kmc

KMC Hospital, also known as Kasturba Medical College Hospital (Mangalore) is a hospital situated in Mangalore city of Karnataka in India. It has branches in the city near Jyothi Circle (Dr. B R Ambedkar Circle) and at Attavar respectively.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kipa kwa KMC kauza mechi

    Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi. Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa bodi ya ligi leo washabiki waliojaa uwanjani ni wa KMC

    Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa KMC, mkae mkijua hilo.
  3. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Magori uliongea nini Makonda alipoipa KMC milioni 20 kwa kuifunga Yanga?

    makolo mulibwanji Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka nasema hivii watulie dawa iingie
  4. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania KMC FC Vs Simba SC (0-2) | Dimba la Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League (VPL) Kuendelea kupigwa leo July 7, 2021 ambapo Kinondoni Municipal KMC FC, wanawakabili Mabingwa wa Nchi Simba SC, kwenye Dimba la Mkapa Jiji Dar es salaam. KMC FC wanaingia Dimbani wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mkondo wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mechi Ya Azam FC na KMC Wabadilishwa Muda.

    Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....! Source: Blog Ya SalehJembe. Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
  6. M

    JamiiForums Tanzania KMC FC nimeshamaliza kila Kitu, tafadhali msiniangushe leo mnapocheza na Njaa Vitisho Malalamiko Albadiri Jangwani FC kwa Mkapa

    Nataka tu Mshinde au Mtoke Sare tu, ila msikubali Kufungwa kabisa leo kwani mtanikera. Hao Mabeki wenu waambie Wawagongegonge ( wapige Buti ) sana akina Kisinda na Ntibanzonkiza. Tumeshamaliza Jukumu la Kimataifa ( CAF Champions League ) na tunarudi VPL. Nawaonea mno Huruma watakaokutana na...
  7. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prisons (Wajela jela) waipigisha Gwaride KMC

    Baada ya kumnyuka Namungo bao 3-0 , leo KMC wamepoteza mbele ya Tanzania Prisons bao 2-1 mchezo uliopigwa katika dimba la Nelson Mandela huko Shmbawanga. Jeremiah Juma alitosha kuiibua timu hiyo kidedea baada ya kuweka mpira wavuni mara mbili, kunako dakika ya 29 na dakika ya 50. Huku goli la...
  8. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Live toka CCM kirumba: KMC vs Yanga

    Karibuni Kikosi cha KMC Kaseja Brysoñ Lusajo Dante Mgareneza Abdu Kenny ally Mveyekule Kabunda Hilary Ppeter Kikosi cha Yanga Mnata Kibwana Mstafaaa Lamine Mwamnyeto Mkoko Feisal Kaseke Waziri Jr Sapong Kisinda
Back
Top Bottom