kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chadema kuzuiwa kufanya mikutano na shughuli zote kisiasa wamlaumu Jebra Kambole

    Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni. Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

    1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa). 2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa. 3. Bali wenzetu wasomi...
  3. JamiiForums Tanzania Simba kuipeleka timu uwanjani tar 25 ni kuidhalilisha club kubwa na bora barani Afrika dhidi ya club kubwa kisiasa Tanzania

    Hapo vip! Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati. Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania. Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?

    Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ? Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
  5. JamiiForums Tanzania Yanga vs Tff /Simba sc limechukua sura ya kisiasa

    Nikweli Yanga sc tunadai haki zetu , nikweli TFF amekua akiipendelea mbumbumbu FC, ni kweli makolo walitukimbia tarehe 8 march. Ila Taarifa ya club yetu iliyosema hatutoshiriki kivyovyote vile mchezo mwingine wa dabi kwa msimu huu 2024/2025 ilijitosheleza na hatukuhitaji kuendelea kulizungmzia...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida: CCM haihusiki kuzuiliwa kwa CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa, ni migogoro ndani ya chama chao

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha...
  7. JamiiForums Tanzania Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

    TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA "Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa. Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Chadema Inakufa kwa majeraha mabaya sana yenye maumivu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yakujitakia

    Kuchagua viongozi wao wakuu wa chama wasio maono wala mikakati madhubuti ya kisiasa ni kosa la kwanza kabisa Chadema walifanya, hata sasa wamejikuta hapo walipo. Kuitenga na kususia michakato ya kidemokrasia kwa mihemko ya kiongozi wao moja tu, ilikua ni kosa la pili kubwa zaidi lililoiingiza...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya kisiasa nchini, Naomba tuburudike kidogo labda tutaeleweka

    Yaonekana Viongozi wetu hawajui Afrika ilitoka wapi na inakwenda wapi. Hawajui nchi inatoka wapi na inakwenda wapi. Ko sa ni la CCM 'Kuokota' Kila mtu asiye na aibu akawe kiongozi.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu, mambo yenye tija wananchi wengi wapo kimya ila kwenye Simba na Yanga kila mtu anaongea tena kwa uchungu

    Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine. Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
  11. JamiiForums Tanzania Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa siyo Jukwaa la Ubaguzi: Wanaume wakome kuwadhalilisha Wanawake kwa Kauli za kubeza

    No Reforms, No Election Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan Kiwanga. Kauli hizo zimeacha maswali mengi kuhusu heshima, utu, na nafasi ya mwanamke katika siasa za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalim na kundi lake hawajakomaa kisiasa

    Team Maalim ilipohama CUF na kujiunga na ACT hukuwahi kuwasikia wakiwashambulia CUF, sio Lipumba , Sakaya wala Nachuma. Sii Jussa, Maalim mwenyewe wala Mansour Hii tofauti na viongozi wa CHADEMA waliohama. 99% za mapambano yao ni dhidi ya chama waliotoka. Hawa bado wachanga kisiasa
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Kauli ya 'No Reforms, No Election': Je Vijana wa Instagram Wanaamka Kisiasa?

    Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha...
  15. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni yetu wote

    “Kuzuia uchaguzi au kuwapinga wengine wasishiriki katika kupiga kura si tu utoto wa kisiasa, bali ni kiashiria cha ugonjwa wa kijamii unaohitaji tiba ya haraka. Demokrasia isiyolindwa ni ishara ya jamii inayopoteza dira yake. Ni wajibu wa wale waliopewa dhamana kutunza dira ya jamii kwa kutimiza...
  16. JamiiForums Tanzania Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

    Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu. Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA kutafuta sympathy ya Jumuiya za Kimataifa ni ishara tosha kwamba hawawezi tena kwa lolote imekata pumzi Kisiasa nchini

    Ni wazi chadema haina inachoweza tena katika kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa ambayo inapitia. Ukata wa pesa, kukimbiwa na makundi ya wanachama wake, kukwama kwa wanasheria wake mahakamani kumekifanya chama hicho kukosa cha kufanya zaidi ya kupiga mayowe na kuomba huruma ya viongozi wa dini...
  18. JamiiForums Tanzania Mchungaji Abihudi Misholi alishayatabiri haya yanayotokea leo ya utekaji na mauwaji ya kisiasa wakati wa uchaguzi

    Mchungaji Abihudi Misholi kwenye wimbo wake unaoitwa ombea amani Tanzania ambao aliuimba kipindi cha Mkapa kuelekea Kikwete umetabiri kwa usahihi kabisa haya yanayotokea leo. Ni bahati mbaya sana unabii huu umetimizwa na mwanamke. Mwenye wimbo huo atuwekee hapa.
  19. JamiiForums Tanzania Chadema kama NCCR, CUF na TLP, Wacha watanzania waendelee kukomaa kisiasa.

    Mpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani. Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii...
  20. JamiiForums Tanzania Simba na yanga ndio tatizo kubwa la kutumiwa kisiasa na kuzolotesha michezo.

    Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga. Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi. Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi. Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…