kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Upungufu wa nguvu za kiume na kuwahi kumaliza kwa mwanaume wakati wa tendo la ndoa

    Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo gani? Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linahusisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kudumisha uume ukiwa umesimama wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Hili ni tatizo la kihisia na kimwili ambalo linaweza kuhusisha matatizo ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bado upo umuhimu wa mtoto wa Kiume kuelimishwa kuhusu hedhi ya mtoto wa Kike

    Nini maana ya hedhi, Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147. Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tulinde kizazi cha watoto wetu wa kiume

    TUWALINDE NA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa ukuu wake katika maisha yangu, lakini pia nimshukuru Mungu kwa kuumba jinsia mbili hapa duniani, yaan jinsia ya kiume na jinsia ya kike, na zaidi ya hapo amegawanya majukumu ya kufanya kwa kila jinsia katika...
  4. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Madhara yatokanayo na matumizi holela ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME UTANGULIZI Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa wa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu. Tatizo hili limekuwa kubwa katika jamii na kwa kufuata...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya uzazi: Upungufu wa nguvu za kiume

    UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM UTANGULIZI Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya uume kushindwa kuamka/kusimama au kuamka kwa muda mfupi kisha kushindwa kuendelea kusimama wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote. Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado inakua na hasira kama nyati aliejeluiwa ila sasa mwenzangu anakua tayari ashachoka sana sometimes...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

    Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance. Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga? Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekuja kubaini Tanzania ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli

    Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani. Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CCM na...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

    Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
  10. JamiiForums Tanzania Hivi nikimtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa hereni awe mke wangu nitakuwa nimetenda kosa?

    Hi! Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike? Mwanaume anasuka Mwanaume anavaa hereni Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke Mwanaume anavaa pensi fupi . Mimi sasa nimepanga kumtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa ya unga yanasababisha kupungukiwa nguvu za kiume

    Baadhi ya watu wamekuwa na nadharia kuwa utumiaji wa maziwa ya unga unasababisha upungufu wa nguvu za kiume
  12. JamiiForums Tanzania Tunatokaje kwenye hili la nguvu za kiume?

    Tatizo la nguvu za kiume linaelekea kutugeuza Kuku. Sasa tupo kwenye stage ya Kula mashudu na hatimaye tutakula pumba mwishoni.
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume wa mikoani kuweni na mioyo ya kiume

    Nyie si ndio huwa mnajisifu ni majebedali sasa kiko wapi? Mbona mna mioyo ndembedembe sana? Ulevi wa kupindukia ni nyie. Unyanyasaji dhidi ya wake zenu ni nyie, kukatakata mapanga wenzenu eti kisa umesikia fulani anatembea na mkeo ni nyie, uvivu ni nyie, kutekekeza familia ni nyie, kutwa...
  14. JamiiForums Tanzania Madhara yatokanayo na kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu. Kutokana na tatizo hilo kuenea katika jamii, kumeibuka matumizi mabaya ya dawa za kuongeza nguvu za kiume pasipo kufuata ushauri wa wataalam wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mionekano ya vijana wa kiume huko tiktok mbona ina utata sana

    Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona...
  16. JamiiForums Tanzania Hoja: Kwanini vijana wa Kiume ndio mstari wa mbele kwenye masuala ya kubeti?

    Thread was deleted
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Salon kali ya kiume inauzwa- Mbeya mjini (Igawilo)

    Salon kali ya kiume inauzwa kwa bei ambayo ni sawa na bure. Salon ipo Mbeya mjini (Igawilo soko kuu) barabarani kabisa. Salon inakila kitu ndani kama vile FLAT TV MPYA, HAIR CUT MACHINE, SALON CHAIRS, SALON WAITERS SOFA, HEATER, SUBWOOFER nk. BEI NI SHILLING MILLION 1 NA LAKI 2 ( KODI YA...
  18. JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume toka uturuki kinauzwa

    Wazee nauza kiatu,kimeletwa kama zawadi toka uturuki lakini hakinitoshi. Saizi ya kiatu ni UK 8, Uero 42kama kinavyoonekana pichani. Bei ni pesa taslimu za kitanzani 70 elfu. kipo kigamboni 0659445718
  19. JamiiForums Tanzania Wasanii wetu wa kiume wana agenda gani na mavazi yao siku hizi? Wanahamasisha 🏳️‍🌈? Mtazame Harmonize!!

    Huyu ni role model wa vijana wengi hapa nchini. Inasikitisha!
  20. JamiiForums Tanzania Nilivyoteseka na tatizo la nguvu za kiume

    Katika maisha yangu niliishi nje ya ulimwengu wa zinaa. Hakika sikuwa mzinifu hata pale nilivyopata vishawishi vikali vya uzinifu nilivikwepa kwa jitihada kubwa sana. Sikuwa na rekodi yoyote kuhusu kuwa na msichana na wala kufanya zinaa. NDUGU WAINGIA WASIWASI NA MIMI. Baadhi ua ndugu, jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…