Mtongani ni wapi?
Dar es salaam, wilaya ya temekeMtongani ni wapi?
Aah sawa mkuu, ngoja wajeDar es salaam, wilaya ya temeke
Mkuu vitu vitatolewa usiwe na wasiwasi kama una nia ya chumba nichekiOk toa matakataka yote pawe peupe humo ndani then urudi na tangazo lingine.
Hela iko mfuko wa shati mbele na majini yote mtoe humo.
Vinginevyo we dalali ndo utajua hujui.
By mpangaji mtarajiwa😇
We hata hujui JF ni wapiMtongani ni wapi?
Nafahamu, Ipo jirani tuuWe hata hujui JF ni wapi
Ila Tanzania,yaani hapo hayo ndo maisha ya wengi yalivoHabari chumba hiko kinapangishwa mtu anatoka kodi miezi 4
Usisahau hela ya udalali kodi ya mwezi mmoja
View attachment 3692890
Mtoni mtonganiMtongani ipo ya kunduchi na Mtoni mtongani, be specific