kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mashati ya kiume special thread

    Habari Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu Nauza mashati ya kiume size zote Kwa Bei nafuu Nafanya deliver mikoani na ndani ya dar es salaam Karibuni sana 0686153806 Whatsapp Bei ya rejareja Kwa mashati ya mikono mifupi ni 20,000/- Mashati ya mikono mirefu ni 25,000/- Mazungumzo...
  2. JamiiForums Tanzania Simba tunawasubili mzindue na za kiume hizi mlizozindua mbona ni za kike tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Asanten sana LONDON BOY
  3. JamiiForums Tanzania Matunda Yatakayokurudishia Nguvu Zako za Kiume

    Je, unajua kwamba mara nyingi suluhisho la changamoto zako za nguvu za kiume linaweza kuwa mezani kwako kila siku? Ndiyo! Haya siyo majani ya kienyeji wala dawa zenye madhara ni matunda ya kawaida, salama kwa kila mtu, lakini yakiwa na mpangilio sahihi yana uwezo wa kugeuka nguvu zako mpya za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya kushona suti za kiume

    Hi wanaJF na wanafashion designers, Naomba msaada wenu kwa mafundi wa suti Dar. Nataka kushona suti nzuri kabisa Kwa event ambayo nitahudhuria October 2025. Bei take ni kiasi gani nikiwa na kitambaa. Asanteni kwa mchango wenu. Alamsiki
  5. JamiiForums Tanzania Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Moyo ni changamoto nyingine ya nguvu za kiume

    Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo hamsini vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri, hivyo ikitokea kiungo kimoja...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 30+ hupoteza nguvu za kiume kwa ugonjwa wa kisukari

    Kisukari na Nguvu za Kiume Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kubwa ya kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume. Tafiti zinaonesha kuwa kati ya asilimia 35–75 ya wagonjwa wa kisukari, hupitia changamoto hii. Wanaume wenye kisukari huanza kupata tatizo hili miaka 10–15 mapema zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Kirusi kinachonyonya nguvu za kiume kwa vijana unapopiga nyeto—hili jini ndo unalimwagia mbegu zako

    Kirusi kinachonyonya nguvu za kiume kwa vijana Kijana unapopiga nyeto—hili jini ndo unalimwagia mbegu zako😆 Linanyonya nguvu zako kwa kasi ya 5G😆 vijana wekeni hii picha kwa simu zenu, ili kabla ya kufanya huo mchezo mnaliangalia kwanza —labda mtaacha🤔
  9. JamiiForums Tanzania Pata viatu vikali vya kiume hapa

    Nauza viatu vizuri vya kiume Mikoani tunatuma kwa uaminifu na tra Kodi tunalipia kwa uaminifu mkubwa Kiatu namba moja hapa Bei 90,000 tu namba 40 Hadi 46
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume ,chukua hii

    Hivi wewe mtoto wa kiume straight unakuaje Inspired wa mafanikio kutoka kwa Mwanamke au Shoga. Yani unakuta mwanaume kabisa anasema anatamani kuwa pesa na magari kama Jenifa yule muuza nguo Sinza .. mimi sikuelewi Au unatamani kuwa kama yule lile lichoko li Uncle T.. of course wana mafanikio...
  11. JamiiForums Tanzania Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

    Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine, Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
  13. JamiiForums Tanzania Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Ndugu zangu . Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN" naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 Yanaweza Kuharibu Nguvu Zako za Kiume Bila Wewe Kujua

    1. Sababu za Kisaikolojia (70%) Wasiwasi na Hofu (Anxiety): Hofu ya kumridhisha mpenzi wako au mashaka kuhusu uwezo wako wa kudumu wakati wa tendo la ndoa hupelekea kumaliza mapema. Msongo wa Mawazo (Stress): Shida za kifedha, kazi au familia huathiri sana uwezo wako wa kudumu kitandani. Aibu...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  16. JamiiForums Tanzania Nilimuombea Mama huyu apate mtoto wa kiume - amepata!

    Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume. Kwa imani, nilianza...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume walio kwenye ndoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa

    NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hivi fangasi inapunguza nguvu za kiume?!!

    Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
  19. JamiiForums Tanzania Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…