Ebu tuache uoga... Let’s talk real, Mwaka 2025 bado watu wanakaza roho wanadai kuna malaika wanaofly juu juu bila drone, hawana GPS wala WiFi, lakini wanajua unachofanya eti wanaandika kila kitu. Wapi bana!?
Eti kuna malaika wa kulinda, mwingine wa kukatakata watu wakifa, mwingine kazi yake ni...