kisabato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Msibani juzi mchungaji wa Kisabato kutumia muda mwingi kushambulia RC na kuwa na Ibada za wafu huku akidai wao hutoa huduma na siyo Ibada

    Msibani kwa ndugu zetu marehemu ni Msabato hivyo mwili waombe wa na umewekwa mbele kabisa ndani ya jeneza. Mchungaji akadai hizo siyo Ibada bali ni huduma Akadai Ibada ni dhambi na huendeswa na wakatoliki. Akadai kwamba ni kweli mwili wa marehemu uko mbele lakini hawana Ibada bali wanatoa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kwaya za Kisabato Tanzania zimepotea kwenye Ramani ya uimbaji kutokana na kuiga uimbaji wa Kwaya ya Ambassador ya Rwanda.

    KWAYA ZA KISABATO TANZANIA ZIMEPOTEA KWENYE RAMANI YA UIMBAJI KUTOKANA NA KUIGA UIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADOR YA RWANDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati Ambassador ya Rwanda waki-trend nchi za Afrika mashariki watu wake walibarikiwa na nyimbo zao. Sio tuu wasabato bali hata watu wa...
  3. U

    Mwalimu Jeff Massawe adai waumini wa Kisabato wanalazimishwa na Kanisa kuamini fundisho la Utatu na kuwa Kanisa hilo sasa ni tawi la Katoliki

    Ni Kwa mujibu wa Mwalimu Jeff Massawe muinjilisti wa Kisabato ambaye ameasi na kufutwa ushirika na sasa ameanzisha huduma yake maeneo ya Dawasco Bunju. Anadai asili ya fundisho husika ni Kanisa Katoliki hivyo SDA sasa ni sehemu ya Kanisa la RC
  4. W

    Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sabato Njema. (itikia Njema Sana). Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya...
  6. MamaSamia2025

    Uimbaji wa aina hii sio sahihi ndani ya kanisa la kisabato.

    Nani aliyeanzisha huo uhuni wa kwaya kuimba kama wasanii wa bongo flavour na playback? Mchungaji Paul Semba yuko sahihi kukemea huo ushenzi. Hata katoliki mnaowasimanga hawawezi kufanya hiki kinachofanyika ndani ya SDA. Mkataeni shetani mapema kabla hajazidi kuharibu mambo...
  7. matunduizi

    Kwanini kwenye makanisa ya kilokole, kisabato hakuna ombaomba nje kama Misikitini?

    Wasalaam, Nimechagua hawa maana ndio wanavuguvugu kubwa la kuliishi neno. Sina uzoefu na RC au KKKT lakini makanisa ya kisabato na kilokole mengi nimeingia. Tofauti na wale wakristo wa awali, Njia ya kuelekea hekaluni ilikuwa imejaa ombaomba. Hawa jamaa walikuwa wanamvizaga Yesu, mitume...
  8. KING MIDAS

    Natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Simiyu, Geita, au Tabora.

    Wasalaam. Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
  9. sanalii

    Wanawake wa Kisabato ndio wanaoiishi Injili

    Kama mmeamua kuifata injili ifatwe inavyotaka, kuipinga injili ni uovu 1 Timotheo 2 :9 Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani. Nenda makanisa mengine ukute...
  10. MamaSamia2025

    Nimeamua kuoa Msabato

    Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo; 1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000. 2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu...
  11. sky soldier

    Kwanini wachungaji wengi wa kisabato wana hali za kawaida kifedha

    Nimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha. Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara...
  12. Jasusi Mbobezi

    Wachungaji wa Kisabato Wachana mashairi ya Hip Hop kanisani

    Jamaa ni wakali sana, msikilize huyo wapili alivyo flow na biti. Anaweza fanya collabo na nani?
Back
Top Bottom