kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Burudi wanapashwa kufanya kitu Tanzania baada ya kuwaonesha wema wakati wa mauaji ya Kimbari

    Leo ni siku ninayokumbuka ndugu zetu na majirani zetu Wa Rwanda na Burundi walipopata jinamizi la mauaji ya kimbali, na wale waliobahatika kukimbilia Tanzania kwa idadi kubwa. Tuliwapokea na wengine tukawapa hifadhi kabla ya wote kuhamishiwa makambini, wale tuliowapokea walimuua Mama yangu...
  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania Nimepitia Bajeti ya 2022-2023 naona kuna kitu hakiko sawa

    Wana JF Naamini sote tu wazima. Kwanza nianze na bajet ya mwaka jana. Mwaka jana kulikuwa na stofahamu nyingi sana hasa baada ya bunge kuisha. Ilibidi kuongezwa kwa baadhi ya kodi ju kwa juu bila hata bunge kujua kama hiyo kodi ndio walikubariana ama la. Mfano ni Tozo za Miamala ya Simu...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Uchawi upo ndugu zangu. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga. Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona. Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, huu ulozi au kitu gani? Naomba ushauri wenu

    Habari wana JF wote, Nyumbani kwangu huwa kunatokea matukio ambayo mimi nayaita ya ajabu kwani kuna mtu nisiyemfahamu anajisaidia haja kubwa pembeni kabisa ya nyumba yangu sasa sijui anakuwa na lengo gani. Sasa nataka nijue kama anafanya ulozi au nini! Na kama ni ulozi nini itakuwa dawa ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bashungwa acha kumdanganya mkuu wa nchi, umeona deamenor yake. Kanda ya ziwa wana kitu moyoni

    Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya. Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika kanda ya ziwa alafu unaweka uongo wa kumpamba.
  6. R

    JamiiForums Tanzania 2025 ni Samia tena, ila kwa Bunge lenye wabunge hawa haitasaidia kitu

    Kuna kila sababu ya kuendelea na Rais SSH 2025, sababu ana mipango na miradi mingi ya kuikamilisha. Tatizo ni kwa hili Bunge halimsaidii sana mama Samia bado wana mawazo ya CCM ya zamani kwamba kitu kikishaletwa na Rais au Waziri ni cha kupitisha tu wengine hawajisumbui hata kufuatilia mijadala...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makonda alidhibiti wavuta shisha na huyu Amos Makalla ameshindwa kila kitu hata uhalifu wa vibaka

    SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA? Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa. Maeneo mengi ya starehe yameendelea kuuza Shisha bila kujali kuwa ni kinyume na sheria
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kila kitu connection ni muhimu sana, hasa hapa jijini Dar es Salaam

    Hi! Hapa Dar kazi nzuri sekta binafsi, NGO's, serikalini zipo za kutosha ila kama huna Connection utaishia kushobokea kazi za kutembeza vyombo vya promotions zinazotangazwa kwenye nguzo za umeme. Wanalipamba tangazo vizuri ukienda ofisini kwao unakutana na mabeseni. Fursa za scholarship nchi...
  9. To yeye

    JamiiForums Tanzania Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

    Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄). Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na 1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano) 2.Kuongea na watu...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kitu kizito kichwani: Kama mke wako ameajiriwa andika maumivu, tumeshamla

    Hi! Ngoja kwanza nianze kwa kucheka. Niko kwenye ofisi za umma yapata miaka 7 sasa. Dunia haiachi maajabu, anayelipwa mshahara yuko katika uhitaji wa pesa kuliko yule ambaye halipwi mshahara. Sasa hawa wanawake employed ambao wana MISHAHARA na huenda waume zao wana MISHAHARA au biashara kubwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona kitu pekee ambacho CCM , CHADEMA, ACT Wazalendo wanakubaliana ni kuwa Magufuli hakufaa kuwa Rais wa hii nchi

