kiwanja

  1. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja king’azi Malamba

    Eneo lipo king’azi maeneo ya mbezi malamba, king’azi Dar es salaam, Sifa za eneo husika 1. Maji na umeme vipo mpakani 2. Muuzaji ni mimi mwenyewe naishi hapohapo 3. Ukubwa wa eneo upana ni hatua 14 na urefu ni 24 4. Sehemu ni nzuri sana Nitafute kupitia email yangu Email...
  2. JamiiForums Tanzania Kiwanja kiluvya Gogoni

    Njoo na ml 10 tu upate kiwanja 20*20 kiluvya gogoni boda buku hadi site piga simu 0675 065906
  3. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa: kiluvya

    Ukubwa SQM 400 Msingi: tayari Umbali 2km kutoka barabarani Kimepimwa Full docs Kizuri Wahi! Bei! 8mil Njoo inbox:
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni

    Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada kimepimwakina square meter 700 bei milioni 35 kiwanja kipo kibada karibu na tawi la crdb bank block 5 kwa mawasiano simu 0659962452
  5. JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kujenga Mwanza

    Salam ndugu zangu, mimi ni mkazi wa Mwanza ninaomba kwa atakayekuwa na kiwanja kizuri chenye ukubwa wa kuanzia 30 kwa 40 ama squameter kuanzia 1000. Maeneo yoyote kuanzia Nyegezi uelekeo wa hadi Usagara.
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja Zanzibar

    Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani. Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
  8. JamiiForums Tanzania Hati ya kiwanja kwa watoto chini ya kiaka 18

    Habari ya muda huu ndugu mwanajamii, Naomba kueleweshwa na anaejua taratibu za kupata hati ya kudumu ya kiwanja alichonunua mzazi akaandika jina langu. Kiwanja kilinunuliwa nikiwa na miaka minne tu, enzi hizo kabla ya uwepo wa NIDA. Miaka 38 baadae, nataka kubadili ile hati ya karatasi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kiwanja nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi

    Namtaka bingwa wa kuona Mbali. Mwenye macho ya Eagle 🦅 Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi. Hizo nyumba mbili unazoziona. Moja ina Rangi ya light blue na nyingine imeezekwa Kwa bati ya Rangi ya maruni zipo ndani ya kiwanja. Sqm 629.78 Hati Safi Hakuna mgogoro Dakika moja Hadi...
  10. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kiluvya Gogoni

    Kiwanja Kinauzwa Kiluvya gogoni umbali km 1.5 tu kutoka moro road kipo upande wa kituo Cha polisi gogoni Bei ni Mln 13 tu Piga simu 0675 065906
  11. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya: Inakuwaje kupata Hati ya Kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu?

    "Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anauziwa kiwanja/ nyumba bondeni ambako hata bajaji haiingii. Ni matatizo ya akili?

    Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari . Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii. Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli? Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
  13. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Tabata kwa Swai 45mil...tu

    Hello Ukubwa wa kiwanja ni 500sqm... Bei Tsh.45mil45mil..... Kina document ya hati miliki .
  14. JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIPO KISOTA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

    Habari ya sikukuu wakuu. Kiwanja kinauzwa 🔥Kina ukubwa wa square metres 597 🔥Kinapatikana KISOTA BLOCK 3 Mtaa wa nyuma ya barabara ya Dr Dau.(Ni mtaa ulio oposite na nyumba ya Dr Dau. 🔥Kina hati ya wizara 🔥Ni corner plot yaani kinatazama barabara mbili za mtaa. 🔥Hakina mgogoro wowote kinauzwa...
  15. JamiiForums Tanzania Bilioni 57 kuwekeza majengo katika Kozi ya urubani,Mbona mnachezea pesa ,Pale Chato kile kiwanja kinazidi kujifia

    Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala. Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga. Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kiwanja kina ukubwa robo eka. Kipo kibaha visiga. Umbali Mita 300 kutoka morogoro road. Unatembea kwa miguu kidogo unaingia ndani. Bei milioni 9. 0678908743
  18. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja na site Morogoro Mjini ukubwa sqmUKUBWA SQM 1500

    CONTACT ME 0762098871
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu

    "Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu hasa hapa Dar Es Salaam, Migogoro ya ardhi unakuta shamba la mtu huyu anapewa hati mtu mwingine, lakini haya yote sasa yameondoka, ardhi yetu tumeipima, tunaendelea kuipima na kama mmesikia nilisema...
  20. JamiiForums Tanzania Ramani nzuri ya kisasa kiwanja changu ni 840M²

    Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21). Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi. * Nyumba ya kisasa *Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2 Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini. Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…