kodi

  1. JamiiForums Tanzania Serikali kufanya kongamano la kwanza la kodi kitaifa, linalotarajiwa kufanyika Januari 11, 2023 jijini dar es salaam katika ukumbi wa JNICC

    Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imeanzisha Kongamano la Kodi Kitaifa litakalowashirikisha wadau mbalimbali ikiwemo Sekta Binafsi ili kajadili namna ya kuboresha Sera za Kodi, kuchochea ukuaji wa uchumi, biashara na uwekezaji nchini. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Sera kutoka wizara...
  2. JamiiForums Tanzania TRA matumizi yenu ya mitandao ya kijamii yana mapungufu na ni upotevu wa raslimali

    sasa bandiko kama hili linajibu swali la bwana yule mliyemtoza mamlioni kwa pampas na viguo vya mtoto. Hamuwezi kutumia mifano rahisi kuwafanya wananchi waelewe? Mfano shida ya watanzania wengi iko hapa; Mtu kanunua gari kwa dola 1000 sawa na TZS 2,270,000 inakuwaje anaishia kulipa TZS...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyohitaji kodi haramu inaposhangilia mapato haramu

    Mamlaka za serikali zimekuwa kero kubwa kwa wananchi. Uliza across the board labda kama wewe ni mlamba asali au familia zao. Kuna hoi hoi na nderemo kuwa zakusanywa 2Tn/- Kwa mwezi. Humo zimo tozo batili zinazoambana na tozo za Mwigulu, faini za yanayoitwa makosa mbalimbali hata ambayo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti ya bunge la Marekani kuhusu "return" za kodi za TRUMP zinaonyesha biashara zake zinatengeneza hasara

    Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
  5. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Kwa Ukusanyaji wa Mapato kwa Asilimia 99% kupitia TRA

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%.. Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali kutekeleza ajeti yake ya mwaka 2021/2022 kwa zaidi ya asilimia 95%.. Bila shaka Rais Samia anazidi kuonesha...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

    Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi. Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
  7. JamiiForums Tanzania TRA kitengo cha elimu kwa mlipa kodi kijitathmini

    Suala la kulipa kodi ni suala la kizalendo hii elimu inatakiwa iwe inawekwa kwenye mitaala ya shule zetu, mifumo yetu ya elimu imejikita zaidi kwenye kuajiriwa hivi majuzi imekuwa kama kauli mbiu ya serikali Kwamba watu wajiajiri kwani serikali haina ajira za kuwapa..inasikitisha sana inapotokea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kizungumkuti cha msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi

    Raisi wa Tanzania alitowa msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi kwa watakaolipa kufikia 31 Disemba. Msamaha huu ulipigiwa debe na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi. Ni kwa nini utekelezaji wake unalazimisha watu wajaze fomu ya maombi wa msamaha? Isingekuwa jambo jepesi kuweka utaratibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwaka 2023: Kodi mpya za kusajili gari

    Karibuni tujadili gari zenye unafuu wa Kodi kwa mwaka 2023. Calculator ya TRA imeshafanya yake.
  10. JamiiForums Tanzania Serikali mmetunga sheria kuwasamehe kodi wawekezaji wakubwa sasa mnahangaika na watu masikini

    Mwezi Septemba 2022 Bunge lilipitisha Sheria ya kuwasamehe kodi wawekezaji wakubwa na wabunge walishangilia sana Sheria hiyo kupita. Leo TRA inashindwa kukusanya kodi kwa wawekezaji wakubwa kwa sababu tayari Mwigulu Nchemba ameshapitisha sheria yake bungeni ya kuwasamehe kodi sasa wanahangaika...
  11. JamiiForums Tanzania Sugu: TRA siyo CHADEMA, acheni janja janja lipeni kodi

    Kudos wanajamvi. Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi. Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwani TRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi ni Uzalendo. Asante Sana Sugu kwa kuonesha...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wafanyabiashara kwenye kodi

    Naomba niwape ushauri wale wote wafanyabiashara hasa ambao wana biashara mpya kuhusu maswala ya kodi. Watu wengi wameshangaa kuona Diamond wa wasafi media ana lalamikia TRA hili ni swala la kawaidia kwa wale wasio na uzoefu wa kulipa kodi na kuendesha kampuni. Mawazo yangu ni marahisi sana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania mtu ana Kodi mkononi anahangaika kuilipa

    Nimesoma quote ya mtu mmoja hapa jf, imenifurahisha sana. Ni kuhusu sakata la Diamond na TRA. Ni ukweli usiopingika mfumo wa ulipaji Kodi Tanzania bado ni changamoto. Hii efilling system ina watesa sana watu. Nashauri TRA wakae chini walitafakari hili, na kuja na mfumo rahisi na wezeshi kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi wa kodi ya biashara

    Habari zenu wakuu ! Leo nakuja kwenu nikihitaji ufafanuzi wa masuala kadhaa yanayohusisha kodi ya biashara. Ni kiasi cha miaka minne sasa tangu niingie ktk ulingo wa kutafuta maisha kupitia biashara. Nimekuwa nikihangaika na biashara tofauti tofauti za kila namna lengo niingizie kipato...
  15. JamiiForums Tanzania TRA kama hamtaki walipa kodi wapya semeni

    Kuna kitu naeza ita ni upuuzi au uzembe uliopitiliza. Nina mwezi sasa nafanya online TIN aplication lakini mtandao unasumbua. Kila nikifanya naambiwa failed to retrive data. Nimeenda ofisi zao labda naweza kupata msaada cha ajabu wananiambia hawawezi kunisaidia maana mtandai uko chini. Hii...
  16. JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya mwaka sasa tukiwa na kodi ya uzalendo

    Nimemaliza kusoma andiko lililochapisha Review of African Political Economy likizungumzia Tanzania's Solidarity Tax, yaani kodi ya uzalendo ambayo ilianzishwa mwaka 2021 robo ya tatu. Mtafiti katika andiko hilo ameweka sababu nyingi ya kuwa Tanzania haihitaji kuwa na tozo ya uzalendo, zifuatazo...
  17. JamiiForums Tanzania TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo

    Msiwasikilize wanasiasa, TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo. Natamani ku attach video ya cctv ila nahisi watanirudia waniite muhujumu uchumi. Jamaniii sijawahi shuhudia hiyo nguvu hata kama umekutwa unaiba kambi ya jeshi. Aiseeee jitahidi hawa jamaa wakija uwe una leseni, ni...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudia mtihani wa o level nikiwa nipo chuo

    NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje. Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza...
  19. JamiiForums Tanzania TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Rais Samia yapongezwa Na Wafanyabiashara, Waahidi kumuunga mkono kwa kulipa Kodi kwa uaminifu

    Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara wamefurahishwa na namna wanavyopata ushirikiano kutoka kwa serikali yao,wanafurahishwa na namna Elimu hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…