kitandani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Wana JF, uandishi wa lugha mchanganyiko ni uchafu! Ni sawa na kuhifadhi sufuria kitandani (kero)

    Kwanza kabisa, nakutakia afya njema kama ya kwangu.. Bila kinyongo kabisa naomba niweke hapa kero yangu juu ya waandishi baadhi wa hoja hapa jf Kama utaguswa tafadhali usikasirike wala kutukana, ni kitu ambacho kinafanywa na watu wengi, hata hvyo si kero kwa wengi/wote. Ruksa kutoa kero yako...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ama kweli najuta, sitasahau hii tarehe 20/08/2022

    Sitasahau, imetokea 20.08.2022 somewhere. Demu nimnywesha bia tukaenda lodge, sijafanya chochote nae katoa bonge la kojo hapohapo bed. Nikazira, nikajitenga kwa chini, shortly baada ya lisaa nasikia pwaah nauliza umejisaidia au umejamba? Kustuka kaamka kaenda chini kaongeza kujisaidia, kahamia...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Pierre Liquid amelazwa Muhimbili yuko hoi kitandani

    Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili. Haijafahamika mpaka sasa mwama huyo wa kuzipiga Pombe na...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani nzuri ya kutumia laptop kitandani na kuzuia isichemke sana?

    Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop. Tunawezaje kutatua hili tatizo?
  5. lelulelu

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

    Habari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo. Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma sana, mke wangu ananivumilia na kunipa moyo sana. Nikikojoa huwa naota ndoto nzito halafu kwemye ndoto...
  6. Surya

    JamiiForums Tanzania Kama umelala peke yako kitandani ukigalagala kama nyoka pita hapa

    Tufarijiane jamani wale ambao hatuna wenza kwa sasa. Tuambiane mambo mengine, yapi ya kufanya kwa ajiili ya kujifuraisha nayo kwa namna moja ama nyingine. Pamoja na kwamba ni vyema sana na raha kuwa na Partner, lakini kama huna basi tubadilishane mawazo huku JF kidogo.. vibe, hamasa na kutiana...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Abubakary Sadick wa Radio One: Wanawake mnaopenda Pesa zificheni huko 'Kunako' Kwenu tuone kama zitakidhi Haja zenu za Kitandani

    Akizungumza katika Kipindi kizuri, kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho Mtangazaji Mwandamizi Abubakary Sadick ametupa Dongo la aina yake kwa...
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Umaskini Tanzania, wengi hawajahi kulala peke yao kitandani

    Hili swala ingawaje linaweza kuonekana halina maana lkn nimelifikiria sana, wengi wetu Tanzania tangia tuzaliwe hadi tunakuwa watu wazima hatujawahi kulalia kitanda peke yetu bila ya kushare na mdogo/kaka, ndugu au hata jamii. Kuna watu mara ya kwanza analalia kitanda peke yake ukubwani tena...
  9. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Radi yapiga wapenzi wakizini

    Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba. Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aua mkewe kwa kumtusi ni bwege kitandani

    MWANAUME alishtakiwa jana kwa kumuua mkewe alipomtusi kwamba hajiwezi chumbani. Stephen Nyangeri Mauti,mwenye umri wa miaka 25 alikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe Faith Nyatich. Wapenzi hao walioana Agosti mwaka huu. Baada ya miezi miwili tayari ndoa yao ilikuwa imegauka kuwa chungu ndipo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nipo hoi kitandani, msaada tafadhali

    1. Najisikia maumivu kwenye rectum, hasa ikiwa nabanwa na haja kubwa. 2. Maumivu husambaa mpaka kwenye misuli ya uume iloelekea sehem ya haja kubwa. 3. Maumivu huelekea pia mpaka kwenye paja. 4. Na hatimaye uume hupata itching kwenye urethra. Nini hii jamani? Nina maumivu ya korodani hasa...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa teja wa matumizi ya simu, naachaje?

    Nikiingia kitandani naanza kupiga mizunguko jamiiforums, quora, youtube, fb, ressit, whatsapp, n.k yani kama huko reddit nikiingia subredits kama askreddit, off my chest, today i learned, iama, just start, n.k ndo mda unapepea si mchezo Kuja kustuka saa nane ishagonga hapo na inabidi niamke saa...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pombe imekuwa chanzo kikubwa cha kupunguza uwezo wa kupafomu kitandani

    Pombe ukinywa kwa wingi huwa inafifisha kusambaa kwa kwa damu mwilini matokeo yake huwa inakuwa ngumu kwa dushe kusiamama vizuri. Watu wengi hawatambui hili matokeo yake hudhania kuwa wamerogwa na kujikuta wakihangaika hovyo huku wenzi wao wakitafuta njia mbadala. Pombe sio nzuri kwa afya...
  14. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kasulu, Kigoma: Wajawazito wapanda kwa zamu kitandani kujifungua, wengine walazwa chini

    Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja. Chanzo: Nipashe
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Kuna joka kitandani

  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka hii nikacheka sana; tuliowahi kukojoza kitandani tukiwa boarding njooni tutoe ushuhuda

    Wakuu Kwema! Leo Taikon nimekumbuka Maswahibu yaliyonikuta nikiwa Advance huko Matema Beach High School, Kyela mkoani Mbeya. Taikon ni mtu wa Stori, mjanja mjanja, mcheshi, na mtu wa watu. Taikon ni mtu anayeongea na kila mtu. Hapendi mtu akwazike. Siku zile nikafika shuleni, Kyela ikiwa...
  17. COMPTON BLVD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manzi na mbwembwe zote za text za mambo ya kitandani, siku ya game hakuna kitu

    Nilikuwa nataka aje ghetto ili anitunuku, wiki tatu zikakatika wakati huo wote alikuwa ananiambia vitu alivyonavyo mwilini kama shanga, akauliza pia kama ninapenda kiuno chenye shanga. Nikamwambia "Ndio ninapenda kiuno chenye chachandu." Kuna siku nilitaka game ila muda ulikuwa umeenda kiasi...
  18. Last emperor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

    Salaam wanajukwaa la Great Thinkers! Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika...
  19. Namba 26

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

    Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi. Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu. Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna...
  20. Mcheza Viduku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjinga alinidanganya anaitwa Sarah kumbe ni Shoga

    Wikiendi moja niko zangu kwenye kilaji ndio nilikutana na hili jinamizi lililojipachika jina la Sarah, tunaburudishwa tu na hawa warembo wanaofanya kazi kwenye sekta yao isiyo rasmi (kujiuza) muda huo mi najifanya mgumu tu sitaki mazowea na sketi wala vimini na hata kuhudumiwa nilichagua kijana...
Back
Top Bottom