kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. bro alex

    JamiiForums Tanzania Yanga kuweni na adabu si kila kocha mnapalamia mtakuja kupigwa makofi

    Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia...
  2. uran

    JamiiForums Tanzania Huyu Kocha Mpya wa Yanga-Folz , hafikishi Christmas ya Mwaka huu 2025

    Huu uzi utunzwe. Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania. Na hana mafanikio yoyote kimpira. Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio. Hatoboi popote. Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana! Utopolo watamfukuza.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama kocha Fahdu Davis Kapendekeza Deborah Mavambo aondolewe Simba basi hata mm namzidi uwezo wa kufundisha

    Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo. Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana...
  4. S

    JamiiForums Tanzania World Footballers Award 2024-25: Karibuni mchague wachezaji na kocha wenu bora wa msimu ulioisha Katika dunia ya mpira.

    Vote for your best player, youngster, goalkeeper and coach. For the 2024-25 World Footballers Award.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa yanga ni Romain Folz (35yrs old )

    I will be short This is streets news , the manager has no any accomplishments. Why yanga chose him ?? We don’t know .
  6. uran

    JamiiForums Tanzania Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

  7. FYATU

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mechi zipi/ngapi ambazo tunaweza haswa kumpongeza Kocha Fadlu kwazo?

    Mimi si Mtaalamu wa uchambuzi ila kama Shabiki ningetamani kusikia ufafanuzi wa kitaalamu kwa mechi ambazo tunaweza kusema hapa ufundi wa Fadlu umeonekana?. Hivi ni nini kikomo cha muda wa kujenga timu?maana isiwe tunaenda mpaka miaka miwili tunasema bado tunajenga timu.Tuwe wakweli kama Simba...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu umefedhehesha brand ya Simba, hukupaswa kusema Yale kwenye vyombo vya habari pengine na wewe umechangia kutuangusha

    Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kocha Miloud apewe mitano tena!

    Kwa jinsi alivyoiendea mechi ya leo ni wazi anakijua anachokifanya. Nashauri Yangq imuongezee nguvu kwa kuziba madhaifu yaliyopo na kumpa uhuru wa kupanga na kuamua kikosi. Sababu zangu ni hizi. 1. Jinsi alivyoweza kuwasoma na kudhibiti ufanisi wa Simba kupitia Mpanzu, Kibu na Budo 2. Jinsi...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Fadlu sio kocha

    CV ya Fadlu inaonyesha huwa anazifunga timu zinazo park bus na sio timu zinazo shambulia.. Fadlu ukitaka aonekane kocha wa maana wewe park bus. Ila ukimshambulia hanaga ujanja wowote. Timu zote ambazo zimemshambulia Fadlu zimepata matokeo
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Fadlu Davis Kocha Wa Simba: Refarii Asitunyime Penati

    Kocha mkuu wa Simba amezungumza kuelekea mchezo wa Dabi nakumesema.." Labda watacheza kwa ajili ya sare, labda wataamua kubaki nyuma na kucheza kuipata sare maana bila shaka wakipata sare watakuwa mabingwa, na sisi tunahitaji kucheza kushinda (ili tuwe mabingwa)... Hivyo utakuwa mchezo wa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge aliyekuwa anaifundisha Al Hilal

    Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge ambaye alikuwa anaifundisha klabu ya Al Hilal ya Sudan. Kilichosalia ni utambulisho rasmi tu. Azam inaendelea kujitafuta ili ifikie malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara, kwa kufanya sajili kubwa msimu huu.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna kocha maalum wa makipa?? Wapo wapi makocha wa mabeki, forwards au midfielders??

    (1) Kwanini kuna makocha maalum wa makipa na hakuna makocha maalum wa forwards, mildfilders au mabeki?? (3) Kwanini wachezaji wengi wastaafu wakiamua kuwa makocha basi ni wale mabeki, forwards au viuongo wa zamani na sio makipa wa zamani?? Kwanini makipa wa zamani sio makocha wakuu wa timu...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tunaenda AFCON TFF Tafuteni kocha mwenye CV

    Tanzania hatujawahi kushinda mchezo wowote katika kushiriki kwetu afcon. Kwa ufupi nimiongoni mwa timu dhaifu sana katika mashindano ya AFCON zilizopita. Pamoja na unyonge huo tunatakiwa kujitutumua kwenye maandalizi , TFF tafuteni mwalimu mwenye uwezo mkubwa na hili halihitaji kupepesa macho...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Simba na Kocha wao Fadlu Davis wapigwa faini ya milioni 7

    Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji uwanjani wakati wa mchezo tajwa hapo juu kwenye uwanja wa KMC Complex Mei 28, 2025. Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Klabu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu kajitahidi sana. Lakini Simba itafute kocha

    Huu ndio ukweli mchungu. Msimu ujao hata hiki kidogo kizuri alichofanya hakitaonekana. Labda akubali kuwa assistant coach
  17. Mngoni asiyepiga gambe

    JamiiForums Tanzania Simba tujitahidi sana kumlinda kocha Fadlu Davids

    Kwa kile nilichokiona jana mbali na kuwa na mchezo mgumu ila jambo moja la uhakika ni kuwa Simba tuna kocha wa maana sub ya kipindi cha pili ya kumtoa Kibu na kumuingiza Nouma ilikuwa kete muhimu sana kulinda timu kutokana na maafa ambayo yangeweza kutukuta ,kuna mambo mawili kocha alitaka...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tukatae Ujinga kwa Bei Yoyote – CCM Imekuwa Kocha wa Kushindwa Tangu 1977!

    Listen up my people, Watanzania wenzangu! It’s high time tujikumbushe kuwa hii nchi ni yetu sote, not just for a chosen greedy few. Tumekuwa tukichezewa kwa miaka kibao, na bado tunaambiwa tukubali, tuvumilie, tusubiri maendeleo – hell no! Enough is enough! Tupo kwenye nchi yenye ardhi ya...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Rasmi Klabu Ya National Al Ahly Imefuta Kazi Kocha Wake Marcel Kohler

  20. Auto-Marvelt

    JamiiForums Tanzania C. TAWALA FC TUBADILISHE KOCHA. HALI SIYO NZURI TENA

    Niweke wazi kwanza, mimi sio timu Tawala wala Tawaliwa bali timu maendeleo. Kila kukicha tunaona makundi yanaibuka yanayosema kocha wetu anaupiga mwingi hadi unamwagika lakini bahati mbaya ni makundi ya wachezaji tu sio mashabiki. Kocha anashindwa kufanya sub-konki za kutupa alama tatu...
Back
Top Bottom