kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania TBS ina Maabara 9 zinazotumika kuchunguza bidhaa kisasa

    TBS INA JUMLA YA MAABARA 9 AMBAZO ZINATUMIKA KUCHUNGUZI BIDHAA KISASA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lina jumla ya maabara tisa ambazo zinatumika katika uchunguzi wa bidhaa mbalimbali ambazo ni bora na kuna vifaa vya kisasa vya uchunguzi pamoja na wataalamu waliobobea katika uchunguzi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania “Hadithi ya Miji Miwili” toleo la kisasa: michango ya China na Marekani katika kutoa chanjo dhidi ya COVID-19

    Mwandishi wa riwaya wa Kiingereza Charles Dickens alifungua kitabu chake maarufu cha “Hadithi ya Miji Miwili” (A Tale of Two Cities) kwa kusema “ulikuwa ni wakati mzuri kabisa, pia ulikuwa ni wakati mbaya kabisa.” Sentensi hii inayojulikana sana pia inafaa kuelezea jinsi China na Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

    Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  4. JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram). Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako. Kwa bei poa kabisa utapata design yako Baadhi ya kazi zetu Affordable price tupigie...
  5. V

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwekezaji wa Vijiji vya kisasa katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja

    Utangulizi Tanzania kiuhalisia bado ni nchi ambayo inategemea uchumi wake kukua kupitia vijiji vyake ambavyo shughuli za watu wake wengi hutegemea kilimo. Mbali na kutegemea kilimo zaidi na shughuli zingine, lakini bado vijiji vingine viko nyuma zaidi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

    Wanajeshi kutokea mataifa kadhaa (USA, India, UK n.k.) kuhusika kwenye haya mazoezi ya pamoja.....mwendo wa kutunisha misuli kuonyesha ubabe au kwa kifupi nani baba lao.....jifanye kama unajikuna tuone. Brahmos cruise missile INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuna athari gani kutumia mayai/ nyama ya kuku wa kisasa?

    KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA? . Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k. Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Reli ya Kisasa ya SGR yaleta mabadiliko katika sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria nchini Kenya

    Ikiwa ni zaidi ya miaka minne sasa tangu reli ya kisasa ya Mombasa-Nairobi nchini Kenya kuanza kutumika, sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria imepata mabadiliko makubwa na kusaidia ukuaji wa uchumi na ajira. Kufikia sasa, zaidi ya abiria milioni tano wamefaidika na uchukuzi wa bei nafuu...
  9. JamiiForums Tanzania Vibubu vya kisasa vinauzwa

    Tunauza vibubu vya kisasa kabisa. BEI TSHS 37,000 Piga 0683011003 kwa mahitaji Tupo Dar Magomeni Kagera Vina password maalum za kufungulia/kufunga Vinatumia battery 3 za size ya kati Vipo vya rangi tofauti tofauti: Red Black Pink Blue Vimetengenezwa kwa Plastick ngumu isiyovunjika...
  10. JamiiForums Tanzania Askari kuanza kutumia nyumba za kisasa za Kunduchi na Mikocheni

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na Mikocheni mkoani Dar es Salaam. Pongezi kwa Wizara na Serikali.
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauzwa vitu mbalimbali (Pazia, Chuma za Pazia, Net, Kava za Makochi, Mashuka nk)

    Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi? SALE SALE SALE Sofa la mmoja ni 30000 Sofa la wawili ni 44,000 Sofa la watatu ni 54,000 ●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo 1: Hazipauki wala kuchuja...
  12. JamiiForums Tanzania Kwani tukiacha madirisha haya ya aluminiam na PVC, ndiyo kusema sisi hohehahe hatuna madirisha yetu mengine ya kisasa jameni?

    Binafsi si shabiki wa madirisha yanayotamba siku hizi, aluminiamu na pvc. Sababu kubwa ni kutokuwa na uimara wa kutosha na pia hata yakifunguliwa yanachukua sehemu kubwa ya dirisha na hivyo kuzuia hewa. Hii ni mbaya zaidi kwa mimi wa sehemu ya joto. Madirisha haya yakifungwa, huko ndani mtajuta...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua sehemu wanapouza kuku wa kisasa wa mayai Jijini Dodoma

    Wadau habarini, Msaada kwa mtu anaeishi jijini Dodoma na anajishughulisha na uuzaji wa kuku wa kisasa wa mayai wanaotaga mwezi kwa mwezi ,kama yupo tuwasiliane tafadhali nahitaji hio bidhaa.
  14. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Simba SC inamsajili Edward Manyama, Mwenzake Mohammed Hussein aonywe 'asimroge' tafadhali

    Nimezipokea hizi 'Tetesi' kwa Furaha kubwa mno na kama itakuwa ni kweli kwani Edward Charles Manyama ni Beki Bora wa Pembeni anayecheza 'Kisasa' zaidi tena kuliko aliyeko Mohammed Hussein Tshabalala. Uzuri wake Edward Charles Manyama ni kwamba haishii tu kukupa Faida ya Kukaba vyema bali pia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Ufugaji wa Kuku wa Kisasa

    Wakuu Kwema? Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama za kuwafuga hawa Kuku 100. Sababu ndio kwanza anaanza ningeomba Mchanganuo huo uwe katika mtiririko...
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja cha kisasa kinauzwa: Mhandu, jijini Mwanza

    Kiwanja kinauzwa jijini Mwanza. Wilaya: Nyamagana Kata: Mhandu Mtaa: Kisiwani (Karibu na shule ya sekondari Mhandu) Kiwanja kimepimwa na kina hati kamili ya umiliki. Size: 30 kwa 30 (hatua za miguu za mtu mzima. Kina tripu 4 za mawe. Kimezungushiwa fensi. Umeme na maji vipo. Fensi...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa kuku wa kisasa

    Natafuta mfugaji wa kuku wa kisasa ambaye tutafanya biashara. Nahitaji kuku kwa wingi! Mwenye nao tafadhali tuwasiliane. Location awe Dar es Salaam! Capacity: 500 pcs per week Uzito: 1+KG Bei elekezi: 5,500-5,800
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kukoboa mpunga na machine za kisasa kama za kichina

    Ndg wanaboard, naombeni ushauri wenu maana ninawazo la biashara. Nipo Geita, mtaji nilio nao ni 25M, nimepata machine ya kukoboa 25t/h, ya Kisasa. Ambayo wanauza 8700usd. Inakuwa na: 1. Elevators zake 2 2. Destoner 3. Cleaner. Pia inaoption ya kupata brown rice. Shida yangu ni ushauri, je...
  20. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mradi wa Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi, umekwama kukamilika

    Naibu waziri Katambi amefanya ziara katika Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi na kuonesha kutoridhishwa na ujenzi wa machinjio hayo yenye gharama ya Shilingi Bilioni 5.57 ulioanza mwaka 2018 ukitarajiwa kukamilika mwaka 2019 lakini mpaka leo hauoneshi dalili yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…