Habari ya muda mrefu wakuu….
Baada ya miezi mingi kupita hatimaye nimerudi tena Binti wa zamani do you see me?……
Hivi mnajua kuwa mioyo yetu inauhitaji wa amani muda wote hapa duniani,na je mnaju kuwa amani za mioyo zinachangia tiba kisaikolojia……anyway iko hivi katika maisha yetu...