Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21).
Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi.
* Nyumba ya kisasa
*Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2
Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini.
Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye...