kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania kitendo cha polisi watupa mzigo wa chakula Cha raia kwenye mtaro wa maji machafu sio cha kiungwana.

    Salaam. Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba mzigo wa maguni ya maharage sasa polisi wakamkamata sasa badala ya kufuata sheria jambo la kwanza wao...
  3. K

    JamiiForums Tanzania TPCSS 1 ni kiwango gani cha mshahara?

    .
  4. JamiiForums Tanzania Kuna kiwango chapesa huwezi kufikia bila kuwa na spiritual stamina

    Kuna kiwango chapesa huwezi kufikia bila kuwa na spiritual stamina yes Ni kweli. Kuna hatua za mafanikio ambazo akili, mikakati, na bidii peke yake haziwezi kukufikisha — unahitaji uthabiti wa ndani (spiritual stamina) unaokusaidia: Kuvumilia msimu wa giza — kipindi ambacho hakuna matokeo ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Al jazeera: Bei ya mafuta imeshuka katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana toka kuanza kwa vita vya USA-Israel dhidi ya Iran. Vipi huku kwetu?

    Shalom Shalom wakuu...!! Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na taarifa kutoka kwa shirika la habari la kimataifa la Al Jazeera ikisema kuwa bei ya mafuta imeshuka sana katika viwango ambavyo havijapatwa kushuhudiwa toka vita ya Marekani akishirikiana na Israel dhidi ya taifa la Iran...
  7. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Azam Energy hawaoneshi kiwango cha caffeine kilichopo kwenye vinywaji hivyo?

    Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa. Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa hii kushughulikia suala hili kwa kuweka taarifa sahihi na wazi kwenye vifungashio. Watumiaji wana haki...
  8. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  9. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Omary Sukari: Geita ina kiwango kikubwa cha uzazi hiyo inafanya uzazi wa mpango kuwa kipaumbele kikubwa

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za uzazi wa mpango. Haya ndiyo mambo makuu aliyoyazungumza Juni 18, 2026 Jijini Dodoma: 1. Mafunzo na...
  10. JamiiForums Tanzania Wakongwe wadatishwa na kiwango cha Messi

    Baada ya Lionel Messi kupiga show lingine la hatari World Cup, legends mbalimbali wamejikuta wakimmiminia sifa La Pulga mfululizo kama mafuriko. Ronaldo Nazário “De Lima”, "The Real Ronaldo" mwenyewe amesema muda umefika dunia ikubali kuwa Messi ndiye GOAT wa kweli🔥 Bingwa huyo wa zamani wa...
  11. JamiiForums Tanzania FIFA imeidhinisha mgao wa Tsh. Trilioni 1.9, kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya mashindano hayo

    FIFA World Cup 2026 imeidhinisha mgawanyo wa fedha wa dola milioni 727 (Tsh. Trilioni 1.9) kwa ajili ya mashindano hayo, ambao ni mkubwa zaidi katika historia ya michuano hiyo. Kati ya kiasi hicho, dola milioni 655 zitatolewa kama zawadi kwa timu 48 zitakazoshiriki, ikiwa ni ongezeko la...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali imejenga zaidi ya Kilometa 1,495.45 za Barabara kiwango cha lami na madaraja makubwa 18 ndani ya Miaka 5

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Tukijenga Utaratibu wa kuwa wakweli, Tukijenga utaratibu wa kutoa mawazo yetu kwa nia njema, tutajenga Nchi kwa kiwango kikubwa sana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Marehemu Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, yaliyofanyika katika Kijiji cha Mabui...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali iimulike CRDB Bank. Inadhulumu wateja kwa kiwango cha ajabu

    Bank ya CRDB ina makato ya hovyo na ya ajabu . Yaani hii benki unaweza kukatwa kila siku elfu 10 bila kujua. Wanakaa wanakata tu 1500, ukizubaa kidogo wanakata 3000 ukishangaa kidogo wanapita na sh. elfu 2, . Ukicheki statement wanaandika tu imelipwa. Bila kutaja umemlipa nani na kwa malengo...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna kiwango cha juu cha umeme wa LUKU mtu anachoruhusiwa kununua?

    Habarini wakuu. Naomba kuuliza swali la kizushi. Kiwango cha juu cha umeme wa LUKU ambacho mtu anaruhusiwa kununua ni kiasi gani?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Mnaposema kuwa mtu hawezi kutajirika kwa kuajiriwa, huwa mnazungumzia kiwango gani cha utajiri?

    Kuna mtu unakuta ameajiriwa sehemu lakini ana Mali mpaka unashangaa mtu hyu Anamiliki gari Kali harrier , Vanguard,Crown nk Ana mifugo ng'ombe kama 200 plus Mashamba ya mazao ya chakula na biashara, Maduka ya nafaka, spare parts za magari au ata pikipiki nk Amejenga ana nyumba Kali Hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Kudate/kuoa mwanamke mwembamba (slim) unatakiwa uwe na uvumilivu wa kiwango cha SGR

    sjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira , mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
  20. JamiiForums Tanzania Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

    Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni. Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida. Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…