?

    Wadau soon tu Kombe la Dunia linaenda kuanza,, je Nani atachukua? Kuna Wadau wanasema mshindi wa michuano ya EURO huwa wanafanyaga vizuri!! Well inawezekana, Euro ya mwaka juziii ule ufaransa alifika fainal, Portugal anachukua kibahati tu, kwenye Kombe la Dunia 2018 , France anachukua Ndoo...
  6. BARD AI

    Ratiba kamili ya Mechi za Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Kumbuka: Muda wa Mechi ni kwa saa za Afrika Mashariki HATUA YA MAKUNDI RAUNDI YA 16 ROBO FAINALI NUSU FAINALI FAINALI
  7. JanguKamaJangu

    N'Golo Kante kukosa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 baada ya kufanyiwa upasuaji

    Kiungo huyo wa Chelsea na Ufaransa amefanyiwa upasuaji kutoka na majeraha ya nyama za paja ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne. Kante, 31, alipata majeraha hayo wakati katika mechi ya sare 2-2 dhidi ya Tottenham, Agosti 14, 2022 na tangu hapo hajawa fiti kurejea uwanjani...
  8. Mufti kuku The Infinity

    Kombe la Dunia 2022 Nchini Qatar: Ukifanya yafuatayo unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa

    Habarini za muda huu... Hii nimeikuta sehemu kwenye pita pita zangu nikaona nichangie na nyie... Zikiwa zimebaki siku chache kushuhudia mashindano haya makubwa ya kombe la dunia yatakayo fanyika nchini Qatar, ni vyema kwa watakao hudhuria mubashara huko nchini qatar kujiepusha na yafuatayo:-...
  9. Greatest Of All Time

    Jezi za Timu za Taifa za Kombe la Dunia 2022

    Ikiwa imebaki miezi kadhaa kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu pale nchini Qatar tayari timu shiriki zimeanza kuachia jezi zao. Tuone timu zipi zina jezi kali.
  10. BARD AI

    FIFA yauza tiketi Milioni 2.45 za Kombe la Dunia 2022

    Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 - Agosti 16). Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), nchi za Marekani, Uingereza, Saudi...
  11. Dibwi Method

    Kutoka Selecao mpaka La Albiceleste – yafahamu majina ya maarufu ya timu 32 zitakazocheza Kombe la Dunia 2022

    Na Godian Method Kombe la Dunia ndiyo michuano mikubwa zaidi ya kimataifa katika mpira wa miguu, ambapo watu, Sanaa na tamaduni za mataifa mbalimbali huungana.Michuano hii ya soka, hudumu kwa muda wa mwezi mmoja, tukishuhudia mataifa bora 32 yakichuana vikali katika jitihada za kuhakikisha...
  12. Cannabis

    Kombe la Dunia 2022: Droo ya Hatua makundi

    Ikiwa imesalia miezi michache kwa kombe la Dunia mwaka 2022 kuanza, leo hii itafanyika Droo ya hatua ya makundi ya michuano hiyo mjini Doha. Droo hiyo itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Doha, huku washindi wa zamani wa Kombe la Dunia kama vile Cafu na Lothar Matthaeus wakiwa...
  13. Ze Bulldozer

    Serikali ya Rais Samia kukusanya TZS 1.6BL ili kuchagiza Stars ifuzu kombe la dunia 2022 Qatar,

    BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote...
  14. Gordian Anduru

    Nafasi ya Taifa Stars Kombe la Dunia 2022

    Twende sawa, Jumla ya nchi 52 za Afrika ziligawanywa makundi mawili Kundi moja kwanza ni la nchi 26 zilizo juu kwenye viwango vya fifa na kundi la pili nchi 28 walioko chini kwenye viwango vya fifa Raundi ya kwanza hii haikuwahusu wale wakali 26 bali ilizihusu zile nchi 28 za chini...
Back
Top Bottom