kiswahili

  1. Soon inakuja whatsapp ya kiswahili

    Kampuni ya meta iko mbioni kushusha whatsapp yenye menu za kiswahili ili kueleweka zaidi wa jamii ya watumiaji wa kiswahili. Kiswahili cha kenya ndicho kitatumika maana kenya ndio inajulikana kwa kiswahili. Ila mimi sijawahi penda kutumia kiswahili kwenye apps au social media au hata menu za...
  2. L

    Hadhi ya Kiswahili yainuka huku lugha hiyo ikitambuliwa zaidi

    Kiswahili ni moja ya lugha zinazoendelea kukua na kuwavutia wazungumzaji wengi duniani. Hivi sasa Kiswahili ni miongoni mwa lugha kumi zinazozungumzwa na watu wengi duniani ikiwa na wazungumzaji takriban milioni 200. Baadhi ya wazungumzaji hutumia Kiswahili kwa shughuli rasmi wengine wakitumia...
  3. Kiswahili chatambulika kama Lugha rasmi ya Kikazi ndani ya Umoja wa Afrika

    Muungano wa Afrika (African Union) umeipitisha lugha ya Kiswahili, kuwa lugha rasmi ya kikazi ndani ya Umoja huo. Lugha hiyo huzungumzwa katika nchi kadhaa za Mashariki mwa Afrika pamoja na jamii za Waswahili katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu na Oman. Huu ni uamuzi ambao umekuwa...
  4. Embu tujikumbushe kiswahili cha mtaani cha zamani

    Wazee, embu let's reminisce good old days Kishtobe, gangwe, kulakabonyau, arosto, unenge, ubweche....
  5. Kiswahili kutumika kama Lugha ya Kazi Umoja wa Afrika

    Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja huo, Dkt. Mpango amewasilisha ombi hilo la lugha ya Kiswahili kuwa miongoni mwa lugha za kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika. Dkt. Mpango ameongeza kuwa...
  6. Msaada Wataalamu wa Kiswahili, matumizi ya haya maneno ambayo hunichanganya

    Lipi ni neno sahihi kwa matumizi. Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo. Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani. Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho siko nitakwenda Moshi. Leo tupo Kanisa la Arusha Mjini au Leo tuko Kanisa la Arusha Mjini. Kaka...
  7. Rais Samia ikumbushe Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Kiswahili

    Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe. Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania. Pia soma Profesa Ibrahim Juma: Muhtasari...
  8. Z

    Kuelekea maadhimisho ya wiki ya Elimu ya Sheria nchini 2022, bado kuna kigugumizi kwenye matumizi ya lugha ya Kiswahili

    Wakati Mahakama Nchini ikielekea katika uzinduzi wa Waki ya elimu ya sheria Nchini kwa mwaka huu 2022. Wananchi wengi wanashngazwa kwa nini Mahakama zetu bado zina kigugumizi/uzito wa matumizi ya Lugha yetu ya Kiswahili katika kutoa Haki za Wananchi? Pamoja na Bunge kufanya marekebisho ya...
  9. Mkenya aajiriwa kufunza Kiswahili kwenye chuo kikuu cha Michigan, Marekani

    Wakenya hatujambo likija suala la kuchangamkia fursa duniani, huyu kuupiga mwingi maana hiki chuo kikuu cha Michigan ni mojawapo wa vyuo maarufu duniani na kipo ndani 100 bora. Kuchaguliwa ufunze chochote pale lazima upitie ukaguzi sio haba. A collage image of Paul Otieno (Left) and an aerial...
  10. Seeking Resources to Learn Kiswahili

    I've been learning Kiswahili for roughly a year using Duolingo. It has been very useful and I have had no problems with it, but I think it would be very helpful for me to also use other resources to learn Kiswahili. I am aware that the language, like most languages, definitely requires more...
  11. Subtitles za Kiswahili kwa movies na series zote zinapatikana

    Kwema wakuu! Faida ya kuangalia Movie au Series ni kuelewa kiundani neno kwa neno na Story nzima. Kwa wale wapenda Movies na Series kutoka nje ya nchi ambazo hawatumii Kiswahili kama lugha mama, wanaelewa ugumu wa kushindwa kuelewa kinachoendelea kwenye Movie au Series husika sababu tu ya...
  12. Angola Pia Wanajua Kiswahili?

    Nimeangalia hii documentary ya mazishi ya Savimbi, nikagundua kuwa kuna wakati (kuanzia dakiaka ya 3:29) walikuwa wanaimba wimbo wa kwaya kiswahili. "Mungu ni Mwema". Je nako wanaongea Kiswahili?
  13. T

    Calculus kwa Kiswahili

    Kijiji cha Chato kina kiwango cha kuzaliwa na kiwango cha kifo ambacho kinalingana na jumla ya watu. Idadi ya watu huongezeka kila baada ya miaka 30. Wakati wa muda wa t = 0, idadi ya watu ni 1000. Tafuta idadi ya watu baada ya miaka 40 na wakati uliochukuliwa kwa idadi ya watu kuongezeka...
  14. Namna wanahabari wanavyoharibu lugha ya Kiswahili

    Miaka ya hivi karibuni limeibuka wimbi kubwa la uharibifu wa lugha ya kiswahili (nchini Tanzania). Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha matumizi sahihi ya kiswahili ama kwa kujua au kwa kutokujua kama wanakosea. Kumeibuka dosari nyingi katika uandishi na utamkaji wa baadhi ya maneno ya...
  15. L

    Wadau wanastahili kujivunia kwa kutangazwa siku ya Kiswahili Duniani lakini juhudi za kukikuza zinahitajika zaidi

    Na Pili Mwinyi Kiswahili ni lugha ambayo kwa sasa imejibebea umaarufu mkubwa sana duniani ikiwa ni mojawapo ya lugha zinazotumiwa zaidi na watu wa Afrika. Kwa makadirio kina wazungumzaji zaidi ya milioni 200 katika nchi nyingi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika na hata Mashariki ya Kati...
  16. Hakuna neno la kiswahili linaloweza kuwa na maana bila ya kuwa na irabu

    Hakuna neno la kiswahili linaloweza kuwa na maana bila ya kuwa na irabu (a, e, i, o, u). Katika Lugha ya Kiswahili irabu ni moja ya vitu ambayo vinahitajika katika neno/maneno ya Kiswahili ili kuleta maana, hivyo hakuna neno la Kiswahili lenye maana pasipo kuwa na irabu Lakini kwenye lugha...
  17. Tarehe 7 Julai rasmi siku ya Kiswahili duniani

    TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa. Tuko pamoja; na...
  18. Tanzania yaishawishi UNESCO kukienzi na kukieneza Kiswahili Duniani

    Mkutano Mkuu wa 41 wa UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani, azimio hilo limepitishwa na Nchi zote Wanachama wa UNESCO bila kupingwa leo November 23, 2021, Paris nchini Ufaransa. MY TAKE; Kenya msije mkasema hatukuwaambia kwamba Tanzania tukiamua Jambo...
  19. Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili

    Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili.
  20. Milipuko Jiji la Kampala na msemo wa Kiswahili "Mgema akinyolewa tembo..."

    Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba. Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya magaidi iliosababisha vifo kadhaa na majeruhi katika makumi, katika siasa za kikanda ulinzi wa pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…