kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tiss wakiachana na siasa za kuibeba CCM taifa letu litapata maendeleo makubwa ya kisiasa na kiuchumi

    Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka. Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika. Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana. Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
  2. JamiiForums Tanzania Kwa aibu kubwa Chacha ulitakiwa kujiuzulu. Prof Kabudi amekuaibisha na hufai kuwa kiongozi wa kisiasa

    Nilipoona tu unalia kwenye vyombo vya habari kuwa ulitongozwa na ukashitaki polisi hapo ndipo nilijua hufai kuwa mwanaume na kiongozi. Prof Kabudi amekuumbua, kuwa vyombo vya dola sio mali ya CCM ni mali ya wananchi na hii ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa na Katiba ya JMT. Wewe...
  3. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026 KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964. Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
  4. JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
  6. JamiiForums Tanzania Ahmed Khalifa: "Linda nchi zenu, utambulisho wenu, mustakabali wa watoto wenu. PIGA MARUFUKU Uislamu wa kisiasa"

    Ahmed Khalifa ni mchambuzi wa kisiasa anaehishimika sana mashariki ya kati.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kurudisha asili ya Mnazi Mmoja: Jukwaa la ana kwa ana la kustahimiliana kifikra, kiimani na kisiasa (speaker's corner yetu?)

    Wakati nchi yetu ikipita kwenye mabadiliko makubwa ya kisiasa na kuelekea msimu wa maamuzi, tunapaswa kujiuliza ni kwa namna gani tunaweza kurasimisha uhuru wa kujieleza nje ya mitandao ya kijamii. Je, Bustani ya Mnazi Mmoja inaweza kuwa "Speaker's Corner" yetu ya kitaifa ambapo wananzengo...
  8. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

    Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa. Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
  10. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Athari za Lagacy ya kisiasa ya Rais Samia kama Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Umebaki muda mfupi kabla ya mahalama haijatoa hukumu kwa ndugu Lissu. Ndugu Lissu anashitakiwa kwa makosa ya uhaini. Si lengo langu kuingilia mahakama na sitofanya hivyo lakini najaribu kuiangalia possibility ya hukumu inayoweza kutokea katika worst case scenario na athari zake kwa Legacy ya...
  12. JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nini hasa hata kutegemea na kuvizia matukio ili kua relevant katika medani ya kisiasa?

    Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Macho yangu kisiasa na kisheria kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission , tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia...
  14. JamiiForums Tanzania Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya maandamano na vurugu za kisiasa Tanzania ni hii

    Habari ndugu zangu Watanzania Mara nyingi na kwa kipindi kirefu tumekuwa tukisikia na kuambiwa kuwa Tanzania taifa letu ni kisiwa cha amani, kwamba tofauti na mataifa mengine Tanzania ni nchi yenye utulivu na amani, lakini bila shaka jambo hilo siyo la kweli tena. Kwani Ripoti ya tume ya...
  16. JamiiForums Tanzania Dorothy Manka J. Semu: Tuungane kupigania Katiba mpya na kukabiliana na mkwamo wa kisiasa nchini

    TUUNGANE KUPIGANIA ΚΑΤΙΒΑ MPYA NA KUKABILIANA NA MKWAMO WA KISIASA NCHINI Chama cha ACT Wazalendo kinatoa wito kwa Watanzania wote kuungana na kudai kwa nguvu zote kuanzishwa mara moja kwa mchakato wa Katiba Mpya ya wananchi. Tunaamini kuwa mkwamo wa kisiasa unaoendelea nchini hauwezi...
  17. JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania CCM imeendelea kua talk of the day katika kila kongamano la kisiasa nchini.

    Ni wazi, bila CCM mambo hayanogi. Halafu muhimu zaidi sasa, kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa. Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, leo Septemba 7, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=f3NbH_2EkqQ Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chenye wanachama wanaojumuisha CCM, CHAUMA, ACT Wazalendo, pamoja na NCCRA Mageuzi, leo Septemba 7, 2026 wanakutana kuzungumza kuhusu hali ya demokrasia Tanzania. na matukio ya wakati wa uchaguzi na baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ushindi wa LISSU 22/1/2025 kua Mwenyekiti CDM, mpaka sasa umetuletea Mapinduzi Chanya Kisiasa, Tumuombee sana !Udalali wa Mbowe Ulituchelewesha

    Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025. Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!. Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!. Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…