kiwanja

  1. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kumuunganisha Msajili wa Hati Miliki (Registrar of Titles) Kwenye Kesi ya Ardhi Ambayo Kiwanja Kimesajiliwa na Kina Hati

    Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo ardhi ina hati ni kumnyima haki ya kusikilizwa. Na hukumu yoyote itakayotolewa kwenye hiyo kesi bila...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Mbweni, bajeti Mil. 60

    Just Whatsapp. NO CALLS
  3. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro-Mkundi Kiegeya sqm 600(20/30)

    Kiwanja kipo Kiegeya (Mkundi) Morogoro Kimepimwa na kina hati ( documents ) za malipo halali ya serikali na wizard ardhi Kinafikika kwa hali zote Ni kiwanja no 3775 Bei Tsh.2.5m Njoo Mazungumzo yapo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja na shamba- phahi (kondoa)

    Wadau wa jamvini, Niataji kiwanja na shamba la kununua kata ya pahi(kondoa). Mwenye kiwanja au shamba nijulishe inbox au kwa namba 0767727388.
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango akagua ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Kigoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekagua na kupokea taarifa ya maendeleo ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kigoma unaoendelea kutekelezwa Mkoani Kigoma. Dkt. Mpango amekagua uwanja huo, leo Julai 09, 2024 katika Manispaa ya Kigoma...
  6. JamiiForums Tanzania Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo ukinunua kiwanja hicho Karibu sana simu 0712815440
  7. JamiiForums Tanzania Ipi tofauti ya kiwanja cha makazi na biashara na makazi pekee?

    Kwenye kumilikishwa viwanja kuna hati za aina mbili: 1. Makazi pekee. 2. Makazi na biashara. Na hata umilikishwaji wake una gharama tofauti cha biashara na makazi kina gharama zaidi per squre meter je? Tofauti ni ipi na faida ni zipi?
  8. JamiiForums Tanzania Kiwanja hatua 15x15 kinatosha nyumba ya vyumba vitatu na sebule na choo?

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
  9. JamiiForums Tanzania Yusufu Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, zaidi ya Ndugu na zaidi ya Mwanayanga mbele ya Wanayanga wenzake

    Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, Zaidi ya Ndugu, Zaidi ya Mwanayanga Mbele ya Wanayanga Wenzake. (1) Manji aliwahi kuwalipia Viingilio Mashabiki wa Yanga Mechi ya Yanga na TP MAZEMBE, Mashabiki na Wanachama Wakaingia Bure. (2) Manji Aliwalipia Viingilio Wanachama Wa Yanga kwa Ajili ya kwenda...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa njiro Temdo Arusha

    Kiwanja kinauzwa Njiro Temdo kwa nyuma. Kiwanja kina ukubwa sqmt 2198, urefu wa kiwanja ni 59.43 na upana ni 37 ni mita 900 kutoka njiro barabara kuu. Huduma za kijamii zinapatikana. Maongezi yapo. Sqmt 1 ni Tsh. 50,000, maongezi yapo. 2198*50,000=109,900,000 maogezi yapo karibu sana. Huduma...
  11. JamiiForums Tanzania KMC wanapaswa kupongezwa sana kwa kujenga KIWANJA kizuri Cha mpira

    Ukiangalia uwanja wa kmc unaona kabisa ni KIWANJA kizuri na chenye standard nzuri ukuta na hata majukwaa na vyumba Hii Inanipa sababu kabisa ya kuwaomba bodi ya ligi na tff mwakani kuwa team za ligi kuu zitumie 1.Uwanja wa Mkapa. 2.uwanja wa uhuru. 3.uwanja wa Azam 4.uwanja wa Mkwakwani(maana...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kununua kiwanja

    Wakuu nianze kwa kutoa salamu kwa wote ikiwa ni pamoja na pole kwa mihangaiko ya siku. Tukirudi kwenye kwenye kichwa cha habari, nimekiwa nikiishi kwenye nyumba za kupanga karibia miaka mitano hapa dar ila kwa sasa nafikiria nitafute kiwanja nijenge. Wazo la kwanza nafikiria nitafute kiwanja...
  13. JamiiForums Tanzania KIWANJA CHA NDEGE CHATO FANYENI CHUO CHA URUBANI LA SIVO MTAKUWA MMEPOTEZA PESA ZA WANANCHI

    Naumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu. Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona...
  14. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Mvuti

    Nauza kiwanja changu maeneo ya Mvuti (kina msingi mkubwa wa nyumba ya vyumba vinne; viwili master, dining pamoja na jiko). Kama unatoka Chamazi kipo mkono wa kushoto, ukiwa unatoka Chanika Kipo mkono wa kulia na kina ukubwa wa miguu 23 urefu kwa miguu 18 upana, ni kiwanja kwa ajili ya makazi...
  15. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mlandizi Msufini, SQM 753

    Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini sheli, Block J, kama unatoka Mbezi kipo mkono wa kushoto, kina ukubwa wa SQM 753 (39.56 urefu kwa 19.01 upana) ni kiwanja kwa ajili ya makazi. Kiwanja kipo karibu na barabara ya Dsm-Morogoro maarufu morogoro road. Kutoka kituo cha magari Msufini mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania Kuongeza ukubwa wa kiwanja

    Wakuu habari za mchana. Naomba kufahamu iwapo naweza kuongeza ukubwa wa kiwanja changu ambacho nimeongeza kwa kufanya land reclamation na kubadili hati kuwa na ukubwa zaidi. Naomba kushauri wakuu
  17. JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIVULE

    SOLD...! KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE SIZE : 40 METERS X 40M SOLD SOLD OUT.... 🙏
  18. JamiiForums Tanzania SOLD: Kiwanja kinauzwa Kivule

    SOLD OUT....! KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE SIZE : 40 METERS X 40 METERS PRICE : 25 MILLIONS CONTACT : 0712 36 33 58. ALL SERVICES AVAILABLE HAKUNA DALALI
  19. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside/Jeshini. 1,400 sqm

    Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km Ukubwa ni 1,400 square metre Bei ni 90m Piga 0625617565 Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni kikubwa.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kivule mpaka Msongola. Bajeti ni milioni 5 na kisipungue sqm 300

    Habari wadau. Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola. Bajeti yangu ni milioni 5. Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru. Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake. Pesa ipo mfuko wa shati
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…