kodi

  1. JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

    Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi! Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za...
  2. JamiiForums Tanzania TRA: Wafanyabiashara wapya waendelee kujiachia mwaka mzima, wana msamaha wa kodi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja kwa kuhoji “Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?” Kama hukusoma, bofya hapa ~ Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?

    Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), na suala hilo lilipitishwa na Bunge. Swali langu ni moja: kwa nini...
  4. JamiiForums Tanzania Gari Moja lina kodi zisizozidi kumi na tano tu, msiogope!

    Unapoagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi kwenda Tanzania, unalipa kodi za : 1.Ushuru wa Forodha (Import Duty - 25%), Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty), . Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT - 18%). Ushuru wa Forodha (Import Duty): Kiwango chake ni 25% ya thamani ya CIF. Hutozwa kulingana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii Dunia imejaa madeni kila kona haiwezi kujiendesha kwa Kodi na Mikoo tena | Tegemeo la Dunia kwa sasa ni Ubia (PPP) - Kafulila

    KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Musoma inapandisha kodi za vibanda vya biashara kiholela

    Mimi ni mmoja wa wafanyabiashara nilipangishwa na manispaa ya musoma tangu mwaka 2018. Tumekua tukifanya shughuli zetu na kolipa kodi stahiki bila shida hadi ilipofika mwaka 2023 changamoto za kupandisha kodi kila mwaka zikaanza. Mwaka 2022/2023 nililipa kodi tsh 528,000 kwa mwaka kulingana na...
  7. JamiiForums Tanzania Ushuru kwenye magari, Serikali inapaswa kuangalia upya

    Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee. Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu. Halafu Tiarahei naona ushuru wanataka 15.8M Bila kupepesa Jicho mpaka hapo ni 32.7M, Ukitia na bandari charges zile walizoleta 35M...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja. Ukweli mchungu ni...
  9. JamiiForums Tanzania Inakuwaje watu wanaofanya biashara ya aina moja, mtaji sawa, eneo lilelile la biashara na mauzo sawa wanatofautiana kiwango cha kodi?

    Nina mwezi sasa nafanya utafiti kuhusu masuala ya kodi, nimegundua mambo mengi sana ambayo majibu yake hata maafisa wa TRA wanajing'ata kujibu, moja ya jambo ni hili, inakuwaje wafanyabiashara wenye mtaji sawa, rate ya mauzo sawa, eneo la biashara moja, lakini wanatofautiana kiwango cha malipo...
  10. JamiiForums Tanzania PICHA: TRA INATOA POST ZA TIPS ZA ONGEZEKO LA KODI KWA ENGLISH WHY ? WALIPA KODI WENGI NI WASWAHILI

    Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
  11. JamiiForums Tanzania Ukipokea zawadi unatakiwa kuilipia kodi?

    Hivi unakatwa kodi kwenye zawadi?
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu atoze wenzake kodi kwenye ardhi ambayo wameikuta wote hapa duniani wakati hao watu hawaiitumii kwenye biashara ni makazi tu?

    Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa biashara bali ni makazi yake binafsi na familia? Kodi ya jengo inaeleweka kwa sababu inahusisha na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

    Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi? Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi. Na hii inasababishwa na mambo mawili; 1. Kutoku file...
  14. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ongezeko la Excise Duty kwenye magari ni changamoto mpya kwa Wananchi

    Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5 kulingana na umri wa gari. Sisi wafanyabiashara tunaelewa kuwa kodi ni wajibu wetu na hatupingi kulipa...
  15. JamiiForums Tanzania Rahma Kisuo: Mkiongeza Kodi kwenye 'Betting' tutaua ajira

    Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Riyadh Kisuo, ameonya kuwa ongezeko la kodi kwenye sekta ya michezo ya kubahatisha linaweza kuathiri shughuli za biashara na kusababisha kupotea kwa maelfu ya ajira nchini. Akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Je Misafara ya Viongozi inazingatia matumizi ya fedha za walipa kodi?

    Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
  17. JamiiForums Tanzania Siri 3 za Mabilionea Kukwepa Kodi Kisheria

    Kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuwa maskini, kuwa mtu wa kipato cha kati, na kuwa billionaire. Mfanyakazi wa kawaida wa kila siku anayeamka asubuhi kwenda kupambana chini ya jua akipata mshahara au faida ya duka, serikali inakata kodi yake kabla hata hajaigusa. Lakini matajiri wakubwa duniani...
  18. JamiiForums Tanzania Nyerere hakupeleka familia yake ikalelewe na Kodi za mabeberu hii jeuri viongozi wa CHADEMA wanaitoa wapi huu ni umario wa Africa wanatuaibisha

    Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu? Je! familia zao zinaishije huko kwa mabeberu? Wanatudhalilisha waafrica tunaonekana hatuwezi kutunza...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaolipa kodi za nyumba, chakula na ada za watoto huku mkiwa na waume nyumbani wenye afya njema, mmechanganyikiwa? Are you stupid?

    Mbaya zaidi wengine mnawalipia hadi madeni yao binafsi. Acheni upuuzi. Kuna baadhi hadi mnapokea vipigo. Usiingilie majukumu ya mwanaume. He has to provide for his family.
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye biashara, TRA kodi yenu kwenye kutoa risiti mbona mnachukua mpaka na mtaji?

    Kuna mambo ya kubadilishwa ili swala la ulipaji kodi kwenye makato ya risiti. Kwa nini asilimia 18 zijumuishwe kwenye mauzo na kwa nini zisijumuishwe kwenye faida niliyopata. Mfano umeagiza mzigo thamani yake yake mpaka hupo dukani 100000/= bei ya kuuza dukani 130000/=. Mteja kataka risit na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…