Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na sura yangu inaonekana sio kwamba sionekani sura na...
Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea.
Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa kauli hiyo Aprili 9, 2025 wakati wa mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Embu Someni Habari hii muongeze Ufahamu kidogo.
👉Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea.
Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa...
Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania.
Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
Hapa nakitambulisho cha mpiga kura tangu 2015 hakina hitilafua hata nukta.
Miezi kadhaa iliyopita nimepokea kitambulisho changu cha NIDA. Tena nawashukuru maana aliniletea mjumbe wangu wa Nyumba KUMI wa Chama cha Mapinduzi.
NIDA Tanzania
Jambo ambapo sijapenda haijapita hata mwaka herufi...
Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia.
Mtaani kwetu vibanda vya kujiandikisha vipo ad leo na hakuna watu, watu wanasubiriwa adi wanatangaziwa mitaani mkajiandikishe, ila lilipokuja suala la NIDA walifanya chapchap wanafika saanne asubuh...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho, kunyimwa vitambulisho.
Soma Pia: Wajumbe wanaomuunga mkono Lissu wanyimwa vitambulisho ili kesho...
Habari wakuu
Naomba kuuliza kama kitambulisho Cha taifa kimepotea,Kuna utaratibu Gani wa kukipata upya??
Sina mengi ya kusema, nawasilisha mada. Wenu mtiifu katika jamiiforum
Cassnzoba
📖Mhadhara (72)✍️
Ni siku nyingi sana sikutembelea ofisi ya NHIF. Lakini jana nilikwenda kwenye ofisi ya NHIF kuchukua kadi ya Bima ya afya ya mtegemezi, nikaambiwa kuwa sasahivi mambo yamebadilika. Kwa sasa mtu mzima hapewi kadi ya Bima ya afya bali atatumia NIDA (NAMBA YA NIDA) kutibiwa...
Kulia au kushoto?
Au inategemea na aina ya kitambulisho?
Kwa mfano vyangu mimi;
Cha kazi, cha NIDA na cha... picha ipo upande wa kulia ukiwa unavitazama
Cha bima ya afya na vya shule vyote picha ipo kushoto ukiwa unavitazama
Habari wanajamvi,
Ukiachia mbali kupigia kura 😆🤤 Hivi kitambulisho cha kupigia kura kinaweza kuwa na matumizi mengine ya ziada?
Au niache kujisumbua kwenda kupanga foleni bure!
Wakuu nimepoteza NIDA,na nina police loss report,nauliza namna ya kutuma maombi kwa njia ya mtandao ili kuomba kadi. nyingine inakuwaje,maana kwenye website ya NIDA,sijaona fomu ya maombi kwa waliopoteza vitambulisho.
Msaada kwa anaejua.
Shukrani
Habari za muda huu.
Inawezakana litakuwa ni swali la kijinga kwa baadhi ya watu ila kwangu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo nami nijifunze.
Kama tunavyojua Rais wa nchi yoyote ni Taasisi inayotembea. Popote anakapo kuwepo duniani.
Je, Raisi ana kitambulisho kinacho onyesha nafasi yake katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.