kiti

Kiti Karaka Riwai (12 September 1870 – 21 January 1927) (also known as Kiti Karaka, Catherine Clark, Kate Clark, Kitty Clark, Kiti Karaka Te Ao Ahitana, or Kiti Ashton) was a New Zealand tribal leader. She was born in Ruapuke Island, Southland, New Zealand in 1870, to parents Arapetere Karaka (Albert Clark) and Mary (née Owen).Of Māori and Moriori descent, she identified with the Kāti Māmoe iwi. Her first husband was Riwai Te Ropiha, a Moriori of the Chatham Islands, with whom she had nine children before divorcing in the early 1900s. Her second husband was Te Ao Ahitana Matenga (Joseph Ashton) of Ngāti Kahungunu, with whom she had one child, Joey Ashton.She helped build the meeting house in Wairua in the 1890s. She died in Greytown in 1927.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

    Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
  2. M

    Chato wamrudishe Diwani Kapembe awe Mwenyekiti wa Halmshauri ya Chato. Alishinda kihalali apewe kiti chake

    Bila ubishi Kapembe anachukua kiti cha uenyekiti. Manunga alitumia pesa tu ambazo zilimpa uenyekiti bila ridhaa ya madiwani. Leo ametimuliwa. Hata uchaguzi ukirudiwa sasa hivi Kapembe anashinda.
  3. R

    Swali chokonozi: Hivi bungeni Tulia Ackson anakaa kiti gani? Anagonga Meza naye?

    Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa. Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza! Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
  4. Mhaya

    Makonda ha-fit kuwa Waziri Kamili, icho kiti kilipaswa kuwa cha MwanaFA

    Kama habari inavyojieleza, Makonda hakustahili kuwa Waziri kamili, kwanza hana uzoefu wa kutosha bungeni, pili amehudumu unaibu Waziri kwa miezi michache tu. Tatu wizara yenyewe haiendani na itikadi za Makonda Makonda ni mtu wa shurti na nguvu hasa napotoa matamko yake, wizara ambayo ingemfaa...
  5. mirindimo

    Mlio karibu na Waziri Mkuu mwambieni ajitahidi kuacha kuropoka anaaibisha kiti chake

  6. S

    Wanaomzunguka wakishauri abadili Katiba aendelee kukalia hicho kiti, sioni kama atapima huo ushauri? bali ataukubali

    Kama yote haya yanatokea kwa ushauri wa wanaomzunguka, basi watu hao wakimshauri abadili katiba, hawezi pinga zaidi ya kukubali hilo wazo na kulifanyia kazi. Hawawezi kuungana kumpiga kwasababu ya ubinafsi wa kupenda vyeo na uogo uliowatawala . Kitu pekee kinachoweza kutuokoa, ni labda...
  7. Yako Atta

    Tuliona Tulioyoyaona: Ukuu wa Kihistoria na Laana ya Kiti cha Enzi

    Tuliona tuliyoyaona Zimbabwe ya Mugabe wa ZANU PF na Morgan Tsvangirai wa MDC, tuliyajua pia ya Venuzuela ya Hugo Chavez kabla ya Nicolas Maduro na baada ya Nicolas Maduro-Venezuela: Populism, Petro-State na Mporomoko wa kiuchumi. Huenda tuliona ndivyo sivyo na pengine zilikuwa ni taswira zaidi...
  8. Mshana Jr

    Kiti kiko wapi...! Kigoda je..?

    Kiti kina tafsiri nyingi lakini majumuisho yake ni Ukuu Utawala Enzi Mamlaka Uongozi Niliwahi kuleta simulizi hapa ya "KITI HAPIGWI" Nitaweka link yake kwenye reply Ndani ya familia kuna kiti cha baba(sijawahi kuona kiti cha mama) pengine chake ni kigoda kwakuwa hata kiimani anatambulika kama...
  9. M

    PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake. Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
  10. tonicimmobility

    Kiti alichokalia Mwl. Nyerere kupitisha azimio la Arusha

    Katika ukumbi huu ndipo kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikutana kuanzia Januari 26-28 mwaka 1967 mkoani Arusha na kupitisha Azimio la Arusha na kutangazwa rasmi Februari 5, 1967. Na hiki ndicho kiti alichokalia Mwalimu Nyerere akiwa Mwenyekiti wa kikao hicho na pembeni yake ni kiti cha...
  11. J

    Kumbe na 'Tyson' kawekwa na mtu kusaidia kiti? Kweli hapo hakuna Chama kuna genge la watu.

    Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina. Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru...
  12. 05CUBA

    GE2025 Kama anajiamini kwanini hakuchukua fomu ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi?

    1. Kama anajiamini kwanini hakuchukua form ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi na aka bypass steps ?? Anahofia nini ? 2. Je anadhani yeye ndo the best president we could ever have kwa myaka 15 on roll ?? What makes her special to that extent ? ..why anadharau Watanzania wengine...
  13. Joselela

    🌍 Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda

    Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda Katika ardhi nzuri iitwayo Tanzania, yenye milima inayogusa mawingu na mito inayobeba nyimbo za jadi, ulisimama Mti Mkuu uliowakilisha taifa. Mizizi yake ilitanda hadi ndani ya historia ya Uhuru, ikagusana na mifupa ya mashujaa waliopigania heshima ya ardhi hii...
  14. Adharusi

    GE2025 Namuona Mpina anaenda kushinda kiti cha Urais Oktoba 29

    Kwa mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu mwaka huu namuona MPINA anashinda URAIS octoba 29,2025 nawaona wana CCM wengi watakwenda kumpa KURA MPINA kuwa RAIS , Nb:CCM yangu ina nafasi ya kujirekibisha ,vinginevyo Kiti cha Urais kinaweza kwenda upinzani kwa mara ya kwanza SITE wananchi wana...
  15. britanicca

    Mithali 1612 Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki

    ……… Kwa manufaa yake wenyewe siyo Umma Britanicca
  16. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

    Mbunge Atupele Fredy Mwakibete na watia nia wengine wameanza Kampeni za Kujitambulisha na Kujinadi mbele ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Kata Mbalimbali Jimboni Busokelo. Akijinadi Mbele ya Wanachama wa Kata za Lwangwa na Kabula,Mwakibete amesema kuwa maendeleo yaliyofanyika Jimboni...
  17. M

    GE2025 Binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030

    Kama nilivoandika kwenye kichwa cha Uzi huu. Sijaandika uzi huu nikiwa na mihemko ya kisiasa lakini binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030.
  18. Zanzibar-ASP

    Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

    Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge...
  19. A

    Waamuzi wa Leo hata Uchaguzi tukileta Wamisri CDM hampati hata kiti kimoja

    Jamaa wamenyooka kama rula,pira limepigwa hakuna mbeleko sijui mzee sasa itakuwaje,Simba kachezea kipigo. Hawa hata tukiwaleta wawe wasimamizi wa UCHAGUZI CDM mjiandae kutopata hata kiti kimoja hawana kulia Lia,hawataki kudeka piga kazi kama mama anavopiga kazi,kigongo busisi,bwawa la Mwl...
  20. ThisisDenis

    Sifa ya Mgombea wa kiti cha Urais

    Nini sifa za mgombea kiti cha uraisi nchini kwangu.
Back
Top Bottom