kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Vusi Thembekwayo (South African): I was in Tanzania. Something is not right now (Nilikuwa Tanzania. Kuna kitu hakiko sawa hakika!)

    https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=eR2nc0nkKUx65ioe Huyu jamaa anaitwa Vusi ThembeKwayo. Ni m - South Africa. Recently, alikuja kutembelea Tanzania kwa shughuli zake. Hata huko nyuma, amekuwa akitembelea Tanzania mara kwa mara. Lakini safari hii, kaikuta Tanzania iliyo tofauti kabisa kiasi cha...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!!

    Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!! Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache. Unashinda kwa kutoa HAKI bila kutoa HAKI mnapoteza muda na pesa za nchi hii. Watu wa Mama wanafikiri pesa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuweni makini na hii kitu imeingia inaitwa "" 26 pesa""

    NAOMBA USOME KWA UMAKINI KABISA Kwanza kabisa Hakuna pesa inayo patikana kiurahisi ,ukiona matangazo kwenye mitandao ya kijamii kama Fb , twitter, instagram wanatangaza kuhusu matumizi ya SMART PHONES ili kujipatia kipato bila kuathiri muda wako wa kazi, tafadhali usiyafuatilie wala kuya tilia...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya HALMASHAURI YA CHALINZE hatujapewa pesa ya kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
  7. JamiiForums Tanzania Mmekaza kusema wameuawa wameuawa, mbona hamsemi wameuawa wakiwa wanafanya nini? 2026 Linda roho Yako kuliko kitu Chochote

    Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication) Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa wanafanya nini ili iwe fundisho na kwa wengine, Je wamekufa kwa UKIMWI, Je wamekufa wakiwa wanaiba na...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, ni kitu gani cha thamani umefanikiwa kununua mwaka huu?

    Twende kazi, mwaka huu umenunua kitu gani cha thamani zaidi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sijui nimepatwa na hali gani, kila mwezi nilikuwa nahesabu mzigo ila imepitai miezi 7 sijahesabu, nikitaka kuhesabu naahirisha au kupatwa na uchovu ?

    Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa. hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
  10. JamiiForums Tanzania Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano si kitu cha lazima ndiyo maana yanahamasishwa na si kulazimishwa

    Wakuu, Kuna watu wamekuwa wakiwashambulia na kuwatukana akina Maria Sarungi na wenzake kwa kuhamashisha maandamano kwa kuhamashisha watu waandamane. Mi naona ni bora hawa watu wanaowashambulia maria Sarungi na wenzake nao wahamasishe watu wasiandamane kisha watu watachagua kipi cha kufuata...
  12. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja

    Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja. Na amestahili kwasababu ni mpumbavu na anahatarisha maisha ya kila mmoja wetu ni mwehu mapinduzi yatakuwa mwokozi wa uhai wa watanzania dhidi ya wapumbavu...
  13. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

    Wenzenu wanaikimbizia mars, Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta. Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami, Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu. Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha, Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
  14. JamiiForums Tanzania Kitu pekee kinachoonyesha serikali ipo salama ni Siri zake kutokuvuja

    Hamjambo wote! 1. Kutokuvuja kwa Siri za serikali hasa vikao vya ndani vya wakuu wa nchi ni kiashiria pekee ambacho kinaonyesha bado serikali inanguvu na haijapasuka. 2. Siku zote nasemaga adui mwenye nguvu ni yule aliyepo ndani kuliko wa nje. 3. Kadiri Siri zinavyolindwa ndivyo nguvu...
  15. JamiiForums Tanzania Wabongo wengi ukiwasaidia wanaamini kuna kitu unapata. Hivyo usimsaidie MTU burebure

    WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure. 2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia. 3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna kitu cha kushangaza naambiwa hapa, je ni kweli?

    Mwenyeji wa Rombo tarakea hapa ananiambia wakazi wa Tarake, Rongai na maeneo mengine ya Rombo maji ni ya kuunga unga, wakati huo Kuna Bomba kubwa sana linatoa maji kutoka kwenye chem chem za chin ya mlima kilimanjaro linapeleka maji kenya yani mpaka nairobi kupitia Leitoktok. Yani wakazi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Usishau kupitia hapa utajifunza kitu

  18. JamiiForums Tanzania Moja ya kitu kinachofichwa katika historia ya sisi watu weusi ni kuwa tulikuwa washirika wakubwa wa kuwauza ndugu zetu utumwani

    Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

    Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
  20. JamiiForums Tanzania Kuna kitu huyu Samia kanikumbusha enzi hizo ndo nimeanza kuingia barabarani na chombo cha moto na nikapata ajali

    Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…