kishindo

Paul Kishindo (1952 – December 1, 2020) was a Malawian sociologist, professor of Rural Sociology and former Dean of Social Science at University of Malawi Chancellor College Dr. Kishindo is well known in Malawi and internationally for his work on rural sociology in Malawi.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kinana apata mapokezi ya kishindo Handeni mkoani Tanga

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndg Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza kumlaki Mkata, wilayani Handeni leo, Jukapili 24 Aprili, 2022 alipowasili mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika mikoa minne. #ChamaImara #KaziIendelee
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amazon nao hawajaachwa nyuma, wanaingia Kenya kwa kishindo, wanawekeza "local zone" ya pili Afrika Nairobi

    The entry of Amazon Web Services (AWS) into Kenya’s cloud computing ecosystem is set to bolster the country’s preparedness for the take-off of the Fourth Industrial Revolution (4IR) as its rapid technological transformation keeps attracting Big Tech. Last week AWS set up a Local Zone in Nairobi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Florence Samizi akamilisha ziara yake jimboni Muhambwe kwa kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM

    Baada ya ziara yake ya kutembelea Wananchi kwenye Vijiji mbalimbali Jimboni kwake kusikiliza na kutatua kero zao, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi alifanya mkutano wa mwisho wa kushukuru wananchi katika Kata ya Kibondo Mjini ambapo alishukuru Kata zote...
  4. JamiiForums Tanzania Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  5. JamiiForums Tanzania Kishindo kingine cha Rais Samia, tunasubiri jina la Waziri mpya wa Jinsia

    Rais Samia Suluhu Hassan, anaendelea kutakata na kuitakatisha Tanzania. Amejibu ombi la muda mrefu la watu wengi, kuhusu kuitenganisha Wiazara ya Afya na idara nyingi zilizokuwa chini yake. Rais amesema sasa Wizara ya Afya itashughulika na Afya pekee, kisha Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
  6. JamiiForums Tanzania James Lembeli kurudi Bungeni kwa kishindo kupitia Jimbo la Ushetu

    James Lembeli achukuwa fomu kuomba kuteuliwa na @ccm_tanzania kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga kufuatia jimbo hilo kuwa wazi baada ya kufariki aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo marehemu Kwandikwa https://t.co/AYKdweCptq
  7. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu uvccm taifa azindua dar es salaam jogging club kwa kishindo

    KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam Iliyoandaliwa na UVCCM Mkoa Wa Dar Es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa wakati akizindua...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA yampongeza Rais mpya wa Zambia, Hakainde Hichilema kwa ushindi wa kishindo

    Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe . Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA kuamua kummiminia pongezi Rais Mteule Haikainde Hichilema
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Chama la Wana na Kishindo Kimya Kingi!

    Chadema kama taasisi inaendesha shughuli zake ofisini kwa mipangilio yake bila kusukumwa, kuchagizwa, kushinikizwa wala kushawishiwa na yeyeto. Tulipo sasa mwenyekiti mheshimiwa Mbowe (mola amjalie salama) yuko nyuma ya nondo chini ya watesi wake ambao wangependa kuona Chadema ikisambaratika...
  10. JamiiForums Tanzania Muziki wa dance warudi kwa kishindo

    Muziki wa dance uliwahi kutamba kwenye miaka ya 1990 hadi 2000, baada ya hapo muziki wa kizazi kipya uliingilia kati japo miaka ya hivi karibuni muziki huu umeishiwa pumzi mpaka unajikuta unaingia kwenye bongo fleva- dansi. Ukiangalia maudhui kama kucheza na hata nyimbo zake utakuja kubaini...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

    Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya. Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe. "Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kishindo: Yusuph Manji atikisa Mkutano wa Yanga Chang'ombe

    Baadhi ya Vigogo waliohudhuria hawa hapa , yumo Jakaya Kikwete
  13. JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Shinyanga. Shangwe na vigelegele vyarindima

    Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi . Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania TBC kiko wapi kipindi cha kishindo ya awamu ya sita?

    Ni swali hili. Kipindi cha Hayati kulikuwa na Kipindi cha kishindo cha awamu ya tano. Sasa mbona hamkiendelezi kwenye hii awamu ya Sita? Shida nini!?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…