kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama itende haki, haiwezekani ndugu zetu tangu 2016 wako rumande, lakini kesi za kisiasa zinamalizwa haraka haraka, first in first out!

    Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu. Mahakama mnakwama wapi? First in first out. Haki ni kwa wote. Tunatarajia kesi hiyo ya akina Mdee na yenyewe ipangiwe miezi...
  2. JamiiForums Tanzania Usimuamini Mwanasiasa hata siku moja: Hili kuongeza mshahara lipo kisiasa sana

    Mwanasiasa akiingia ndani na akakwambia nje mvua inanyesha toka kahakikishe... Mwanasiasa akisema anakupenda... Geuza kwa upande wake kinyume... Akisema amekufanyia hivi au vile... Chunguza vizuri.. Kuna nini baadae... Mkikaa baadae mkatulia kwenye akili zenu mtajua tumepigwa changa la...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kisiasa na Kimuungano hili linaelewekaje?

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina kamati mbalimbali huwa wanazunguka kila mkoa,Ila sijawahisikia wakikagua miradi ya Zanzibar. Hili ni Bunge la Tanganyika? Kichwa kinauma sana kufanya utafiti wakujua ni Bunge la Jamhuri au la Tanganyika. Nini kazi ya wabunge wanaotoka visiwani...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa hawakuwa na uhalali wa kuwa wabunge. Hakuna credit ya kisiasa mliyopata kwa kuwafukuza. Uraiani kuna political gain yoyote mtaambulia?

    Ili chama chochote kipate nguvu ya kisiasa ni lazima kipate sapoti ya umma. Umma ndio wananchi wenyewe. Pamoja na kuwa mmewatimua akina Mdee na wenzake lakini ukweli utabaki palepale kuwa mlishapoteza trust kwa wananchi wa kawaida. Mlishakuwa na tuhuma mbaya za ufisadi, nepotism na kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuzuia Siasa za matusi, Lema, Lissu, Mdude, Maranja Masese, na vijana wengi wanaweza kufa kisiasa!

    Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi walishawapuuza. Mnatwanga maji kwenye kinu kufanya usanii wa kiaiasa. Ninyi ni matapeli wa kisiasa mlishashutukiwa

    Mbowe ni kibaraka wa CCM na watu walishampuuza kabisa. Wananchi sasa wapo serious kupambana na maisha magumu hivyo hawataki usanii wa kipuuzi juu ya hatima maisha yao. Kujifanya wajanja ili muchezee akili za wananchi wao walishashutuka ipo siku mtapigwa mawe hadharani. Huu sio wakati wa Mbowe...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kisiasa Bi Sara alifanya kosa kubwa la kimkakati na aliponzwa na Moyo wake huruma

    Wadau hamjamboni Ni hoja ya Kisiasa ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja ya kidini ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja mchanganyiko pia ukiamua iwe hivyo Ni mada inayomuhumu Bi Sara mamake na Isaka Kwangu Mimi naileta kama hoja ya Kisiasa Uamuzi wa Sara uliompatia haki Mumewe ya Kufanya kile...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

    Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana? Rais akinunua ndege mtaandamana? Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi. What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
  9. JamiiForums Tanzania Chuki za kisiasa isiwe sababu ya wapinzani kupakazia wanaCCM ujambazi. Unyanyangnyi wa kutumia siraha ni serious offence

    Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko. Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia. Tuweke...
  10. JamiiForums Tanzania Togo yakubali kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa nchini Mali

    Rais wa Togo Faure Gnassingbe amekubali kuwa mpatanishi katika mzozo wa kisiasa wa Mali huku serikali ya kijeshi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikikabiliwa na shinikizo la kurudisha utawala wa kiraia, mawaziri wao wa mambo ya nje wamesema. Tangu Agosti 2020 wakati jeshi lilipochukua mamlaka...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Misri yamuachilia huru mwanaharakati wa kisiasa aliyehukumuiwa kwa makosa ya ugaidi

    Mamlaka ya Misri imemwachilia mwanaharakati mashuhuri wa kisiasa anayetumikia kifungo cha miaka minne kwa tuhuma za ugaidi ambazo watetezi wa haki wameziona hazina msingi. Kuachiliwa kwa Hossam Monis kulikuja baada ya kuachiliwa kwa wafungwa kadhaa wa hadhi ya juu, siku chache kabla ya mwisho wa...
  12. JamiiForums Tanzania Haikubaliki, Diaspora wanatumika kisiasa na wanaharakati

    Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati Na; Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA) Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani...
  13. JamiiForums Tanzania TARIME: Kada wa CCM auawa kwa kisu katika ubishi wa kisiasa kati ya CCM na CHADEMA

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Sokoni Kata ya Sirari Wilayaní Tarime Mkoaní Mara, Moshi Sayi Maduhu, ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kifuani karibu na shingoni baada ya kutokea ubishi wa kisiasa kati yake na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA fursa iliyopo wazi kwa sasa ni kuwatumia wafuasi wa hayati Magufuli kujiimarisha zaidi kwa ushindi wa 2025 huu ndio mtaji wetu mkubwa kisiasa

    Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi. Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji...
  15. JamiiForums Tanzania Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

    Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito. Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa. Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa...
  16. JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

    Hawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani. Ninatambua msululu wa wasaliti wanaoomba kurejea CHADEMA, wakiwemo Wakuu wa Wilaya wawili ambao wako...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumewachagua viongozi hawa kulingana na mfumo wa kisiasa ulivyo nchini

    Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza. 1. Nani mshauri wa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi yetu? Ni mshauri pekee anayeweza kuona toafuti ya mifumo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

    Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
  19. JamiiForums Tanzania Kukosekana Utulivu wa Kisiasa na kupaa kwa bei za vyakula duniani

    Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi ya nchi. Lakini mzozo wa sasa kati ya Urusi na Ukraine umepeleka bei kwenye viwango vipya na vya...
  20. JamiiForums Tanzania Wilbroad Slaa: Sina chama tangu nilipojiuzulu Ukatibu Mkuu wa CHADEMA

    “Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,” Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…