kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  2. baz kaiza

    Mach 17 kesho tunaenda kushuduia unafiki wa kiwango cha kupitiliza cha wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema...
  3. baz kaiza

    Kesho Machi 17 kwenye kumbukumbu ya Hayati Magufuli tutashuhudia unafiki wa wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

    VIJANA WENGI HAWAJUI SIRI HII: NUSU YA KIPATO CHAKO NDIO KIWANGO CHA MATUMIZI YAKO HAYATAKIWI KUZIDI HAPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Usijesema ooh! Mtibeli bahili. Ooh! Upare umekuharibu Mtibeli. Nope! 2. Hiyo ni siri za pesa ambayo hutaambiwa na watu wengi waliofanikiwa hasa...
  5. N

    Kuzidi kiwango Chembe hai nyekundu za danu

    Wanajamvi mzazi wangu anaumwa amefanya vipimo imeonyesha chambe hai nyekundu za damu zimezidi. Daktari wake anasema chanzo hakijulikani kwa hiyo hata matibabu sahihi imekuwa ngumu. Naombeni mwenye uelewa na hili eneo anishauri mzazi wangu apate tiba gani akae sawa.
  6. Mshana Jr

    Ukatili wa beer ya brutal hauko kwenye kiwango cha kilevi

    Inaitwa Brutal beer! Jina moja la kibabe sana! Yaani BIA KATILI Kama hujawahi kuiona kwa sura unaweza kuogopa sana.. Lakini once unapoiona unaanza kupata mashaka .Chupa yake ni ndogo halafu kimodo . Rangi yake ni pink iliyofifia . Ladha yake ni ya matunda . Kilevi chake ni asilimia 5% Kwahiyo...
  7. Lord Denning

    Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  8. Z

    Afrika amkeni: Chuki za kidini ni ufala wa kiwango cha lami!

    Nawaona mnavyochukiana mitaani na hapa JF kisa dini, nacheka sana. Hivi mnatambua ninyi ni MAFALA WASIOJITAMBUA? 😂 Yaani unamchukia ndugu yako, jirani yako, au mbongo mwenzako kisa tu mmoja anamshabikia mzungu fulani (Kristo) na mwingine mwarabu fulani (Mudi)? Nasema tena: WEWE NI FALA MARA...
  9. H

    Je, ni kwa kiwango gani Maafisa Kazi wa Mikoa wanatimiza wajibu?

    Kukosekana kwa Ufuatiliaji Madhubuti* Maafisa kazi wengi hawatembelei maeneo ya kazi kwa ukaguzi wa mara kwa mara, hali inayowapa waajiri mwanya wa kuendelea kukiuka haki za wafanyakazi. Ukimya wa Maafisa Kazi Wakati wa Migogoro* Kumekuwa na kesi nyingi ambapo wafanyakazi wanatendewa...
  10. Carlos The Jackal

    Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  11. M

    Twaha Mwaipaya aeleza mazito kuhusu mauaji ya Oktobea 29. Asema hakuna umwagaji damu utakaowazuia kudai haki

    Ni interview nzuri sana. Unaweza kuitazama hapa: Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni siku kubwa sana ya kihostoria katika nchi yetu ya Tanzania, ambapo ilikuwa ni siku ya maandamano ya kupinga kupwoka haki na vijana walikuwa na hasira sana. Na haya yote ni matokea yalitokea katika kukosa haki katika...
  12. Victor Mlaki

    Taifa la Tanzania linahitaji "inner engineers" wakati huu kuliko wakati wowote ule: Tumevuta nguvu hasi " negative energy" kwa kiwango kikubwa sana

    Wapo wapi "Mystic figures" wa Kitanzania wakati huu?. Yapo wapi mafundisho na mafunzo ya kujitambua badala ya kutambulishwa? Wapo wapi watu watakaosaidia wasijua kusudi la uwepo wao kulijua kusudi hilo kama anavyofanya Sdhguru India?. Je tuna tayari wa kuwasikiliza? Wapo wapi watu watakaofunua...
  13. M

    PostGE2025 Rais Samia atangaza msamaha kwa washtakiwa wa kesi ya uhaini, “hasa kwa walioingia kwa kufuata mkumbo“

    Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya. Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao. Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye...
  14. Genius Man

    Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?

    Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?. Hili wala aio suala la mkuu wa majeshi hili ni suala la kila askari wa JWTZ sasa mnalinda nini watu wameuwawa na nyinyi mlikuwa mitaani sasa...
  15. Agent-47

    Jeshi limejipatia HESHIMA ya kiwango kikubwa sana

    Kitendo cha jeshi kuwalinda waandamanaji kimelipatia jeshi heshima ya kiwango cha juu sana. Nina hakika, kitendo hiki kitawafanya Gen Z watamani hata kujiunga na jeshi letu. Hakika jeshi ni taasis ya kizalendo. Kongole makamanda wetu. Leo hata nikiambiwa inatakiwa kodi % flani ya kuwalipa...
  16. Prof_Adventure_guide

    Tundu Lissu: MwanaSheria wa Kiwango cha Juu Kisheria na Kifalsafa

    Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo...
  17. Minjingu Jingu

    Huyu Mke sasa ananishinda, nimepoteza hisia kwake kwa kiwango Kikubwa sana

    Mke wangu ni Mbinafsi na Mchoyo sana. Hili ni tatizo ambalo linanipa shida sana. Mke wangu tuna miaka kadhaa na watoto kadhaa. Kinachosumbua hasa ni ubinafsi. Anapenda kuwa centre of attention katika kila kitu. Ni mtu ambaye anapika nyama kisha anaanza kuchukua kwenye sufia kwa mikono kula...
  18. Yoyo Zhou

    Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa watu wenye asili ya Afrika kimekuwa kiashirio cha Uchumi wa Marekani

    Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
  19. matunduizi

    Kiwango cha juu ya kumuamini Mungu ni kuishi kama Shetani hayupo kabisa Wala hakuhusu

    Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu. Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii. Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu...
  20. Vincenzo Jr

    Malengo uliyojiwekea mwanzoni mwa mwaka umeyafikia kwa kiwango gani?

    Nilichojifunza 2025 Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu! 2026 Resolutions Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili katika kutafuta, fursa zipo tusikalie kulalamika tu, Adui wa mafanikio yako ni wewe!
Back
Top Bottom