Kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa inadaiwa kuwa Askari Polisi mmoja amefariki Dunia kwa kujipiga risasi akiwa kazini, Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.
Haijajulikana wazi chanzo cha kujipiga risasi na ni kama kweli amejipiga risasi amepigwa risasi.
Taarifa hii nimeona inasambaa chinichini...
Mwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake.
"Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
alipo ndugu yetu’
clemence mwandambo
haki
haki za raia
jeshi la polisi liseme
kituokituochapolisi
mamlaka
ndani
polisi
raia
sisi kama familia
tanzania
wito
Katika juhudi za kuimarisha usalama, Umoja wa Umbwe Sinde Community umeandika historia mpya ya maendeleo ya kijamii kwa kuchukua hatua madhubuti za kuboresha usalama na huduma za afya kwa wakazi wa eneo hilo, baada ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Kibosho.
Umoja huo umefanikiwa...
Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma.
Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud.
Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
Wananchi wamepita na kituo cha polisi Tabata Relini, mabomu yanarindima huko hadi maeneo ya Buguruni.
Harakati za kufika Ikulu zinaendelea. Leo polisi wamejua Watanzania sio waoga! Upole haimaanishi mtu hawezi kukurarua.
Mtu anakuwa anakulia timing tu, akichoka utajua ujui. Polisi...
KInachoendelea huko Mabatini Sinza, kituo cha polisi kimetiwa moto, polisi nao wapigana kujaribu kuwadhibiti wananchi lakini wanazidiwa nguvu.
Kwa upande mqingine wanajeshi wameanza kuungana na wananchi. Mambo yakiendelea vizuri siku itaisha nchi ikiwa mikononi mwetu.
TAARIFA KWA UMMA
WITO KWA JESHI LA POLISI MKOANI PWANI WILAYA YA MKURANGA KUWAPA HAKI YA DHAMANA VIJANA WANNE (4) WANAOSHIKILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI MKURANGA
15 Agosti 2025, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kutoka kwa wananchi wa Wilaya ya...
Jumapili Julai 20, 2025, bibi Mkazi wa Nyakato, Mwanza akiwa ametoka Kanisani akaenda kwenye shughuli zake nyingine, aliporejea nyumbani majira ya usiku akamuona mjukuu wake wa kiume mwenye umri wa miaka minne anatembea kwa kuchechemea.
Akambana kumuuliza nini kimetokea, mtoto alikataa kusema...
Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani, kupitia kwa Kamanda wake ACP Salim Morcase limekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Mkuu wa Kituo kidogo cha Polisi Kongowe alishirikiana na askari Mgambo kumkamata kijana Hussein Abdallah Mkwame (26), ambaye kwa takribani miezi miwili (2) sasa hajulikani halipo...
Maelfu ya vijana siku ya Alhamisi walivamia na kulichoma kituo cha Polisi cha Mawego kilichopo Rachuonyo Mashariki, Kaunti ya Homa Bay, huku wakibeba jeneza la marehemu mwanablogu Albert Ojwang’ ambaye anatarajiwa kuzikwa kesho (Ijumaa).
Mwili wa Albert ulikuwa umepangwa kupelekwa kwa ajili ya...
Vyombo vya habari nchni Kenya vimeripoti kwamba mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 44 amefariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Turasha kilichoko Wadi ya Githioro, Eneo Bunge la Kipipiri, Kaunti ya Nyandarua
Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, Simon Thumbi Kihanya...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Aly Senga Gugu, amezindua rasmi kituo kipya na cha kisasa cha polisi cha daraja B Wilaya ya Namtumbo, kilichojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 798. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 20 Juni 2025 katika eneo la Namtumbo, mkoani Ruvuma...
KONSTABO James Mukhwana, ambaye kwa sasa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kikatili ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang’, hatimaye amevunja ukimya na kufichua kwa kina kilichotokea usiku wa Juni 7, 2025, akiwa rumande katika Kituo Kikuu cha Polisi
Maelezo ya kina, ambayo Citizen TV...
Mtuhumiwa wa pili amekamatwa kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mwalimu mwenye umri wa miaka 31, Albert Ojwang’, hatua inayozidi kuongeza uzito wa uchunguzi wa tukio hilo la kusikitisha.
Vyanzo vya karibu na Citizen Digital vimethibitisha kuwa fundi aliyedaiwa kuvuruga mfumo wa CCTV katika...
wakuu
======
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central.
Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga ameomba samahani kwa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chadema mjini Igunga.
https://twitter.com/Rydx_017/status/1932698774637318410?t=NO05ylCjFuDIiqyK310g0g&s=19
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.