kivuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kim Philby: Jasusi wa MI6 aliyesaliti kila mtu mpaka kivuli chake mwenyewe.

    Kisi hiki cha Kim Philby ni moja ya visa vya kusisimua zaidi katika historia ya ujasusi Duniani. Ni simulizi ya mtu aliyefika kileleni mwa idara ya siri ya Uingereza huku akiwa anaitumikia adui wao mkubwa kwa siri kwa zaidi ya miaka 30 akiwa kama double agent. Kivipi? Philby akiwa na miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kim Philby: Jasusi wa MI6 aliyesaliti kila mtu mpaka kivuli chake mwenyewe.

    Kisi hiki cha Kim Philby ni moja ya visa vya kusisimua zaidi katika historia ya ujasusi Duniani. Ni simulizi ya mtu aliyefika kileleni mwa idara ya siri ya Uingereza huku akiwa anaitumikia adui wao mkubwa kwa siri kwa zaidi ya miaka 30 akiwa kama double agent. Kivipi? Philby akiwa na miaka...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha mpina kuteuliwa kuwa majibu Waziri mkuu kivuli ni Ishara ya ACT kutambua serikali ambayo walisema haijacjaguliwa kihalali , tuwaeleweje ?

    Mijadala ya Act wengi walikiri uchaguzi haikuwa huru na haki Hadi Walifikia hatua ya kusema tume ilipodadilisha JINA ilipoteza uhalali kikatiba Sasa wanapoteua mawaziri vivuli Ili wasimamie serikali ipi Mpina amekuaje siku hizi
  4. JamiiForums Tanzania MIZANIA Hivi ni kweli moto hauna kivuli?

  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kivuli cha "Oktoba 29" kilivyoziweka siku 100 za Urais wa Samia kwenye mabano

    Zikiwa zimepita siku 100 tangu kuapishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuiongoza Tanzania katika muhula wake wa pili, tathmini zimekuwa nyingi na zenye sura tofauti. Wapo wanaotazama kisiasa, wengine kiuchumi, kijamii, kiusalama na hata kidiplomasia. Kila kundi lina taswira yake. Hata hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Kivuli cha Madaraka: Unapokuwa Tishio Bila Kukusudia

    Katika korido za mamlaka, kuna msemo mmoja wa kishushushu unaosema: "Ukaribu na jua unakupa joto, lakini unavyozidi sana kulikaribia jua unajiweka katika hatari ya kuteketea"Hii si kauli ya mzaha; ni onyo la kiintelijensia kuhusu jinsi ukaribu na mamlaka unavyoweza kugeuka kuwa mtego wa mauti...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Mwigulu watanzania tuna Waziri Mkuu Kivuli

    Poleni sana watanzania kwani tumepata waziri mkuu kilaza kuwahi kutokea, yaani anachokifanya ni upuuzi kiwango cha lami. Ameshindwa kabsa kuelewa kuwa kauli za viongozi ni dira ya taifa. Ni kauli ambazo zinapaswa kutia moyo, kujenga matumaini na kuzungumzwa kwa umakini mkubwa na sio kuropoka...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Taswira ya Siasa Tanzania chini ya kivuli cha matukio yasiyo na Uwajibikaji

    Miaka ya karibuni, Siasa za Tanzania zimekuwa zikikumbwa na mabadiliko makubwa ya kimtazamo kutokana na mfululizo wa matukio ambayo hayakupata uwajibikaji wa wazi. Tukio moja baada ya jingine limekuwa likiacha maswali mazito kuhusu uthabiti wa taasisi, usalama wa raia na mustakabali wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kivuli cha Tuhuma Kinachowakabili Baadhi ya Vigogo wa CCM

    Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania 1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco. 2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba ya Richmund, Dowans, Symbion, na mingineyo; 3. Ufisadi wa kutisha uliofanywa na kigogo wa CCM huko...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusikia "kura kivuli"

    Waliojiandikisha 37M. Marehemu Jecha anajua. Wapemba wanajua. MADA yangu imeishia hapo
  12. JamiiForums Tanzania Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?

    Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini? Karibu gardeners
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Salaam WanaJF, Miaka ya nyuma niliwahi kuleta hapa tatizo kubwa lililokuwa linanikabili. Kwanza kabisa, naomba niwapongeze sana — mliniinua. Nilikuwa nimekata tamaa ya kuishi, nilihisi sina tena thamani. Lakini kupitia uzi mmoja tu nilioweka hapa, maisha yangu yalibadilika kabisa. Niliweza...
  14. JamiiForums Tanzania Ukikutana na mwana Simba SC anayejificha katika hiki Kivuli jua hana Akili na ukimmudu mzabe kabisa cha Kibao cha Kutukuka akome....

    Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo. Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kivuli cha Serengeti

    --- Kivuli cha Serengeti #### Sehemu ya Kwanza: Mwanzo wa Uchunguzi Katika jiji la Dar es Salaam, Amani, mwanahabari mwenye shauku, alikuwa akifanya kazi kwenye ripoti yake ya mwisho kuhusu kupotea kwa wanaharakati wa mazingira. Aliamini kuwa kuna zaidi ya kinachonekana, na alihisi kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  17. JamiiForums Tanzania SAUTI YA KIVULI

    SURA YA KWANZA MLANGO WA TANO MIAKA MITATU BAADAE TSS HQ-DAR ES SALAAM Nchi ilikuwa imetulia na kurejea katika hali yake ya utulivu kama ilivyokabidhiwa na waasisi wa taifa hili pindi walipoamua kung'atuka katika nafasi zao na kuwa kama wananchi wengine, watu walikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Maumbo ya kushangaza yanayoweza kutengenezwa na kivuli

  19. JamiiForums Tanzania Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

    Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Afrika na mapokeo ya imani bado haijazoea nuru kamili ndani ya damu yake kuna kivuli cha kale

    Usiku mwingine, kimtazamo wa kiroho huwa haifai kuangaliwa moja kwa moja. Ukishika udongo unahisi joto la wafu wa kale. Ukikalia jiwe la porini, linaloonekana zuri jioni, usiku linakuwa ni mgongo wa kiumbe kisicho na jina, kinacholia kama mtoto aliyezaliwa tumboni mwa ndoto. ardhi ya udongo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…