kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba ndio tatizo na hakika hatutofuzu, hana plan B kabisa, wachezaji wa kuamua mechi unawaweka benchi

    Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala. Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia Camara KAPOMBE ZIMBWE Chamoue Hamza Ngoma Kagoma Kibu Ahoua Ateba Mpanzu Akibadilisha mchezaji hata mmoja hapo nipo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

    Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka? kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi? Fabrice konokono Ngoma pale kati...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kocha wa Tabora Utd: Nimefukuzwa kwa kosa langu ni kuifunga Yanga

  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

    Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC). Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kocha wa MAN U kuifundisha Harambee stars

    Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii. Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Afrika kusini na aliwahi kuzitumikia klabu kadhaa kama kocha mkuu kama vile Amazulu,Capetown...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar yamfuta kazi kocha wake Mellis Medo

    Klabu ya Kagera Sugar imefuta kazi kocha wake Mellis Medo baada ya matokeo mabaya ya timu hiyo msimu huu. Kagera imechukua maamuzi hayo baada ya kocha huyo kuongoza timu hiyo kwenye mechi 14 za Ligi Kuu Bara tangu alipotangazwa kuwa kocha wa timu hiyo, Oktoba 17,2024. Medo ambaye alitua Kagera...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sijawahi sema refa sio kocha toka nianze kufundisha hata kama anapuliza filimbi kama anachezesha ngoma. Lakini kwa jana nawaachien wananchi

    Walioangalia KIPINDI CHA michezo channel ten yanasikitisha sana sanaa, Kocha mgunda kaulizwa umeonaje mechi, AKASEMA hajawahi kumsema Refa YOYOTE Toka aanze KUFUNDISHA akasema HATA kama anapiga filimbi kama ANACHEZESHA ngomaa Lakini yaliyotokeaaaa wananchi mmeyaonaaa nawaachia nyie mseme...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Singida BS wamsagia kunguni Uchebe, wadai hakuwa na sifa za kuwa kocha mkuu wala msaidizi

    Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki atosa Honeymoon na Hamisa Mobetto kisa mechi ya Singida BS. Je, kocha wa Yanga hawaamini wachezaji wengine?

    Wakuu Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars. Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kocha Mpya Asema Yanga wanapangiwa match kila baada ya siku 3. Jamaa ana kitu atafika mbali

  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa huyu kocha mpya wa Yanga, Dube kupewa kipaumbele na Aziz Ki kutumia nguvu nyingi kwenye pisi, Kipigo hakikwepeki Derby, Simba wanazirudisha zote 5

    Zinarudi zote na zinaweza kuzidi, Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote. Unahitaji akili za kawaida kabisa...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kocha Himdi Maloud anaweza kuwa jasusi wa soka aliyekuja kuimaliza Yanga, afukuzwe mapema

    Habari wakuu Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hamdi, Kocha wa Yanga aanza na malalamiko baada ya suluhu na JKT Tanzania

    Hamdi Kocha wa Yanga "Ukiwa unafukuzia ubingwa ni ngumu kukaa kileleni, ni bora kukaa nafasi ya pili ukiwa unampumulia kinara wa ligi, narudia tena hakuna kazi ngumu kama kukaa kileleni" "Halafu leo sijapendezwa na refa, muda wote alisimamisha mchezo na kupoteza muda"
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwambieni kocha Fadlu mashabiki wa Simba tumechoka na ufundishaji wake wa 'Back Pass'

    Hakuna kitu kinachotukera ndani ya Simba kama Back Pass, mpira akishika Razak Hamza anarudisha kwa Camara, Che Malone akianzishiwa mpira anasogea nao halafu anamrudishia tena Camara, Kagoma naye hivyo hivyo, Ngoma naye hivyo hivyo, yaani kurudisha nyuma kwa kipa Camara yaan Back Pass hata kama...
  15. Powder

    JamiiForums Tanzania Naona Kocha wa Fountain Gate kaamua kuwatafutia Simba Hili.

    Kwa kuwaambia Wachezaji wake kipindi Cha pili wafunguke mwanzo mwisho.
  16. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Je, kocha wa Yanga anaweza kuwa kocha mkuu Ligi ya NBC? Ukweli huu hapa

    Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu akiwatonya kuwa amepata ofa nono huko Algeria. Baada ya kuzungumza naye walibaini kuwa CR Belouizdad ya...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Fountain Gate: Mimi ni shabiki wa Simba, asema mechi ya leo ni kuonana kwa Simba na Simba

    Kuelekea mchezo kati ya Fountain Gate Fc dhidi ya Simba Sc, Kocha mkuu wa klabu ya Fontain Gate Fc, Robert Matano ameweka wazi kuwa yeye kwao Kenya anaitwa Simba na anakwenda kukutana na mnyama mwenzie. "Mimi ni mpenzi wa Simba toka miaka mingi toka nacheza wakati huo marafiki zangu wanacheza...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Utopolo Wamekimbiwa na Kocha

  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Singida wamepokea kwa mshtuko na masikitiko kocha wao kutambulishwa Yanga

    Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeeleza kustushwa na taarifa za Kocha wao Mkuu Hamdi Miloud Raia wa Algeria na Ufaransa kutambulishwa kama Kocha mpya wa Yanga bila kufuata utaratibu. Singida Black Stars walimtangaza Hamdi Miloud kuwa Kocha wao mpya mwezi mmoja uliopita kwa Mkataba wa...
  20. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Anaandika mchambuzi nguli wa mpira, Geoff Lea kuhusu Kocha wa Singida kutua Yanga

    Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tu
Back
Top Bottom