kisutu

  1. Its Tesha

    Kesi ya Mange Kimambi kuendelea leo Januari 28, Kisutu

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Soma pia PostGE2025 - Serikali ya Tanzania yamfungulia Mange Kimambi kesi ya Uhujumu Uchumi. Adaiwa kutakatisha Tsh. Milioni 138 Mange...
  2. Huihui2

    Kesi ya Simon Mkondya aka Dr Manguruwe imeanza kusikilizwa Mahakama ya Kisutu

    Mkondya na mwenzake, Rweyemamu John (59), ambaye ni Meneja na Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, wanakabiliwa na mashtaka 126 yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha yanayomkabili Mkondya pekee yake. Ndambala, mkazi wa Mikocheni B ametoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi...
  3. Sifi Leo

    Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  4. radhiya

    Hotel for Sale at Kisutu

    Hotel For Sale (3 star). Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, Contacts: 0784...
  5. chiembe

    Polepole, ukiwa madarakani, Rostam alitinga ikulu enzi za Magufuli, muda mfupi baadae mdogo wake akafutiwa mashtaka Kisutu, mbona hukuachia uongozi?

    Mdogo wake Rostam alikuwa na msala pale Mahakama ya Kisutu. Rostam.... alienda kumuona John Pombe Magufuli, muda mfupi baadae mdogo wake Rostam aliachiwa. Mbona Pole pole hakujiuzuru kupinga hili? Tena lina ushahidi tofauti na hilo la mgodi wa makaa ya mawe?ni uongo wa dhahiri kwamba Polepole...
  6. B

    Hatimaye ana kwa ana na wapiga doria mitandaoni. Yapigwaje hiyo? Au ni hawa ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini?

    Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza? Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla? Au tuseme...
  7. W

    GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

    Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia. Pia Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na...
  8. Ubaya Ubwela

    Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  9. R

    Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  10. radhiya

    Hotel for Sale at Kisutu

    Hotel For Sale (3 star). Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, Contacts: 0784...
  11. chiembe

    Serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioagiza baadhi ya mashahidi utambulisho wao usifichwe, Kesi ya Kisutu isimame kwanza

    Nashauri serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba baadhi tu ya mashahidi ambao ni raia, utambulisho wao ufichwe, ila wengine utambulisho wao uwekwe wazi. Hivi kama wafuasi wa Lissu wanatishia kuua au kudhuru mashahidi, hao mashahidi wasio raia hawawezi kuuliwa au...
  12. Dr Adam Francis

    Rostam: Kisutu, viongozi wakipiga simu hupati haki

    Leo nawiwa kutoa ushauri kwa watanzania wenzangu kuhusu hali ya utoaji haki nchini. Kwakuwa jambo lenyewe ni nyeti na lina uzito wa kipekee nitajenga maoni yangu kupitia kauli ya Ndugu Rostam Aziz, Mbunge wa Igunga 1994-2011, Katibu uchumi na fedha CCM 2005-2007, na Mjumbe wa kamati kuu CCM...
  13. M

    Leo pale Kisutu kama sio busara za mahakama watu walikuwa wanaenda kula miezi sita gerezani kwa contempt of court

    Kuweni na adabu mahakamani, huwezi muona hakimu kakaa pale wewe unapiga makelele ya kijinga no reform no election. Wengi tumewahi kwenda jela kwa milio ya simu zetu tu, wengine tumekula vibano jela kwa kucheka mahakamani. Mahakama iheshimiwe, unajitia mwendawazimu sasa, umehangaika kimataifa...
  14. radhiya

    Hotel available for Sale at Kisutu

    Hotel For Sale (3 star) Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A...
  15. Dr Akili

    Busara za hakimu aliyeruhusu DSM yote kesho kuhamia Kisutu zitajulikana kesho

    Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu...
  16. radhiya

    Hotel available for Sale in Kisutu

    Hotel For Sale (3 star) Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A...
  17. Just Pray

    Video: Hali ilivyo Kisutu, Ulinzi umeendelea kuimarishwa

    Ulinzi umeendelea kuimarishwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuzunguka makutano yote yanayoingilia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ambako kuna kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Katika kesi hiyo inayosikilizwa leo...
  18. Gilbert A Massawe

    Ulinzi Uimarishwe Kisutu

    Kesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha Shughuli za Wananchi Zinaendelea Salama na kuepusha wale wenye nia ovu na wanapanga Kuleta Fujo...
  19. Z

    WITO WA KWENDA KISUTU KWA WINGI KESHO KUSIKILIZA KESI YA LISSU

    Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi. Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa...
  20. The Palm Beach

    Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
Back
Top Bottom