Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje, amesema suala la kwenda kupiga kura si la vyama vya siasa, bali ni la Mtanzania mmoja mmoja kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi.
Wenje ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati...
Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi!
Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk!
Kwa jicho la 3, mimi...
chama
chama tawala
gani
kampeni
kampeni za uchaguzi
kisheria
kosa
kosa kisheria
kuchagua
lini
maana
mabango
mwanajeshi
sababu
sheria
uchaguzi
wanajeshi
Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo...
Baada ya majaji wa High court kukataa mapingamizi yote ya Tundu Lissu juu ya uhalali wa mahakama kuu kuendelea kusikiliza shauri hili, hatimaye amesomewa shitaka lake la uhaini leo 15/9/2025...
Baada ya kusomewa shitaka, swali kwa mshitakiwa kikawaida huwa ni KWELI au SIO KWELI. Kwa kimatengo...
https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF
1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria..
2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
Disclaimer:
Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
UCHAWI ni matumizi ya nguvu zisizo za kawaida zinazotumika kuwadhuru wengine kwa namna isiyo ya kawaida.
Uchawi unajumuisha mazingaombwe, kuloga, matumizi ya vifaa vya uchawi, matendo ya nguvu za giza au umiliki wa maarifa ya siri yasiyo ya kawaida.
Uchawi sio dhana mpya katika jamii zetu bali...
Salaam wana jamvi,
Nahitaji msaada wa kisheria ama taratibu gani nifuate ili kuweza kupata haki ya kulea watoto wangu!
Story kwa ufupi iko hivi:
Mimi na mwanamke (34) nimeolewa ndoa ya kanisani, nimebahatika kupata watoto wawili (mkubwa miaka 4.7, mdogo miaka 2.5). Mimi na Mr tumekuwa kwenye...
Naombeni wataalam wa sheria mnisaidie. Kuna hospitali moja nimewahi kwenda kupata matibabu.
Sasa imekuwa kero kila uchao. Natumiwa sms kila wakati kama matangazo ya huduma zao. Naombeni ushauri ninataka kuwashtaki kwa usumbufu wanaonisababishia.
Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa.
Uhalali wa jambo...
Habari wanajf kwa ujumla. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuanza kutoa maelezo mafupi.
Mashamba ya familia yangu yapo kijiji jirani na mashamba hayo tuliyapata wakati huo tukiwa kijiji kimoja ila baada ya kujigawa ikawa mashamba yetu yapo kijiji kingine.
Kuna viashiria vya...
Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama.
Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
Huu uchaguzi wa mwaka huu unaendelea kutuonesha jambo la msingi sana la kuwa mamlaka yote hutanguliwa na watu.
Mwaka huu tumetangaziwa kutakuwa na zoezi la uchaguzi mkuu lakini cha kushangaza kila mgombea ameanza kampeni kabla ya tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa kampeni. Kuanzia chama tawala...
Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo.
Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani.
Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake kuonyesha kitawezaje kutufikisha katika dira hiyo.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina...
Waafrika wanaangamia kwa kukosa wa kuwasimamia.
Yaani mtu anatoka huko kijijini, anafika mjini masikini, ghafla tu anaweza kutenda miujiza na kuongea na Mungu. Je, huko kijijini alishindwa nini?
Serikali zinawaangalia tu masikini wanaibiwa na kutapeliwa kuwa wanaponywa na kutajirishwa. Kwani...
Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema:
“Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
KUZINGATIA HITAJI LA KISHERIA LA KUSAJILI NA KUTUMIA MAJINA YA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES) NCHINI
Kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Cap. 172 R.E. 2023, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ina wajibu wa kusimamia uendeshaji wa rajisi ya majina ya...