kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
  2. JamiiForums Tanzania Nawapongeza wanawake wote ambao husimama kidete waume wao wanapopitia nyakati ngumu za kiuchumi

    Hakuna hisia kali zinazoathili Hadi MOYO kama mwanaume unapotamani kuisimamia kiuchumi familia yako lakini mfukoni huna hata sumni. Wakati ambapo Kila unachogusa kinakukataa na kukufanyia usaliti mkubwa wa kifedha. Huu ndio wakati wamama wapumbavu wenye kiuchumi kiduchu huanza kutesa waume...
  3. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanin wapinzani dhaifu kiuchumi hususani Chadema masalia wanaumizwa sana na hali ya CCM kua na wanachama matajiri wa hoja, mali na fedha?

    Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu? My friends, ladies and gentleman, Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini RC wasipite kuombea kila kijiji au familia wafanikiwe kimaisha?

    Kwanini RC msipite mnaombea kila kijiji au familia waweze kufanikiwa kimaisha,kukiwa na mafanikio ktk kila familia amani itakuja yenyewe tu. Hizo propaganda nyingine ni uhuni tu na kutafuta fedha kupitia sadaka za maombi.
  5. JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Kiuchumi ni safari ndefu, SADC yakumbushwa

    Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika utekelezaji wa malengo waliyojiwekea. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watu 4,5OO waliopata ajira kipindi cha Rais Samia baada ya kuufanyia Mkoa wa Arusha mabadiliko makubwa ya kiuchumi wasiache kumshukuru sana

    Rais Samia amejenga Viwanda vipya zaidi ya 1,000 Vikitarajiwa Kuchangia TZS40bn hadi TZS60bn ya Pato lote la Mkoa wa Arusha na kuajiri walalahoi 4,500. Mkoa wa Arusha umeendelea kuwa miongoni mwa vinara wa maendeleo ya sekta ya viwanda nchini, kufuatia utekelezaji wa sera thabiti za viwanda na...
  7. JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Kiuchumi: Je, Tanzania Inaweza Kupenya Minyororo ya Madeni na Kusimama Kwenye Miguu Yake?

    Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje. Tanzania, kama developing economy yenye rasilimali lukuki lakini bado ikihesabu kwenye low-middle income...
  8. JamiiForums Tanzania Vanguard na BlackRock: Utajiri usioonekana na nguvu kuu ya Kiuchumi Duniani

    Katika karne hii ya 21, vita vya kiuchumi havipigwi tena kwa silaha wala bunduki, bali kwa mitaji, hisa, na ushawishi wa kifedha. Katika anga hiyo, kuna mapacha mawili waliojitokeza kwa nguvu ya ajabu: Vanguard Group na BlackRock Inc. Haya si makampuni ya kawaida – ni taasisi za usimamizi wa...
  9. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

    UTANGULIZI, Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema, Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano...
  10. JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  11. JamiiForums Tanzania Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  12. JamiiForums Tanzania Ushawishi wa wayahudi katika mifumo ya kiuchumi na kisiasa duniani

    Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na kiteknolojia. Ingawa hoja hii mara nyingine huibua mijadala mikali, ukweli wa kihistoria, takwimu, na...
  13. JamiiForums Tanzania Utalii wa Mlima Kilimanjaro: Hazina ya Taifa Inayoendelea Kupotezwa kwa Kutojengewa Mfumo Endelevu wa Kiuchumi na Kihistoria

    Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake wa kimazingira, kihistoria na kiuchumi, sekta ya utalii wa mlima huu inaendelea kukumbwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania inavyoweza kupiga Hatua Kiuchumi na kielimu

    So far hapa tulipofika kuna watu wamepambana lakini haiondoi ukweli kuwa bado tupo nyuma. Huu ndio ukweli wa wazi Nimekuwa nikiwaza kwa namna gani tunaweza kupiga hatua mawazo yangu yakanituma kutazama vilabu viwili Simba na Yanga ambavyo vimepiga hatua walau nakutuweka kwenye ramani ya nchi za...
  15. JamiiForums Tanzania Tunawaza mikopo tu, kwani hakuna namna zaidi ya kujikwamua kiuchumi?

    Rais wa Cuba kutwa akisimama kwenye majukwaa hautamsikia akizungumzia mipango endelevu ya kiuchumi na investment pamoja maendeleo ya kiteknolojia katika nyanja tofauti na kwa jinsi gani zinaweza kujenga uchumi stahimilivu wa nchi yake! Yeye akisimama kuzungumza utasikia "Tumepata mkopo wa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini yaleta mageuzi makubwa kiuchumi Lindi

    Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi, shaba, madini ya vito na madini...
  17. JamiiForums Tanzania Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi

    Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu awe na ari ya kutosha, kuwajibika na kushiriki kikamilifu katika nyanja zote za Kijamii na Kiuchumi...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mstaafu, au mzoefu kazini, shauri au toa mbinu mbalimbali zinazofaa kwa mtumishi hasa wa local government azitumie ili afanikiwe kiuchumi

    Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati huo huo wakiwa hawawezi kukwepa kutoa msaada kwa ndugu zao wa karibu ambao mara nyingi ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

    Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako...
  20. JamiiForums Tanzania Chadema Inakufa kwa majeraha mabaya sana yenye maumivu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yakujitakia

    Kuchagua viongozi wao wakuu wa chama wasio maono wala mikakati madhubuti ya kisiasa ni kosa la kwanza kabisa Chadema walifanya, hata sasa wamejikuta hapo walipo. Kuitenga na kususia michakato ya kidemokrasia kwa mihemko ya kiongozi wao moja tu, ilikua ni kosa la pili kubwa zaidi lililoiingiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…