Kuna mdada Leo kanitafuta, ndo nikakumbuka Mikasa baina yake na mimi, Imepita kama miaka mitatu hivi, Kuna tukio lilitokea nikajiapiza Hawa wake za watu ntakaa nao mbali kabisa katika maisha yangu
Turudi nyuma kidogo, nimekulia mkoa ambao Kuna ubabe ubabe wa kijinga Sana , nakumbuka Kuna siku...