N'Golo Kante kukosa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 baada ya kufanyiwa upasuaji

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Kiungo huyo wa Chelsea na Ufaransa amefanyiwa upasuaji kutoka na majeraha ya nyama za paja ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne.

Kante, 31, alipata majeraha hayo wakati katika mechi ya sare 2-2 dhidi ya Tottenham, Agosti 14, 2022 na tangu hapo hajawa fiti kurejea uwanjani.

-----
N'Golo Kante will MISS the World Cup as the France and Chelsea star is ruled out for four months after having surgery on a hamstring injury

France and Chelsea midfielder N'Golo Kante has been ruled out of the World Cup after undergoing an operation on his hamstring which will see him sidelined for four months.

The 31-year-old suffered the injury in Chelsea's 2-2 draw with Tottenham back on August 14 had slowly been building his way back to full fitness in the time since.

Kante, however, was dealt a huge setback after aggravating the injury during a training session last week and has since had surgery.

Source: Daily Mail
 
Back
Top Bottom