and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,267
- 39,809
Mwamba anaomba poo anatamani hata uteuzi wa ukuu wa Wilaya akapunguze njaa. pumzi imekata
NaamNi kwamba ukiwa ndani ya ccm unashiba, halafu ukiwa nje ya ccm pumzi inakata kwa sababu ya njaa! Hili jambo linatafakarisha bila shaka