kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kauli za kisiasa zinavyoaribu elimu ya Tanzania

    Mastaajabu hayajapoa katika sekta ya elimu nchini. Ukisahau walimu wa UPE miaka ile ya 1970 au wale wa ‘Voda Fasta miaka ya 2000’, utakutana na uamuzi wa kufuta masomo ya kilimo na michezo. Hii ndiyo sekta ya elimu ambayo kwa miaka nenda rudi, baadhi ya maamuzi yanayofanywa na watendaji...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Propaganda za kisiasa kwa kutumia Akili Mnemba (AI) kuelekea 2024 / 2025

    Mwandishi anatupitisha kina na kutoa tahadhari ya jinsi ya kuepuka kuwa misukule ya habari, kipindi hiki kuelekea 2024 / 2025 Tunaangalia namna mabadiliko ya sekta ya habari na mawasiliano ikiwemo akili mnemba (Artificial intelligence-AI) yanavyoleta changamoto na umuhimu wa kuwa makini ili...
  3. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: TLS ni Kiungo wa kuifanya Nchi yetu kushamiri Kiuchumi, Kisiasa na Demokrasia

    Ameyasema hayo leo Julai 26/7/2024 baada ya kushinda kesi yake Baada Mahakama kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS Hapo awali, Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo ambapo aliamua kufungua shauri la kupinga maamuzi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Usahihi ni upi katika vyeo vifuatavyo vya kisiasa

    Cabinet- Kwa nini ni Baraza la Mawaziri na sio Baraza la taifa la uongozi wa nchi? Ministry of Finance- Kwa nini inaitwa Wizara ya Fedha badala ya Wizara ya hazina kuu ya kitaifa? Secretary of State(US)- Kwa nini media huwa zinamuita Waziri wa mambo ya nje badala ya Katibu wa taifa wa mambo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, muondoe mara moja Nape kwenye Baraza lako la mawaziri. 4Rs unazozihubiri zinaonekana ni utapeli wa kisiasa.

    Kwa maneno aliyoyazungumza waziri wa habari Nape Nhauye wakati akiongea na wanaccm huko Bukoba mkoani Kagera ni ishara tosha nchi hii inaongozwa na wahuni. Waziri mzima tena mkuu wa wizara ya habari unaongea ujinga mbele ya watu wazima. Tume ya uchaguzi inapewa pesa nyingi Kila mwaka kuhakikisha...
  6. JamiiForums Tanzania Dar: Anayedaiwa kutekwa naye asakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

    Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza. Mganga hawezi na wala hana uwezo wa kukupatia uongozi wa wananchi, bali atakutisha tu kwa kukuhimiza kufanya bidii kutafuta kura kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  10. JamiiForums Tanzania Dokezo la Kisera kwa Ajili ya Baraza la Mawaziri Kupinga Unyanyasaji wa Kisiasa Dhidi ya Wauzaji wa Huduma za Ngono Nchini

    RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar 1. Usuli Tarehe 31 Oktoba 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuanza msako wa makahaba, kufunga biashara za masaji zinazotumika kama madanguro, na kuvunja nyumba zinazotumiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi Radio Free Afrika ilivyoyumba na kupoteza ubora kutokana na Mmiliki wake kuitumia Kisiasa

    Ukizungumzia miongoni mwa vyombo vya Habari ambavyo vina uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu naamini RFA kutoka Sahara Media itakuwa namba 1 kabisa. Radio hii imewahi kuwa na Watangazaji bora kuwahi kutokea na waliokuja kubadili kabisa sekta ya Utangazaji nchini. Lakini Radio Free Afrika...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali iko serious na vita ya ushoga ama inatafuta kiki za kisiasa tu?

    Ndugu watanzania jambo lolote lililoharamishwa nchi hii huwa limetungiwa sheria kali. Na yeyote atakayelishabikia ama kulitenda jambo hilo huangukia kwenye mikono ya sheria. Si mnaona mimea ya bangi inavyokatwa na wakulima wake wanavyokamatwa? Si mnaona wapika gongo na wanywa gongo...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kuipaisha nchi kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Kiuchumi; Rais ameweza kuvuta wawekezaji wakubwa ili kukuza uchumi. Tunaposema kukua kwa uchimi tunaangalia parameters/variables kama C= Individual consumption C= a+bY ambapo b imekuwa sana watu sasa hivi wamepata pa kufanya kazi na kupata kipato cha kila siku. Marginal propensity to consume...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanikiwa kiuchumi, Kijamii, kisiasa, kiroho, kirahisi kabisa

    Salaam, Shalom!! Salamu hapo juu itoshe kukujulisha kuwa walengwa wa HOJA hapo juu ni Wana wa Mungu, ni wale ambao wanahangaika,wanafanya KAZI Kwa bidii, wanajitenga na UOVU, walipao ZAKA nk nk, lakini Bado malengo Yao hayafanikiwi Kwa hatua za kuridhisha. Neno la Mungu lasema katika ( Yakobo...
  16. JamiiForums Tanzania Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

    Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv. Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

    Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi. Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni...
  18. JamiiForums Tanzania Israel inaingia katika hali mbaya ya kisiasa, Netanyahu hatakiwi

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇮🇱 Israel inaingia katika hali mbaya ya kisiasa Kiongozi wa Upinzani wa Israel Gantz atoa kauli ya mwisho kwa Netenyahu kuhusu vita vya Gaza: "Lazima uchague kati ya ushindi na maafa. Ifikapo Juni 8, mpango wa utekelezaji wa kuendeleza vita lazima uwasilishwe, ikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuwa Mpinzani kisiasa ni mateso sana

    Hasa ukiwa kwenye chama cha siasa ambacho ni dhaifu na kisicho na uelekeo, sera wala mipango itakayowavutia wananchi kukiamini, kukuunga mkono na kukichagua kuongoza. Ni mateso kuishi na kufanya kazi ya siasa kwenye, Chama cha siasa cha upinzani ambacho hata viongozi wake waandamizi...
  20. JamiiForums Tanzania Tofauti za Kisiasa na Kikazi zisituletee uadui, bado tuna fursa ya kulinda udugu wetu

    TUKIVUTANA KATIKA MAENEO YA KAZI, SIASA, BIASHARA HAUWI ADUI YANGU Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA JITU LA MIRABA Kuna wakati huwa tunavutana katika hali ya kila mmoja kutetea maslai yake, kwangu hilo sio jambo geni na baya ilimradi tu tuwe na mipaka katika kuvutana huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…