kisiwa

Mombasa ( mom-BASS-ə, also US: -⁠BAH-sə) is a coastal city in southeast Kenya along the Indian Ocean. The city is known as the white and blue city in Kenya. It is the country's oldest (circa 900 AD) and second-largest city (after the capital Nairobi), with a population of about 1,208,333 people according to the 2019 census. Its metropolitan region is the second-largest in the country, and has a population of 3,528,940 people.Mombasa is a tourism-based city; it has an extra-large port and an international airport, and is an important regional tourism centre. Located on the east coast of Kenya, it also is the home of one of the state houses, and is considered by some as a second capital in all but name.
In an effort to increase tourism, in June 2018 Mombasa County Governor Hassan Joho issued a directive requiring that all buildings in the Old Town and the Central Business District be painted white with Egyptian blue trim and banning all signs from their walls or canopies. "This allows tourists to take photos," explained Transport, Infrastructure and Public Works County Executive Tawfiq Balala. "We want to be the most photographed city in Africa." The order was challenged by the Commission For Human Rights and Justice, but Judge Erick Ogolla upheld the requirement.In Mombasa County and the former Coast Province, Mombasa's situation on the Indian Ocean made it a historical trading centre, and it has been controlled by many countries because of its strategic location.

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    Yemen's Houthi: Mkikiteka kisiwa cha Kharg, tunafunga mlango bahari wa Bab al-Mandab!.

    Ripoti za hivi karibuni (Machi 2026) zinathibitisha kuwa kundi la Houthi nchini Yemen limetoa onyo rasmi la uwezekano wa kufunga mlango bahari wa Bab al-Mandab kama hatua ya kuunga mkono Iran. Mohammed al-Bukhaiti, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Houthi, ameeleza kuwa wako tayari kuzuia meli za...
  2. M

    Vigezo alivyotumia Trump kutaka kununua kisiwa cha Island atumie pia kuinunua Tanzania ili tupumue

    Tumechoshwa sana na mizigo mingi na mikubwa tuliyolimbikiziwa wananchi 1. Kodi ya aridhi 2. Kodi ya majengo 3. Lesen 4.kodi kwenye luku 5. Kodi ya miamala ya fedha 6.kodi ya mizani 7.kodi ya ya mafremu 8.kodi ya maegesho 10.kodi ya biashara 11.kodi kibali cha...
  3. M

    Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

    Februari 4, 2026 DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
  4. JanguKamaJangu

    Halmashauri ya Chato yatoa mitumbwi miwili ili kusafirisha Wanafunzi bure katika Kisiwa cha Iyozu

    Halmashauri ya Wilaya ya Chato imetoa mitumbwi miwili kwa ajili ya Kisiwa cha Iyozu ambayo itatumika zaidi katika kuwasafirisha Wanafunzi bure wakati wa kwenda Shule na kurejea nyumbani. Diwani wa Kata ya Muungano, Charles Kapembe amesema mbali na kupelekwa mitumbwi hiyo, suluhisho la kudumu ni...
  5. technically

    Rais Samia nakutahadharisha kwa Mara ya mwisho, Tanzania sio kisiwa

    Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto. Tanzania sio kisiwa Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka. Tuna import karibu...
  6. BIG BROTHER ALEX

    Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso? King La Jr
  7. M

    Tanzania ya kisiwa cha amani iliisha rasmi jana tarehe 29/10/2025

    Inasikitisha sana ila ndo tukubali ukweli kuwa ile Tanzania ya watu wapole, wapenda amani wasiotaka fujo iliisha rasmi jana tarehe 29/10/2025. Hakutakuwa tena na kubembelezana kwenye mambo ya haki. Kila kitu kimeanza upya kuanzia jana. Raia wamevumilia toka awamu ya kwanza hadi leo awamu ya 6...
  8. Yoda

    GE2025 CCM imewezaje kudumisha propaganda ya kisiwa cha amani kwa miaka 60?

    Ukiwasikiliza watu wa CCM wanapoiongolea Tanzania kama kisiwa cha amani kila mara wakati wa uchaguzi unaweza kufikiria ni jambo la kipekee sana linaloitofautisha Tanzania na nchi nyingine au unaweza kufikiri ni kisiwa kumbe pembeni yake tu kuna nchi za Zambia na Malawi ambazo zimekuwa na siasa...
  9. Mr Devil

    Kumbe Deep state ya kisiwa cha dhahabu ndio hao hao wapigaji

    Yani watu walio kua wana fikirika kama wapo waokoe jahazi kumbe ndio hao hao super wapigaji AKA shamba la bibi ..... Over and Out
  10. Mshana Jr

    Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

    Kwamba sio no retreat no surrender tena? Kwamba ile survival of the fittest ndio imefika end the road by Boys II Men? Kabla hakujapambazuka? Kwenye kungfu za kondoo kurudi nyuma ndio kutafuta mbinu na nguvu.. Lakini pia Waswahel wanasema hasira za mkizi furaha ya mvuvi Mipasho ya kipwani...
  11. U

    Kama ni kweli Balozi Polepole anaasili ya kisiwa cha Ukara huko ziwa Victoria basi ipo kazi kwani hao jamaa naambiwa wanajiamini kweli kweli!

    Ni hayo niliyonayo kwa Leo kama nimekosea mnisahihishe
  12. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu Mnafiki kaandaliwa Dongo hilo na atajuta Kumchokoza mwenye Kisu chake Kikali na Kisiwa chake cha Kihistoria Tanzania

    Ajiandae Kisaikolojia kwani huyo Mtu kwa Madongo na Maneno ya Kuudhi kama siyo ya Kukera ya Kipwani Pwani hata Hawara yake Mkuu wa Bagamoyo anasubiri.
  13. britanicca

    Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    Mipango ni Mingi sana ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻 Britanicca
  14. P

    Tanzania siyo kisiwa: tusiseme tena watuache na mambo yetu ya ndani

    Dunia tunamoisha imeweka taratibu zake ili kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa. Inapotokea kwamba kuna uvunjifu wa haki za binadamu, ni wajibu wa jumuhiya ya kimataifa kuingilia kati. Approach iliyotumika ku deal na wanaharakati kutoka nchi jirani ilikuwa mbaya sana na ilichafua taswira ya...
  15. Dennis Robert Shughuru

    Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu Jambo la kufahamu jurassic Park ilikuwepo Tanzania ndo maana kuligundulika mabaki ya mifupa ya dinasours kipindi cha ukoloni wa...
  16. GENTAMYCINE

    Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  17. Lord Denning

    Manipulation: Mbinu iliyotumika na CIA kukichukua kisiwa huko Ufilipino na Sakata la Sumu Ofisi za Chadema huko Mbeya.

    Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino. Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
  18. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Othman apanda mtumbwi hadi Kisiwa Panza kuusaka Urais 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman akiambatana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Ismail Jussa Ladhu wamefanya ziara ya ujenzi wa Chama eneo la kisiwa Panza kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025. Ziara hiyo ya kisiwani imefanyika 29 April 2025 ni ya...
  19. ngara23

    Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

    Wanasema tembea uone Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia Ukerewe ni Moja ya wilaya za mkoa wa Mwanza Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20 Nilitembelea baadhi ya visiwa...
Back
Top Bottom