kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

    Muda mfupi baada ya kuondoka Singida Fountain Gate FC, Kocha Ernest Middendorp ameweka wazi sababu ambayo imemuondoa kwenye klabu hiyo. Akizungumza katika mahojiano na Mtangazaji Robert Marawa ambayo yamerushwa na 947 Joburg, kocha huyo amesema: Baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
  2. JamiiForums Tanzania Hata Mimi kwa Dharau hii ningekuwa Kocha wa Singida Fountain Gate FC ningewaachia tu Litimu lao

    "Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC. Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
  3. JamiiForums Tanzania Alaumiwe kocha au benchi lake la ufundi?.

    Kocha alisajili kila mchezaji aliye muhutaji, alimpa kila funzo alilodhani ni la msingi kuonyesha uwezo uwanjani. Kila yalipotokea mabadiliko uwanjani mashabiki hawakuisha kuwa na matumaini na maingizo mapya ya kocha. Lakini matumaini hayo hayakuwahi kutimia, kila mabadiliko, zilisikika sauti...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Mafuriko haya makubwa ya Brazil sasa hivi Kocha Roberto ataomba Udhuru hata kama hayajatokea Mji atokao

    Na hivi anavyopenda kwenda Kwao ( Brazil ) mara kwa mara nina uhakika hii Taarifa ya kutokea kwa Mafuriko makubwa nchini Brazil hivi sasa atakuwa anaitafuta Pasipoti yake ilipo na baadae awapigie Simu Viongozi na baadae Mchana au Jioni au Kesho aliamshe ( aende ) Kwao. Mwenye namba ya Simu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Siyo kila mchezaji mkubwa anaweza kuwa kocha mwenye mafanikio

    Mara kadhaa niliwahi kuahidi kuleta uzi unaohusiana na mada hii, leo nimetulia kidogo nimeukumbuka. Ngoja nitiririke. Kuna hii kasumba iliyojengeka kwenye mpira kudhani kuwa mchezaji yoyote hasa akitokea kupata mafanikio fulani kama mchezaji anaweza kuja kuwa kocha mzuri pale atakapostaafu...
  6. JamiiForums Tanzania England: Kimenuka, baada ya kuwekwa benchi, Jadon Sancho amjia juu kocha wake hadharani

    Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali hivyo ni visingizio dhidi yake. Kabla ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Singida Fountain Gate yaachana na Hans Van Der Pluijm

    TAARIFA KWA UMMA Kocha wetu Hans van der Pluijm hatutaendelea nae. Timu yetu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo. --- PRESS RELEASE RE; COACH HANS VAN DER PLUJM RESIGNATION On behalf of the Board of Directors, management, sponsors, stakeholders...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mpaka sasa hawajaelewa falsafa ya kocha wa Yanga Gamond njooni hapa mpate somo

    Kocha hana mpango na mfungaji bora, kocha anataka magoli, kocha an at a mchezaji yeyote ambaye yupo ndani ya box anatakiwa kufunga goli, kocha hataki ufalme wa mchezaji, kocha anataka ufalme wa Yanga. Wale wachezaji aina ya Inonga kumkamia mchezaji Fulani ndio mfungaji muwape ujumbe, gari...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu na uelewa wangu wa soka la Bongo, Leo Azam washinde au washindwe kocha atatimuliwa

    Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana kazi. Timu imesajili vyuma hasa lakini kiwango sifuri, asipofukuzwa kocha kesho mtaniambia
  10. JamiiForums Tanzania Taifa linapitia kipindi kigumu. Huyu ndiyo kocha wa Biashara Mara

    Edina Lema ndie kocha msaidizi wa biashara united ya mkoani Mara. Hongereni wanajeshi wa mpakani. Nasema hongereni hasa viongozi wa juu!
  11. JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga angemsikiliza Captain Wanayanga tungekuwa tunacheka muda huu. Hili ni fundisho kwake

    Ndugu wapendwa mabibi na mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sana, sana kwa yaliyotokea huko Tanga, kila jambo lina mapenzi mema siku zote. Nieleze kifupi tu, kuna baadhi ya maombo hawa Makocha wapya A.K.A Wazungu wanahitaji kukubali ushirikiano na hasa kwa ma captain ama wazoefu...
  12. JamiiForums Tanzania "Simba hatuna kocha" asema Mayor mstaafu Boniface Jacob

    SIMBA HATUNA KOCHA Ameandika mwanachama wa Simba SC na Mayor mstaafu Boniface Jacob ✍️ "1. Simba hatuna kocha ... 2. Tunasajili halafu tunaogopa kutumia wachezaji wazuri tunaweka walewale tukitegemea matokeo mapya .. 3. Mtani alituzidi kimbinu na kiuwezo ndani ya uwanja. 4. Yanga...
  13. JamiiForums Tanzania Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

    Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa 4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
  14. JamiiForums Tanzania Huyu kocha wa Simba hamalizi msimu

    Naona huyu kocha wa Simba hatamaliza msimu. Akifika hata nusu tru ya hii season ashukuru.
  15. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi ni mnafiki,alimkataa Morison Yanga ameenda kumsajili AS Far Rabat

    Morison hakupewa mkataba mpya Yanga kutokana na ripoti ya kocha Nabi kuwa hafai,cha ajabu eti kaenda kumsajili AS Rabat
  16. JamiiForums Tanzania Kocha ana Ndevu mbaya kama Paka wa Wodi ya Mwaisela Muhimbili ndiyo mtegemee aifunge Yanga SC?

    Kama kuna Timu kwa sasa itakuwa ni ya Pili Kwangu Kuichukia baada ya ile nyingine inayojulikana na kila Mtu kuwa naichukia zaidi basi itakuwa ni Azam FC. Timu imejaa Unafiki na Uyanga mno.
  17. JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Tarehe imewadia, Klabu za Yanga na Azam hapa nchini zinaenda kukiwasha Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, jiji lenye raha yake, waja leo waondoka leo. Kikosi cha Yanga kina nyota tishio wapya kama Skudu, Konkon huku Azam ikiwa na nyota wapya machachali weka mbali na watoto Feisal, Bangala...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kocha analaumiwa kwa matokeo mabaya na sio kwa kutompanga fulani

    Siku zote kocha huwa analaumiwa kwa matokeo mabaya kutokana na yeye ndie anaefundisha na kuchagua wachezaji wa kuanza kwenye kikosi. Sasa nyinyi mnaolazimisha Phiri apangwe, je, akipangwa na matokeo yakawa mabaya nani atawajibika? Ni kawaida kwa mchezaji aliekuwa tegemeo kupoteza namba baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC Kocha Robertinho akiendelea Kutompanga Mshambuliaji Moses Phiri nitamtaja Kiongozi anayemchukia

    Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi. Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
  20. JamiiForums Tanzania Wakati wakipanga Mechi yao ya Kirafiki iwe tarehe 6 August, 2023 ili Kuihujumu 'Simba Day' Kocha wao kataka isiwe na Mashabiki

    Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote. Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…