    Hili lipo wazi japo CCM wamekuwa hawalisemi sana hadharani, lakini unaona marekebisho yanayofanyika na ndipo hapa ninapojivunia kuwa mtanzania, wote hatujakubali uhayawani wa yule mtu na tulifurahi sana Mungu alivyoamua kesi na bahari imetulia Pengine hata sio ndani ya Tanzania tu, nchi jirani...
  12. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

    Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake. Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi...
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania TEMESA kuna kitu mnatafuta Kigamboni na hivi vivuko vyenu yetu macho

    Imani yangu ndogo sana na hii TEMESA kwa sasa kuhusu huduma hizi za vivuko Kigamboni ila ngoja twende kuna siku huu Uzi mtakuja kurepost. Yaani Kigamboni kwa sasa ipo kama yatima fulani vile ila muda ni mwalim ngoja muda utaongea. MV Kazi ina muda atuioni mpaka sasa tumeisahau, Magogoni mguu...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa kitu kimoja sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja

    Habari! Naomba nijadili na ninyi hili jambo ambalo limetutokea juzi Mimi na rafiki yangu. Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kusimuliwa na jamaa mmoja ambaye scientific calculator yake ikiwa nyumbani kwake na kuna rafiki yake aliitumia kwenye paper chuoni kwa kipindi kimoja. Yaani the same time iko...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuibiwa vitu majumbani, kwenye gari, n.k -- ni kitu gani hukudhania wangeiba?

    Binafsi nakumbuka nikiwa chuoni Arusha, kuna siku nlikuwa nahamia geto flani. Basi tripu ya kwanza nilipeleka mapazia, meza na kitanda. Sasa wakati nimemaliza kufunga kitanda nimechoka hatari, nikanunua bia mbili, kwajili ya mimi na jamaa kanisaidia kufunga kitanda, tulipiga pafu moja tu...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mayele bado ana miss kitu kimoja kikubwa sana!! Ndicho kinacho fanya Kibu Dennis aonekane bora kuliko Mayele

    Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa...
  17. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata: Royal Tour inaenda kubadilisha akili ya Wanawake wajitegemee, Waache kutegemea kila kitu Wanaume

    Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake laki moja Vicky Kamata amesema Royal tour inaenda kubadilisha akili ya Wanakwake wajitegemee waache kuwa Ombamba. ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari jijini Dar tarehe 20 Mei 2022 kuelezea Madhumuni ya Taasisi ya Wanawake laki moja ambayo ni kupinga...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Madhara ya Kuiga kila Kitu tu kwa Wazungu, wakati siyo Utamaduni wetu Sisi Waafrika ( Watanzania )

    Happines Mdoshi (15), mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Nyanza, Halmashauri ya Mji Geita, ameshindwa kufanya mitihani ya Pre- Mock, baada ya kumwagiwa maji ya moto eneo la mgogoni na makalioni na mtoto mwenzie kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Chanzo: EastAfrikaRadio...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ishu ya mitihani kuvuja Serikali ituambie ukweli, Waziri kujichanganya maana yake kuna kitu hakipo sawa

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Omary Kapinga ndiye ambaye aliyeanza kwa kutoa jibu kuwa mitihani haijafuja tangu mwaka huo, binafsi naona kama kuna kitu hakipo saw ana takwimu zake ndio maana hadi Spika amezungumzia na kuamua kuiweka hoja hiyo pebeni kwa muda "Suala la uvujaji wa...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kilichopanda bei mtaani kwenu, Mimi nitaanza...

    Habari! Huku mtaani kwetu Chanika unga wa sembe unapanda bei kwa kasi. Kila nikienda mashine kununua unga siku hizi nakutana na bei mpya. Vitu vingi vilivyouzwa jero sasa ni mia 6 na vile vya buku sasa buku na mia 2. Leo nikiwa kazini mjini nikapitia cafe ya karibu nakuta vitafunwa vimepanda...
Back
Top Bottom