KMC Hospital, also known as Kasturba Medical College Hospital (Mangalore) is a hospital situated in Mangalore city of Karnataka in India. It has branches in the city near Jyothi Circle (Dr. B R Ambedkar Circle) and at Attavar respectively.
Na hapa sijazisemea zile nne nne ambazo wamepigwa sana hadi moja Kipa Peter Manyika alimuomba Mzee wa Kiminyio Madaraka Selemani asimfunge goli la 5 kwani wangedhalilika na yeye asingeaminika tena golini.
Mkiambiwa washamba mnachukia.
Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex
Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi kuu tangu wapande daraja msimu wa 2018/19, KMC wameshinda mara moja pekee dhidi ya Yanga, huku sare...
Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC Wenzako tuicheze Kimafia na Kimjinimjini hiyo Mechi uwafunge Goli 3 au 4 kwa bila ili mbakie Ligi Kuu...
GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki.
Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja haivumiliki na itaharibu Mpira wetu.
TAKUKURU nawaombeni kamateni Simu za Viongozi wote wa Vilabu vya...
Kwenye Mchezo wa Jana ( Wenyeji wa Mechi ) walikuwa ni KMC ambao kwa sababu zao wenyewe waliamua Kuukimbia Uwanja wao wa Nyumbani wa Uhuru Mkoani Dar es Salaam na kuamua kuipeleka Mechi hii CCM Kirumba Mkoani Mwanza.
Baada ya Utangulizi huu sasa GENTAMYCINE nawawekeeni Nukuu ya Kauli ya Kocha...
Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.
Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya...
Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa.
.
Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023.
.
Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc.
.
Karibuni Wakuu.
=======
01' Mtanange umeanza Benjamin...
Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC?
Cha kushangaza leo unaenda kucheza na Yanga SC, ila kwa takribani wiki au aiku tano hujasikika kabisa...
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru, Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC.
Azam ni timu ya kawaida sana, inakuzwa sana na vyombo vya habari kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulika kitakwimu ni moja tu, nayo ni mnyama Simba SC.
Kwa mara ya kwanza almanusura KMC ichukue point zote 3 mbele ya timu ambayo mashabiki wake wanajinasibu wanayo timu bora.
Unaokota point 1 mbele ya timu ambayo ni ya kawaida tena kwenye uwanja ambao unaweza kupanga mbinu zako na zikakubali.
KMC aijawai kuchukua point kwa simba zaidi ya kipigo...
Habari,
Young Africans Mabingwa Wa Kihistoria Nchini Leo Wataingia Uwanjani Kumkaribisha KMC kwenye mchezo wao wa kumi na name hapo saa moja kamili usiku Uwanja Wa Benjamin Mkapa.
Hadi sasa Young Africans hawajapoteza mchezo wowote na inawafanya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi. Tunategemea...
Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.
Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani
Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa KMC, mkae mkijua hilo.
makolo mulibwanji
Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka
nasema hivii watulie dawa iingie
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League (VPL) Kuendelea kupigwa leo July 7, 2021 ambapo Kinondoni Municipal KMC FC, wanawakabili Mabingwa wa Nchi Simba SC, kwenye Dimba la Mkapa Jiji Dar es salaam.
KMC FC wanaingia Dimbani wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mkondo wa...
Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....!
Source: Blog Ya SalehJembe.
Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
Nataka tu Mshinde au Mtoke Sare tu, ila msikubali Kufungwa kabisa leo kwani mtanikera.
Hao Mabeki wenu waambie Wawagongegonge ( wapige Buti ) sana akina Kisinda na Ntibanzonkiza.
Tumeshamaliza Jukumu la Kimataifa ( CAF Champions League ) na tunarudi VPL.
Nawaonea mno Huruma watakaokutana na...
Baada ya kumnyuka Namungo bao 3-0 , leo KMC wamepoteza mbele ya Tanzania Prisons bao 2-1 mchezo uliopigwa katika dimba la Nelson Mandela huko Shmbawanga.
Jeremiah Juma alitosha kuiibua timu hiyo kidedea baada ya kuweka mpira wavuni mara mbili, kunako dakika ya 29 na dakika ya 50. Huku goli la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.